Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?



✨ Today the Baltic Fleet celebrates the 319th anniversary of its foundation


βš“οΈ During the summer training period, ships of the Baltic Fleet will take part in more than 30 different types of exercises in the waters of the Baltic Sea and various areas of the world ocean.


🚒 By the end of the year the ships of the fleet are to make several voyages, including ones to the deep sea zone. In addition to ships and support vessels, coastal units, naval aviation aircraft and helicopters will be involved in the exercises in the fleet's area of responsibility.


#MoD #Russia #BalticFleet
@mod_russia_en
 
Hiyo Baltic Fleet sijui kama itakuwa na nafasi tena? Nafasi gani nje ya paredi? Maana kutokana na hekima kubwa ya Bwana Putin na Finald na Uswidi kujiunga na NATO, pwani za Bahari Baltiki sasa ni asilimia 97 eneo la NATO. Tumeshaona jinsi ilivyo kazi nyepesi kuzamisha manowari kwa kutumia roketi kutoka nchi kavu.
 
Ukipenda kuyaita demilitarization, sawa! Lakini usisahau kumshukuru Bwaa Putin kwa demilitarization ya Urusi pia! Ni dhahiri kuhusu Urusi amefaulu kuliko Ukraine.
Labda analenga Tuzo ya Nobel ya Amani?
 
Nimekupa "like" mkongwe, usijisikie mnyonge sana.
😐😐😐
 
Ukipenda kuyaita demilitarization, sawa! Lakini usisahau kumshukuru Bwaa Putin kwa demilitarization ya Urusi pia! Ni dhahiri kuhusu Urusi amefaulu kuliko Ukraine.
Labda analenga Tuzo ya Nobel ya Amani?
Mwana vita ya maneno mtandaoni ni utoto. You need to change. Ukiendelea kuongea upumbavu I will block you.

Thanks
 
Miji aliyoitaja raisi Zelenky mwenyewe kuwa iko mikononi mwa Urusi na kuahidi atapeleka jeshi kuikomboa ni hii Kherson, Melitopol, Berdiansk, Enerhodar and Mariupol. Wanajeshi wake aliowaamini ndio hao nao wako Urusi.Sijui ushindi wa Ukraine dhidi ya Urusi unakujaje.
 
Hao waliwekwa blocked ni masaa tu yalikuwa yahesabika wamalize maji na biskuti zao 🀣🀣🀣🀣🀣
Vita vya kujichimbia kwenye handaki na vile vya kutoa msafara mrefu wa vifaru nadhani kwa sasa ni mbinu dhaifu za kivita.Adui akijua uko kwenye handaki ama atakufukia au atakukatia mahitaji muhimu.Na msafara wa vifaru unatishiwa na drones na ndege za kivita muda wote.
 
Sasa Nato si waamue, wanasubiri nini?
 
Sawa myukraine wa yombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…