Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Crimes of Poverty (COP).
😂😂😂😂
 
Alisema wapi? Weka source?
 
Wanaosema putin ameshindwa vita kwenye mji wa kiev wajiulize, kati ya mji mkuu wa taifa wa dodoma na daresalaam upi ni muhimu zaidi kimkakati kwa tanzania?
Haya maswali sasa hivi tunajiuliza na kujijibu wenyewe, maana Pro NATO-US wote wanauchungulia huu uzi kwa mbali sana. Hadi Mwanakiwi anakuja humu ndani kwa kusitasita, chezea spana za Pro Russia wewe!
 
Haya maswali sasa hivi tunajiuliza na kujijibu wenyewe, maana Pro NATO-US wote wanauchungulia huu uzi kwa mbali sana. Hadi Mwanakiwi anakuja humu ndani kwa kusitasita, chezea spana za Pro Russia wewe!
leo usiku wa manane watakuja kubweka, nimeona habari senate wamepitisha msaada wa dola billion 40. Pengine watapata pakujifichia
 
Pale Muanzisha Ugonvi akizidi kuongeza speed kuelekea kwenye makorongo 🤣 Amani nayo taratibu inaenda inarejea wadau.

Songa nayo 👊
Afghan Taliban "brokers" peace talks between Pakistan and Pakistani Taliban. (NB wale wadau wangu wa "English sio size yangu" hiyo brokers sio kuvunja ni slang ya udalali yenye maana ya kusimamia)


🔹Afghanistan's Taliban group says it is hosting peace negotiations between the Pakistani government and Tehreek-e-Taliban Pakistan (TTP) in an attempt to end more than two decades of deadly conflict between the two sides.
 
When you have Wajomba wababe like China and Russia nawe unakuwa mbabe 😂

Pyongyang (North Korea) may greet Biden with missile test during South Korea visit

🔹The United States says North Korea could carry out nuclear tests or long-range missile tests, or both, during or after President Joe Biden’s visit to South Korea and Japan this week.
 
Imekuwaje russia bado anaendelea kukihodhi cha nishati ya nyuklia haliyakuwa tuliambiwa russia wameondoka eneo hilo kwa dhumuni la kuonyesha uaminifu kufuatia mazungumzo yaliofanyika uturuki. Nakumbuka pia waliondoka jijini kiev baada ya kulizunguka jiji hilo. Aisee hii dunia imejaa uongo
 
Chukua hiyo
 
biden naye anakwenda kukusanya mapato yake huko korea na japan. Hizo ziara ni mbwembwe tu lakini dhumuni ni hilo.
 
Nisipokosei, wote (waliofuata western mainstream au southern sidestream) walitegemea kwamba hao wa Marioupol wangemalizika wiki nyingi zilizopita. Binafsi siamini mambo ya mashujaa, ila kama wako, labda ni pamoja na hao.
Waliposalimisha amri - walifanya kwa amri ya Kyiv.

Urusi kama baba wa Dunia??? Hmm, nashukuru simwoni katika hati yangu ya kuzaliwa!!!!

(Dini ya Putin ni imani ya ajabu, hata hivyo natetea uhuru wa dini!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…