Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Fresh tu,US alikua ana-support Brexit kinamna namna sasa tuone na kwny hili la Scotland atakua na msimamo gani.View attachment 2227980
Scotland's First Minister Nicola Sturgeon announced tentative plans to hold an independence vote in 2023 as residents remain displeased about the U.K. leaving the EU, the Associated Press reported.
She also spelled out her firm belief that Scotland must join NATO and the EU if the country votes for independence.
Kwa akili nina kuzidi mbali sana sana, ni bahati hatujuani nduguWe Jamaa una uwezo Mdogo Sana Wa akili,sio kila kitu lazima utoe maoni yako,kama kitu hujui sio dhambi kukaa kimya
ushabuni au kugumbua kitu chochote mkuuKwa akili nina kuzidi mbali sana sana, ni bahati hatujuani ndugu
Kweli ajabu jinsi tunavyoweza kuishi katika halisia tofauti. Unaona kweli katika vita ya Putin huko Ukraine uwezo mkubwa??Hapana. Russia uwezo wa kupigana na NATO anao, hii ameionesha dhahiri kwenye vita yake na Ukraine. Kama kweli NATO hawamuogopi Putin kwa nini hawatoi support 100/% kwa Ukraine?
Athari za nuclea haziwezi ikumba dunia nzma ww, mbona ya Nagasaki haiku impact dunia nzima. Pia unaposema athari zake ni dunia nzima unatakiwa kuwa specific on point zitaikumba dinia nzima kiaje????!!!Hizi silaha za nuke hazikutengenezwa ziangaliwe tu kama bibi harusi.Putin atazitumia kweli na tusingependa afanye hivyo kwani athari zake zitazidi kuenea dunia nzima lakini kwa vile ana haki kuzitumia hatutomlaumu.Mtu anakuchokoza kila mara na kila ukimuonya anakufanya mjinga.Nini cha kufanya hapo ni kumrushia kofi la nguvu sana halafu uone kama atarudia.Wa kwanza anayestahiki kurushiwa hicho kitu ni UK ambao wana maneno mengi na wa pili ni Finland ili watu wake kwa mara ya mwanzo waonje shida za maisha kama wenzao duniani,
Si zaidi Bw Putin anaweka nchi maskini nyuma kwa kuanzisha vita kiholela na kwa maandalizi mabaya hadi soko na njia za nafaka zinavurugika, pamoja na vurugu kwenye soko la nishati?Kwa hiyo huyu jamaa alituweka nyuma sana nchi za Africa!!.?
alishoboka na umoja wa nchi za NATO?
anakumbuka shuka asubuhi!!??
akwende zake
Kudadeki kichapo wanapokea na matibabu juu. Hii itaicost sana hao Ukro-Nazi katika taratibu za kuwaachiaBaada ya kusaidiwa kuondolewa majeruhi wao 264 Ukraine imesema imebwaga manyanga Mariupol katika kuutetea mji huo wa bandari.Hao majeruhi wamepelekwa upande wa Urusi na wala sio nyumbani kwao.Hiyo ni moja ya makubaliano waliyoridhia Ukraine ili kupata msaada huo.
View attachment 2227925
View attachment 2227930
Ulichoandika ndio kinasadifu uwezo wako wa akiliKwa akili nina kuzidi mbali sana sana, ni bahati hatujuani ndugu
Kaka sisi sote tulisubiri kabisa kumwona tena rafiki wa Putin anayemwaga matusi na kumweleza kila mtu mwenye maoni tofauti eti hana akili . . . . . .We Jamaa una uwezo Mdogo Sana Wa akili,sio kila kitu lazima utoe maoni yako,kama kitu hujui sio dhambi kukaa kimya
Coalition of the poor and vulnerable.View attachment 2227992
[emoji298]️ On May 18, CSTO Secretary General Stanislav Zas and SCO Secretary General Zhang Ming will meet in Moscow
During the conversation, the parties will discuss the situation in the CSTO area of responsibility and the SCO region, the intensification of cooperation between the two organizations, the priorities of which today are interaction in the field of combating terrorism, as well as maintaining security and stability in the Central Asian region.
Zhang Ming and Stanislav Zas are expected to touch upon possible prospects for expanding mutual participation in events held by both international organizations.
CSTO
6 members
Armenia
Belarus
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Russia
Tajikistan
SCO
8 member states
China
India
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Pakistan
Russia
Tajikistan
Uzbekistan
4 observer states
Afghanistan
Belarus
Iran
Mongolia
6 dialogue partners
Armenia
Azerbaijan
Cambodia
Nepal
Sri Lanka
Turkey
4 guest attendees
Turkmenistan
Association of Southeast Asian Nations
LAbda utukumbushe. Nani alisema Urusi haiwezi kuendelea zaidi ya wiki 1???
Anasema CNN
Coalition of stupid countriesCoalition of the poor and vulnerable.