Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Walipoteka hayo maeneo walitangaza chombo gani !!!??We jamaa embu acha vituko.
Usikute hata maana ya kuteka hujui.
Maeneo kama Kharkiv yalitekwa na Russia alitangaza kuyaweka huru dhidi ya Ukraine.
LAKINI UKRAINE KAYAKOMBOA .
ANAESEMA KHARKIV KUKOMBOLEWA NI DAY DREAM AACHE UZWAZWA ATAZAME TAARIFA ZA HABARI.
KWASASA MAENEO MENGI RUSSIA ANAONDOLEWA NA UKRAINE ENEO GUMU NI MARIUPOL PEKEAKE NA DONBAS.
ILA KHARKIV JANA FOOTAGES ZIMEONESHWA NA CGTN RUSSIA WAKIONDOKA MDOGO MDOGO.
RUSSIA NI JIBWA KOKO TU KUBWEKA KWINGI.
Mmesahau mlivyokuwa mnawatwanga risasi. Mtawatoa wapi wanajeshi wa Russia mliowateka?.
Kifupi wale wanaenda kuwa watumwa
Ndio,ndio ndio.Hiyo "binduki" anayoikagua mbabe Putin akibeba Biden lazima akapigwe Ultrasound kucheki uti wa mgongo.
NAKAZIA !!!!!Aaah pro NATO where are you siwaoni mkicomment yaani mnashadadia NATO hawahawa walio tumia makanisa kunyonya watu wengine, hawahawa walioupitisha ushoga hadi makanisani, hawahawa wanaotujonya mbaka kesho aaah kweli pro NATO ni hopeless kabisa yaani nyinyi ni wajinga kwa Kila Kila kitu sielewi Nini mnaelewa history ya dunia chenga, Imani chenga, science na technology chenga na uchumi chenga. kweli yinyi ndio mnaoturudisha nyuma kilasiku ni hasara kubwa sana kuwa na watu Kama nyinyi
Alisikika akiongea kwa huzuni m-Ukraine mmoja wa 'Mabwepande' baada ya kuumizwa na taarifa ya wanajeshi zaidi ya 900 wa Ukraine waliojisalimisha kwa majeshi ya Russia....Unateseka mkuu mpaka nakuonea huruma.
Halaf kuna walio like[emoji23][emoji23][emoji23]Maneuver warfare, hii mbinu moja wapo kwani supremacy ya vikosi vya urusi vitakuwa challenged, kukataa kusurrender kunamaanisha kitu probably wamehakikishiwa msaada na vikosi vya silaha za msaada. Inaonekana wazi askari waliogoma bado wake kwenye defence line na fighting unit zao zinaweza kujibu mapigo. Kama wangekuwa wamezingirwa it means wanakuwa kwenye killing zone haina haja ya kuwaambia wajisalimishe wao wenyewe wataweka silaha chini. Vita ina level tatu yaani physical level, psychological level na analytical level, under this section makamanda wao watakuwa wamefanya analysis na kuona kuwa wanaweza kuendeleza mapigo licha ya kuzidiwa wingi wa askari. Personally, nawasifu askari wa ukraine ni wanaume haswaa wenye pumbu za chuma sio mchezo kuhimili supremacy ya jeshi kubwa kama la urusi.
Slava ukraine Slava ukraine [emoji16][emoji16][emoji16]Unateseka mkuu mpaka nakuonea huruma.