Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wangekuwa nayo wasingeshangaa na kusema silaha ya ajabu inayounguza drones? na kama walijua kuna silaha za hivyo wasingepeleka drones zao kizembwzembe naman hiyo
 
Wangekuwa nayo wasingeshangaa na kusema silaha ya ajabu inayounguza drones na kama walijua kuna silaha za hivyo wasingepeleka drones zao kizembwzembe naman biyo
Huwezi ukatamba kama unazo unajidai kushangaa Ili kumpumbaza adui vita hupiganwa Kwa akili, propaganda nk
 
Usidanganywe kuwa makini sana na hiyo Jamii, wanastrategy yao ya kuweka viongozi wa kitutsi katika Nchi za East Africa, walianza DRC, TZ is next
 
Hakuna kitu Russia atakuwa nacho kusiwepo Marekani,US ana intelligence kubwa kila mahali ndio asijue silaha?
 
Ndio maana nastik kwenye point kama NATO wangetoa silaha za maana hii vita ungekuta imeshaisha ,
 
Labda ni ngeni kwa NATO sio America.

Pili hata hypersonic Missile majuzi America amefanya test kuwaonyesha Russia kwamba wanazo wasijisumbue kwa Tambo za kijinga
 
Ingekuwa hivyo asingekuwa anamuogopa mrusi naman hiyo. Amekusanya lundo la nchi kwa ajili ya kujilinda na bado anamuogopa mrusi
Sasa huko ni kumuogopa? Kutafuta Washirika kwani kuna tatizo? Vita itaanza kupiganwa kwenye mipaka ya Russia sio America
 
Labda ni ngeni kwa NATO sio America.

Pili hata hypersonic Missile majuzi America amefanya test kuwaonyesha Russia kwamba wanazo wasijisumbue kwa Tambo za kijinga
Nina hakika hiyo silaha ya kuchoma drones marekana hana, sasahivi ndio ataingia mahabara kujaribu kutengeneza. Kuna mambo mengi tu mrusi amemtangulia mmarekani na ktk hii vita hamna langi ambayo hamtaiona
 
Sasa huko ni kumuogopa? Kutafuta Washirika kwani kuna tatizo? Vita itaanza kupiganwa kwenye mipaka ya Russia sio America
Anzeni basi kama mna ubavu huo, silaha za mabilioni mnazopeleka zinafilimbwa huko na nyingine zinafanywa mishikaki. Hii ni aibu kwa USA na majigambo yake yote ameshindwa kuiilinda Ukraine kwa air defense systems zake
 
Uzito siyo mass mkuu
 
Eti mwambieni aguse..... Punguzeni vikao vya kitchen party NATO.... Ingizeni timu hapo hapo Ukraine si mnapeleka silaha ambazo hazina watumiaji ...tumeni watumiaji na silaha zao kichafuke....

Ukraine sio mwanachama wa NATO, kuna mindege ya Sweden ambayo ya kisasa imemtamani sana Putin, tatizo hakuna rubani hata mmoja wa Ukraine anajua kuzitumia.
Huyo Mrusi ajifanye amekosea njia ashushe kombora kwa kataifa kamoja tu ka NATO.
 
Dada wewe ni mkongww Sasa humu Jf hivi una umri gani? Maana uko na utoto mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nastik kwenye point kama NATO wangetoa silaha za maana hii vita ungekuta imeshaisha ,
Tatizo silaha za maana walizo nazo NATO ni too advanced, kwa mfano ndege za kisasa za Sweden hakuna rubani hata mmoja Ukraine anayeweza kuendesha.
Huyo Mrusi anatamaniwa sana na NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…