Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado Sarmat haibadilishi kitu . . . .
 
Hiyo sentensi ya "silaha ngeni zisizofahamika" inamaanisha nini kwa NATO/Marekani.?

Asante Putin kwa kutufungulia dunia.
 
Wakati Sarmat iki destroy UK, unafikiri Moscow na miji mingine mikubwa ya Urusi itabaki?3
 
Kitakachokwenda kutokea sasa ni NATO kuweka wajeda wao rasmi sijui kama watakubali kushindwa coz wajeda wa Ukraine waliokua wanategemewa ndio hao washakamatwa hahaha naona kama vita ndio imeanza sasa ila huyu comedian angekubali mashart ya urusi wasingefika huku sema alikaza pole yake!
 
Danganya wajinga (wasiojua) wenzio. Siyo mimi. Usifikiri JF ni ya mbumbumbu. US news maana yake "habari za marekani". Haina maana kuwa ni chombo cha habari cha Marekani. Hata kama kingekuwa chombo cha habari cha Marekani, wapi kinasema Marekani imesikitika? Onyesha maneno yanayosema 'Marekani imesikitika'. Kadanganye wasiojua (wajinga) wenzio huko kijiweni.

Narudia tena, hii habari imeriportiwa na Reuters, Shirika la Habari la Uingereza tarehe 22 May 2022. Reuters wanaripoti taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. Moderator huu ni upotoshaji wa makusudi na hii ni feki news.

 
Wakati Sarmat iki destroy UK, unafikiri Moscow na miji mingine mikubwa ya Urusi itabaki?3
Ngoja nikutoe Tongotongo

Land Power​

Here too, the numbers are stacked heavily in Russia's favour – Global Firepower lists the following figures:

Britain: tanks: 227; AFVs or armoured vehicles: 5,015; self-propelled guns: 89; towed artillery: 126; rocket projectors: 44.

Russia: tanks: 12,420; armoured vehicles: 30,122; self-propelled artillery: 6,574; towed artillery: 7,571; rocket projectors: 3,391.
 
Supu nimemaliza. Hapa najiandaa na kuaga familia na nyinyi niwaage mpaka wakati mwingineee. Sijui vita vitakuwa vimeisha au bado.
Ww unashangaza kweli kwani kuingia jf na kutoka kunahitaji kazi ya namna gani!?
au ww ni msukule?
unaaga aga utafikiri una kazi ya muhimu pekeyako hapa duniani....
ninachojua mm ambae hawezi ku komment kwa wakati ni demu anayeliwa
 

Vita ikiisha Ukraine anaenda kuwa na deni hilo mana wale jamaa hawana cha kusaidia bure!
 
Utakufa kwa 'kihoro' na 'ukilaza' wako wa kujitia kukatakata maneno...

'Kubwa' zima wajitia kulialia hapa jukwaani kwa vitu vidogo na kujitia kushitakishitaki kama mtoto mdogo kwa moderator vitu usivyokuwa na uelewa navyo...

Hicho chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) kinachoripoti hapa ni chombo cha habari cha ukoo wenu hapo Mabwepande?!

Mbona sasa hivi hujashitaki tena kwa moderator?!


 
Okay, okay.... "Marekani imesikitika sana" kwenye habari yako hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…