Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sina muda wa kufuatilia huo upupu wako..
 
Adui wa kweli wa Mrusi ni mjerumani na mjerumani anamjua vizuri Mrusi ipasavyo. Ndani ya Urusi ukisema fulani ni WANAZI wapo tayari wamsamehe GAIDI.

Wahenga walisema mpe mbwa wako jina baya ili umpige vizuri. Urusi iliposema wanaenda kuwapiga WANAZI waliopo Ukraine taifa lote lili-support kwa Sababu WANAZI ndio adui wao wa kweli.

Na hata siku Putin akisema anaipiga Poland kwa Sababu kuna WANAZI atapata support kubwa kutoka kwa warusi na kila mwaka Urusi anawajengea chuki na hasira Kali watu wake juu ya ubaya wa WANAZI kupitia VICTORY DAY
 
Mjinga huyo
 
Kidude safi sana (Warusi walihitaji kitu kipya maana roketi zao za zamani nyingi zina kutu, natumaini hawakununua tena matairi yale ya bei duni kutoka China..) ila kwa nini tunapata picha hizi ?
Ndiyo, zinaweza kuangamiza Marekani yote, Uingereza yote, hata Andorra na San Marino!!! Ila hazibadilishi kitu chochote kwa sababu uwezo huo ulipatikana hata zamani. Na uwezo wa Marekani, Uingereza na Ufaransa kuangamiza Urusi yote uko palepale.

Sijui waumini wa Putin wana imani dhaifu kiasi cha kukimbilia picha za roketi kubwa zaidi? Ambazo ni habari za kale?
 
Russia anafanya kile wanachofanya Ukrein sababu Ukrein wameanza kusikiliza kesi za wanajeshi WA urusi kuwa waliuwa raia nilikuwa najiuliza Urusi watawashtaki vipi wanajeshi WA Ukrein naona wamepata njia rahisi WA kufungua mashtaka nawo watahukumiwa kama Ukrein wanavyofanya
 
Hotuba ya putin kwenye victory day ilikuwa ya kusisimua na kuhamasisha uzalendo
 
Unazani USA Haina laser weapons? Jidanganye hizo Dola Bil 40 subiri utaona zinachoenda kufanya huko
Umejibu kiwepesi na kwa hoja dhaifu sana ila sio kosa lako ni ufahamu tu.

Hivi kuwepo raia wa Israeli sehemu ndio kigezo Cha nchi kuwa na maendeleo makubwa ya kitechnolojia? Kama ndivyo waisraeli hawapo Kenya na Burundi? Kama wapo, wameweza kuyafanya yanayofanywa na walioko USA au Russia? Je,uwezo wa waisraeli wote kiakili upo sawa?
 
Hila Putin huyo mzee muhuni sn yaani maeneo aliyoyateka kwenye vita tayari anaya hesabu km yapo ndani ya Russia hataki kuyarudish
 
Hii kuamini kila kizuri katengeneza Israel ni ugonjwa mwingine mkubwa
 
Waisrael walimpelekea Yesu mwezini biblia chombo kikaungua njiani[emoji3]
 

Bebi joseph unahisi na wewe ni giriti sinka unaona umechangia bonge la point
 
Kuna point ya kujifunza hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…