Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Walizisifia sana kuwa sasa zimefika chamoto URUSI watakiona.sasa sijui wamezifungia chumban[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna watu walipiga sana kelele na mapambio humu ndani leo siwasikiii kabisaaa Marekan nae silaha zake za mchongo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mzigo wa silaha umelipuliwa huko na jeshi laurusi kutokea Black Sea hahah
 
Ndio maana Hitler methodology ilikuwa Well adopted na USA kwa kuwatumia Hitlers Generals kwenye NATO as first leaders.
Kwa tabiabya us then ilaanza kuwatengeneza another NAZis like did to Talibans those days in Afghanstan.
 
Marekani yasikitika kuripoti kuwa majeshi ya Russia leo hii jumamosi yamezinywa shehena kubwa za silaha na vifaa vya kivita toka Marekani na nchi za Ulaya vilivyopelekwa Ukraine kuisaidia serikali ya Zelensky...

Shehena hizo za silaha za mabepari ya kimagharibi zilizoingizwa Ukraine, zimeshambuliwa na kuangamizwa katika mikoa ya Zhytomyr na Donbas kwa kutumia yale makombora 'pendwa' ya Russia yaitwayo Kalibr cruise missiles

Pia huko Odesa, majeshi ya Russia yameunguza miundombinu ya kuhifadhia mafuta, na pia yametungua ndege mbili za kivita za Ukraine aina ya Su-25 na kuziangusha droni 14 za Ukraine (watakuwa wamezichoma kwa kutumia zile silaha zao ngeni za mionzi ya leza za kuchomea drones)


 
17000 russia imepoteza mbali mateka zaidi ya elfu10 ambayo saivi yanasuburi kesi zao za mauwaji ziendelee Kyiv
 
Pro Ukraine Unatudanganya! Sasa na WAZEE wanaandikishwa kwenda kupigana ili iweje?
Siyo muda mrefu Donbass itatekwa kikamilifu.
Kabla mulitangaza ishakuwa huru Donbas mukasherehekea na bendera kila kona saiv munasema si muda mrefu, miezi 3 gone hatujasikia tena mrusi wa mchongo akitangaza ushindi, tutegemee anguko kubwa la urusi
 
Kama Urusi ingejikita kuyatwaa hayo maeneo ya Ukraine mashariki toka awali huenda wangeshayatwaa na wasingeangukia kwenye fedhedha waliyonayo hivi sasa hasa baada ya kushindwa kuiteka Kyiv.
lee van cliff idawa
Proved
Hakuna fedheha yoyote Urusi imepata.
Mimi,wewe,CIA na NATO hatujui mipango ya Urusi ikoje.

Pia hata baadhi ya wanajeshi wa Urusi hawajui mipango yote ya Urusi ikoje ili kuepuka kutoa Siri pindi wakitekwa.

Mipango ya vita hua ni Siri za makao makuu ya jeshi na makamanda wa ngazi za juu.

Kwa hiyo Mimi na wewe tuangalie vita kwa nje inakwendaje.

Nakumbuka Putin alisema hawataki kupiga Kyiev kwa sababu huko Kuna Decision makers,hivyo bado wanategemea mazungumzo kumaliza vita hii,hayo ni Nia njema sana.

Kama unaamini kweli kuwa Urusi kashindwa kuikamata Kyiev basi nakupa pole sana.

Kwa resources alizonazo Urusi na akidhamilia kweli Kyiev haisumbui.
Kuna General mmoja wa German juzi katoa maoni yake kua Urusi inaipiga Ukraine kistaarabu,na Ukraine waisidhani wanaweza kuishinda Urusi.
Bandiko liko humu.
Huyo ni kama anamuunga mkono Gen wa Marekani nae alitoa kauli kama hiyo
Andiko limo humu.

Hakuna fedheha yoyote Urusi kapata zaidi ya fedheha kwa NATO.
Unaamini Urusi inapigana na nchi zaidi ya 30?
 
Kabla mulitangaza ishakuwa huru Donbas mukasherehekea na bendera kila kona saiv munasema si muda mrefu, miezi 3 gone hatujasikia tena mrusi wa mchongo akitangaza ushindi, tutegemee anguko kubwa la urusi
Kazi imeshaisha bado kusafishasafisha uchafu then kutangaza Uhuru wa Donbass!
 
My friend, Kuna Ndugu anaitwa Askari Kanzu tulikuwa wote humu Toka wahuni wa Benghaz wanafanya uhuni! Hakuna Askari wa Ghadaffy alihasi. Hao wahuni wa Benghazi hawakuwa Askari bali Mamluki kutuko Nje ukichanganya na dissidents wa kiraia!
====
Ngoja nikutafutie uzi wa sakata hilo la Libya lakini Sasa tujikite kwenye mjadala huu. Wa Ukraine kupigika!
 
Aibu sana kwa supa pawa kama urusi ila si umeona matusi kutoka kwa warusi wa ujiji

Hao warusi wa kwa mtongole na Gongolamboto kwa sasa wana hasira sana maana sio walivyotegemea, walianzisha nyuzi nyingi nyingi za namna Putin atamaliza show ya Kiev ndani ya siku tatu, sasa wapo wapo tu wamekwama ilhali Mrusi anapokea kipodo kule anasukumizwa nje nje.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…