mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Yaani wee Acha tu tunawaangalia tu 🤣🤣🤣🤣🤣 si walituona Siyo muhimu wameshtuka kama afrika ikisepa na urusi basi wameisha nasubiria kama watamkubalia huyu mtoto ombi lakeKwani Somalia wamo NATO? Kaombwa apeleke jeshi lake uko? Zele si analia lia huko mbona hapeleki [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutashuhudia mengi awam hii.
Aijue wapi Wana comments kujifariji lakini hakuna wanachokijuaSpidi ya mwanga unaijua lakini?
Hahahaha nimecheka sana hahahahaKwamba "Putin diverted the target to deceive NATO" ndio alikuambia hivyo?[emoji3]
Haaaaaaa yaani we unampiga adui yako halafu Unaomba ajisalimishe tena.Siku chache zilizopita
18+graphics content
Haya ni baadhi ya madhara ya matumizi ya TOS-1A dhidi ya majeshi ya Ukraine.
Siku chache zilizopita
Huyu Rais wa Ukraine anastahili kukamatwa na kuchukuliwa hatua, anasubiri nini kusalimu amri! Haoni majeshi yake yanauawa!
Media za westens zinaficha ukweli, huenda miongoni mwa majeshi ya Ukraine yaliouawa na wanaoendelea kuuawa mpaka sasa dhidi ya majeshi ya Urusi kuna NATO ndani yake, naamini kabisa NATO anamsaidia Ukraine... Mrusi anaendeleza kichapo.
Utafikiri ni mwanafamilia wa Putin[emoji16]Hahahaha nimecheka sana hahahaha
Yaani mkuu unaongea kama vile ni ushabiki wa diamond na alikiba, kuna mambo hamtakiwi kuongea coz hii ni vita na sio ushabikiSasa mnasubiri nini kumaliza vita Kama mnawapukutisha wanajeshi wa Ukraine!
Kwako mrusi wa ujiji[emoji16]
Hili nimeshaliongea humu nikasema hao wakijichanganya wakaiwekea vikwazo gas na Oil basi watakuwa wamejaliza rasmi na China pamoja na nchi za Asia zinaenda kuwa na uchumi mkubwa duniani,This man is too humble
Listen to him, Putin 📝: The rejection of Russian energy resources means that Europe is becoming the region with the highest cost of energy resources in the world.
This can irrevocably undermine the competitiveness of the industry of European countries.
Is really Putin ni Adui yao? Wakiwa busy kutaka kuvuruga uchumi wa nchi yake yeye anawashauri namna ya kuuokoa uchumi wao.
My people, this look like a father and his son, A boy kick at his father, the Father, instead of beating him back, He respond calmly with an advise to his son on how to have a good kick for the self defense against others.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti sasa ndio wanajifanya wanaheshim sovereignity za mataifa mengine... Sidhani kama anaweza thubutu hicho kitu.Yaani wee Acha tu tunawaangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si walituona Siyo muhimu wameshtuka kama afrika ikisepa na urusi basi wameisha nasubiria kama watamkubalia huyu mtoto ombi lake
View attachment 2228295