Naomba kuulize nan anaweza kutupatia hali halisi ya maisha ya huko Russia. Make Sasa hivi ni kama north Korea. Hakuna taarifa yoyote inayotoka huko kuelezea maisha ya huko yakoje tangu vita ikoleeUshakunywa uji unakuja kujamba uku hivi vikwazo ni kama msumeno inakata mbele na nyuma waulize west wanavyo jamba jamba kila siku vikao alafu urusi wala husikii akilia waliisi urusi ataumia kuliko wao Ila imekuwa tofautii uswis kashatoa vikwazo vya pesa alivyoweka Kwa makampuni na warusi saivi urusi inangojea mwezi wa 11 Tu kelele zote izi zitaisha
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
mmechoka Ukraine... Mnasubiri Finland.... Umebaki na akili za kuvukia barabara tu kwa akili hizo.Mie nasubiri aje abamie Sweden na Finland
Watu wengi hawaangalii hivi vikwazo vya uchumi alivyowekewa Putin , wanaangalia tuu amerusha makombora wapi . Asilimia kubwa ya matajiri wa Russia wamepata hasara kubwa sana .
Hela nyingi zilizoshikwa nje ndio zinanunua silaha zinarudi Ukraine. Nadhani maisha ya Putin na washirika wake wanajuta kuivamia Ukraine .
Putin anapiga vita viwili vikuu . Uchumi na vita vya makombora.
Wamebeba Hilo li paintball wameenda kupiga nalo picha ...aseee video nzima nimeiona ... Haya mseme wameteka eneo ganiThe solders of Ukraine shared this video saying they have reached the Russian boarder🤔
https://www.facebook.com/
Wananchi wa urusi wanaishi maisha mazuri kuliko hao wa magharibi......kiufupi wa magharibi wamejibaka wenyeweWatu wengi hawaangalii hivi vikwazo vya uchumi alivyowekewa Putin , wanaangalia tuu amerusha makombora wapi . Asilimia kubwa ya matajiri wa Russia wamepata hasara kubwa sana .
Hela nyingi zilizoshikwa nje ndio zinanunua silaha zinarudi Ukraine. Nadhani maisha ya Putin na washirika wake wanajuta kuivamia Ukraine .
Putin anapiga vita viwili vikuu . Uchumi na vita vya makombora.
Lengo la UKRAINE sio kuteka eneo lolote la Urusi Bali ni kujilinda dhidi ya uduanzi wa Urusi, super power no.2 huku hakuna chochote 🤔Wamebeba Hilo li paintball wameenda kupiga nalo picha ...aseee video nzima nimeiona ... Haya mseme wameteka eneo gani
Ukraine anamchakaza Mrusi.View attachment 2228953
Njaa haina baunsa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wamebana wameamua kunyoosha mikono