KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Duh, hii hadithi sijawahi kuisikia mkuu 'Ice van cliff'. Wewe utakuwa ni mtunga hadithi mzuri sana!Hii ni kama kipindi kile Cha Musa alipokua anashindana na Farao.
Musa alitoa fimbo yake ikageuka kua nyoka,Wachawi wa Farao nao wakatoa na wao fimbo zao zikageuka nyoka.
Musa akaiamuru Nyoka yake ifanye zaidi,
Fimbo/nyoka ya Musa ikazimeza wale nyoka wa Wachawi wa Farao.
Mchezo ukaishia hapo.
Hivi ndivyo afanyavyo Vladimir.
Huyu mwamba ndo definition halisi ya Pro Russia. Hii ni combination ya ujuaji, ujanja, ubabe, uswahili, ukimix na ugaigai humo humo ndo unampata Pro Russia aliyekamilika.Songa nayo 😂
Medvedev: The UN Secretary General, various Sullivans and Blinkins, who suddenly appeared like the devil out of a snuffbox, the “grain seven” (obviously not magnificent), some other particularly miserable Europeans spoke like the unforgettable Kisa Vorobyaninov: Je ne mange pas six jours!
This was to be expected. And that's why, Countries that import our wheat and other food products will have a very difficult time without supplies from Russia. And on European and other fields, without our fertilizers, only a juicy weed will grow. Well... that's sad. They themselves are to blame.
Na 2Pac hajafa, yupo Cuba anakula maisha.Azov has not fallen
Zee la mapropaganda!
MAP: Baby formula supply has been dwindling for monthsZee la mapropaganda!
mkaza fuvu kazini
Mbona zimeandikwa kwenye biblia mkuuDuh, hii hadithi sijawahi kuisikia mkuu 'Ice van cliff'. Wewe utakuwa ni mtunga hadithi mzuri sana!
Fimbo ya Musa niliisikia, lakini hizo za Farao, sijui zilipita upande wangu wa kushoto?
Nafikiri Sasa imefika wakati wa kukuignoreNisipokosei, wote (waliofuata western mainstream au southern sidestream) walitegemea kwamba hao wa Marioupol wangemalizika wiki nyingi zilizopita. Binafsi siamini mambo ya mashujaa, ila kama wako, labda ni pamoja na hao.
Waliposalimisha amri - walifanya kwa amri ya Kyiv.
Urusi kama baba wa Dunia??? Hmm, nashukuru simwoni katika hati yangu ya kuzaliwa!!!!
(Dini ya Putin ni imani ya ajabu, hata hivyo natetea uhuru wa dini!!)
Nimekuja kuona kumbe Ni mpuuzi imenipasa kumuignore ..... Nisione tena upuuzi wake....Punguza dharau na kejeri ww mzee.
Jaribu kuheshimu mawazo ya wengine ww sio Mungu mpaka utake kila unacho waza ww na mwingine awaze hivyo hivyo.
Au ww ukiichukia Urusi basi na wengine waichukie kama ww unavyo ichukia.
Kama huwezi kujibu hoja kaa kimia.
Ni sahihiDuh, hii hadithi sijawahi kuisikia mkuu 'Ice van cliff'. Wewe utakuwa ni mtunga hadithi mzuri sana!
Fimbo ya Musa niliisikia, lakini hizo za Farao, sijui zilipita upande wangu wa kushoto?
Hata mm huyu jamaa muda sio mrefu nita mpiga bani.Nafikiri Sasa imefika wakati wa kukuignore
Nimekuja kuona kumbe Ni mpuuzi imenipasa kumuignore ..... Nisione tena upuuzi wake....
Ambazo USA Hana ausio na G7Operation imekuwa tamu Sana, wahenga walisema subiri inyeshe tujue panapovuja. Kuna teknolojia za siri Sana Russia anazo
Anafuata kwenye orodha ya kuwaignore akiendelea na ujinga wake....Zee la mapropaganda!
mkaza fuvu kazini
Kama ndo iko hivi, Kiev ni ya nini?Zaporozhye Nuclear Power Plant will work for Russia - Russian Deputy Prime Minister Khusnullin
Power generation
Units operational: 6 × 950 MW
Make and model: 6 × VVER-1000/320
Nameplate capacity: 5700 MW
Capacity factor: 58.68%
Annual net output: 38,000 GWh
Yaani maana yake hizi Mwalimu Nyerere Hydro Power ziwe 19.
Acha kumjibu Mpuuzi wakikenye Mpotezee Anatafuta Wakumjibu kwa nguvu Sasa Mnapo mjibu Anajiona Zimo kumbe Pumba tuPunguza dharau na kejeri ww mzee.
Jaribu kuheshimu mawazo ya wengine ww sio Mungu mpaka utake kila unacho waza ww na mwingine awaze hivyo hivyo.
Au ww ukiichukia Urusi basi na wengine waichukie kama ww unavyo ichukia.
Kama huwezi kujibu hoja kaa kimia.
Waache waendeelee kudanganywa na muvi za WARBUS 🤣🤣🤣Mkuu hivi ulishawa wahi kuwasikia wanyama wanaoitwa Spetsnaz?
Hao ndio askari maalumu wanaogopeka duniani.
Wanamafunzo ya hatari kuliko askari yoyote duniani.
Ukipeleka watu 1000 wakajifunze Kuwa Spent,wanapita askari 100 TU.
Waliobaki utakuta wamevunjika viungo,wamefeli,wameacha,na wengine hata kufa.
Ukimteka Spetsnaz ukianza kumtesa utachoka wewe.
Huko nchi za nje na hata ndani hua Kuna maneno yanasemwa kua Spetsnaz hua hawasikii maumivu,hata akiumia,au umtese vipi hawasikii maumivu.
Mwandishi mmoja alihoji Spetsnaz mmoja.
"Eti nasikia nyinyi hua hamsikii maumivu"
Spetsnaz akacheka,kisha akajibu" hapana hua tunasikia lkn tumefundishwa kuweza kuhimili maumivu."
Kibaya zaidi Spetsnaz ndio askari pekee Duniani wakimaliza ama wakihitimu mafunzo hua wanavalishwa/ wanavaa bullet proof kwa ajili ya hatua ya mwisho ya kuwalenga vifuani kwa risasi za moto kama kupewa spirit ya kutokuogopa risasi.
Hii sio propaganda .
Na umeme ananunua kwa sarafu ya Russia 😀😀Wakati Zelensky akiendelea na kushinda vita huko Twitter, Russia imesema itaanza kuiuzia umeme Ukraine toka kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya (kinu kikubwa zaidi kwa Ulaya) kilichopo Ukraine ila kimeshikiliwa na majeshi ya Russia toka March.
Ukraine imeambiwa wakishindwa kulipia huduma hiyo ya umeme kwa Russia, umeme wote unaofuliwa kwenye kinu hicho utakuwa waenda kutumika Russia.
Safi sana Putin, mwaka huu Zelensky atajuta kuifahamu Russia.
============
View attachment 2230914
Hahahaha a stupid propaganda.....and how many soldiers have you (Ukraine) lost on your part???