Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

EU clarifies how companies can legally pay for Russian gas, ENI and RWE open bank accounts:

The European Commission has confirmed how European Union companies can pay for Russian gas without breaching the bloc’s sanctions against Russia, in updated guidance on the issue seen by Reuters. The Commission told countries last month that European companies may...
 
Taarifa za mabeberu wa ulaya na marekani hata haziaminiki.wapo ulaya au America wanatoa taarifa za battle ground/field 🤸
 
ukweli ni huu au lugha shida umecopy na kupasteView attachment 2228355

Hiyo ni lugha ya kibeberu ya kuficha aibu!! Wanatumia neno"Evacuated" kana kwamba kuna mtu am,ewafuata huko na kuwafukua!! Wamekubali kutoka wenyewe wakiwa mikono juu kama ulivyoona ikiwa ni ishara ya kusalimu amri na kusachiwa!! Hao ni mateka tayari. Wanachosubiri wakiwa utekani ni fulsa ya kubadilishana mateka!! Kumbuka mwan zoni walitaka waruhusiwe kwenda nchi ya tatu!! Maji yalipozidi unga wamekubali uteka chini ya urusi!!
Hawakuwa na namna nyingine baada ya kuishiwa chakula na risasi!
 
Kwa hivyo Mr Tyang whatever ,word/ opinion is gospel truth? Putin has miscalculated big the worlds reaction to his unprovoked invasion of Ukraine. Leo yupo Kremlin anajuta uvamizi.
 
Pale unapokosa nauli kisha ukapewa ticket ya bure... ile joy utakayokua nayo ni kama atakayo kua nao Turkey,

Na atapokelewa kwa bashasha sana Upande wa pili, napo ndipo hii Movie itanoga.
 
Nilikuwa nafuatilia na kusema hii kitu inaonekana kama ya kitoto kwa Urusi, vile imechukua miezi sasa toka alipokuwa anatamba kuipokonya nchi yote.

Putin anajipa moyo sana alikuwa anajiapiza kuichukua Ukraine yote ndani ya muda mfupi but mpaka leo hasemi kitu zaidi ya kujipambanua anachukua aridhi yao ya mababu ila ana kazi kubwa sana, maana kuna vinchi vya pembeni navyo vimeanza kuota mapembe kutaka kujiunga NATO.
 
Kwa hii trend ya wanajeshi wa Russia kufa mmoja Kwa Kila wanajeshi watatu na vifaa vyao vingi kuharibiwa ndio watateka UKRAINE yote?🤔
Huu Uzi unatakiwa upelekwe Kwenye jukwaa la kimataifa.
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza


Picha ya pili


Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni 🤗
 
At the American base "Et-Tanf" in Syria, militants loyal to the United States are being trained for deployment to Ukraine, the Foreign Intelligence Service reported.

Mpaka dictator aombe poo,[emoji41]
Yaani wakijaza mamluki wa syria ndio mwisho wa ukraine. Maana Russia wakiamua kuchukua mamluki wanaowachukia US kwa waarabu bas ukraane na ulaya utakua uwanja wa damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…