Kunywa apple punch utulie mrembo, haya mambo ya kiume tuachie wenyeweYaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .
Waendelee kutuma silaha za mabilioni tu, njaa itawaonesha kazi na hakuna kutuma nafaka zozote zile ni kwa ajili ya warusi tu! Hao NATO si wana hela watume na magunia ya mahindi sasa huku UKRAiNEUN Secretary General Guterres: There is no effective solution to the food crisis without the reintegration of Ukrainian production into world markets. And also without products and fertilizers from Russia and Belarus. Russia must ensure the unhindered and safe export of grain from Ukrainian ports, and Russian products and fertilizers must have full and unrestricted access to world markets.
Juicy weed au sio hahahahah kazi iendeleeSonga nayo 😂
Medvedev: The UN Secretary General, various Sullivans and Blinkins, who suddenly appeared like the devil out of a snuffbox, the “grain seven” (obviously not magnificent), some other particularly miserable Europeans spoke like the unforgettable Kisa Vorobyaninov: Je ne mange pas six jours!
This was to be expected. And that's why, Countries that import our wheat and other food products will have a very difficult time without supplies from Russia. And on European and other fields, without our fertilizers, only a juicy weed will grow. Well... that's sad. They themselves are to blame.
🤣🤣🤣 Nyongeza ya 23.3% umetoka wapi kama uchumi sio mzuri? Putin, urraaaah 🇷🇺🇷🇺💪😁😆Yaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .
Isi kuume sana mkuu mbona sisi waumini wake hatuteseki vipi wewe uteseke?Ninaiita Dini ya Putin, nikiona jinsi waumini wako wanasifu hekima, genius, huruma, ujuzi wake.... Ilhali sifa hizo hazina uhusiano na hali halisi, naona tumepata dini mpya.
mafala wanatembelea magongo yani vita sio play stationMbona upekuaji/ukaguaji kama hauko serious?
Hao maboya ni kuwakagua mpaka kwenye matako, hawaaminiki hao kenge!
huku raisi anatoa msaada wa silaha huku raia wanaiba cornflakes kwenye supermarketCrimes of Poverty (COP).
😂😂😂😂
Ahaa sawa.,Hilo swali sio lake, aliuliza pro NATO huko nyuma.