Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu mwamba ndo definition halisi ya Pro Russia. Hii ni combination ya ujuaji, ujanja, ubabe, uswahili, ukimix na ugaigai humo humo ndo unampata Pro Russia aliyekamilika.
😂😂😂😂
Hawa miamba ni moja kati ya wanaume wachache tuliobaki duniani😄😄😄😄na ambao tunaendelea kuutumuza uanamume wetu.
Baada ya hawa panya buku kujichimbia shimoni mwamba akasema waache Ila hakikisha hakuna panya anayetoka.
Hii ilikuwa kauli ya kiume sana. Kwa wale tuliosoma Cuba, hapa ni kwamba huyu mwanaume alikuwa anawaeleza hawa ndezi wa NATO kwamba mimi Hawa panya huko shimoni siwagusi nawapa mda wa kutosha kama nyie ni Wanaume kweli njooni muwatoe.

Hakuna ndezi aliyesogea hapo, hakuna cha sijui SAS sijui SEAL😂😂😂😂😂😂😂😂.
Mpaka pale panya wenyewe waliposhtuka kuwa aliyewangira ni wanamume wa shoka na hao ndezi hawawezi kusogea. Ikabidi wajitoe.
Na technically vita imeishia hapo. Kila mtu sasa anajua kuwa Russia anaweza kufany chochote na Ndezi hizo zisitie pua.
 
At the G7 meeting, plans were discussed to create a cartel to control the price of Russian oil.

This was told by US Treasury Secretary Janet Yellen. According to her, such a measure will reduce Russia's energy revenues without creating too much burden on the global economy.

“For this, a large cartel is needed, perhaps the EU alone will not be enough,” Bloomberg quotes her.

Yellen also noted that an alternative approach could be the idea of setting tariffs instead of price caps. In fact, such measures will determine how much China or India can buy Russian oil for, the newspaper writes.
 
Top news for the day:

- US President Joe Biden does not plan to discuss Ankara's concerns about NATO expansion with his Turkish counterpart Recep Tayyip Erdogan, said national security adviser to the American leader Jake Sullivan;

— columnist Vincent Colin, citing data from Citi analysts, said that Russia could receive record revenues of $100 billion from gas supplies to Europe in 2022;

- the White House did not rule out that US President Joe Biden could hold talks with Chinese President Xi Jinping in the coming weeks;

- the head of Rospotrebnadzor Anna Popova expressed the hope that the coronavirus pandemic in Russia could end in the foreseeable future, but COVID-19 itself would not go away. According to her, coronavirus can be attributed to seasonal acute respiratory viral infections.

 
France has deployed Mamba anti-aircraft missile systems in Romania as part of a mission to strengthen NATO's deterrence and defense capabilities on the eastern flank, the country's Defense Ministry said in a statement.

 
Ukraine shelled the Kursk region again. The villages of Alekseevka and Dronovka were hit. This was announced by Governor Roman Starovoit:

“Enemy aggression was suppressed by return fire. There were no casualties or damage. Our military is in control."
 
Super power uchwara kaanza kulialia



View attachment 2231298
Moscow Says: US is using Dollar as weapons.

Wadau Smart wa JF: US acha kulia lia ka bata wewe, panda hayo makaratasi(Dollar) yako yaote uvune ule ushibe 🤣🤣🤣.

Hi dunia ina viongozi wapuuuzi sana, so walifikiri Russia ni wapumbafu? Vikwazo ef 10 kuushambulia uchumi wake kumbe hawana pa kula wanarudi kumuomba msosi.

Stupid Westerners 😂 Kuleni karatasi zenu mazee tunasikia zina Protein nyingi mno.
 
Hapa Wana maana kwamba.... Hakuna namna wanaweza kuacha kununua mafuta ya Russia... Ila wanatafuta mbinu chafu za kufanya hiyo biashara.

Na pia wameshaona mbinu ya kususia hayo Mafuta sio mbinu sahihi na inawaumiza wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…