Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa si mumsaidie Ukraine,pelekeni majeshi maana silaha mnazopeleka zinatandikwa kabla hazijafika war zone!
Putin hana mbwembwe,anatandika mtu kimya kimya!
Sasa hivi mnamuomba aachie bandari msife njaa,😅😅
 
😂😂😂😂

Na huezi kusoma Physics ukaielewa kama huna logical reasoning...

Ase ndio maana Pro-Russia mnafanana, kumbe background zetu ni kama "Nyeupe" na "White"... Kasoro lugha tu ila "mambo" ni ile ile
😄😄😄😄 jamaa angu hua Naenjoy sana nikiona mnashuka vitu vizito vya physics kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kabisa.

Wanasema mtu aliyeelewa kitu kwa kwa undani Ni yule mtu ambae anaweza kukielezea kitu hicho kwa njia rahisi kabisa na kikaeleweka"

Easterners wa JF tumebarikiwa Elimu na maarifa, Westerners wamebarikiwa Propaganda tu.
 
Sababu za kuamini kuwa Amerika na NATO hawana silaha za masafa marefu kama Urusi na kama wanazo basi siyo bora .

1. Wakitaka kuvamia nchi lazima waingie ndani ya nchi hiyo.
2. Wanajenga kambi karibu na nchi wanayotaka kuivamia.
3. Wanafanya ukaribu na nchi jirani na adui ili siraha zao zifike sehemu husika.
4. Wanaunda vikundi vya kigaidi na kuviunga mkono kwa siraha na majeshi.

Kama wangekuwa na silaha zinazoweza kufikia popote duniani nadhani wasingehangaika kuwa na comanding camps kote duniani

Ni wazo tu halina utafiti
 
IlaLukashenko(rais wa Belarus) hua namkubali Sana,NATO/US walitaka kufanya ule ushenzi wao wa ku-support maandamano mpk kuiangusha serikali.Wakafanya hivyo Belarus,Lukashenko akabeba silaha yake akaingia nayo barabarani akipiga Patrol na wanajeshi wake,Hahah wananchi wakaona Nini Cha kufia, maandamano yakaishia juu kwa juu.

Russia walimpa Lukashenko 'helping hand' kwny hio inshu ya maandamano.
 
Wengi wapo *compromised * kuna manufaa wanayapata.
Kifupi hao wote wanaomsujudu jamaa kawapiga pin za chin chini hawawezi kusema chochote
Wapo ka maharage yaliyochemshwa yakaepuliwa bila kuiva hivyo yakafubaa (Waswahili wengine wanaita "kuguna")...

Ase hata uchemshe vipi hayalainiki 😂 ndio kama bongo za wenzetu zilivyo.
 
Ni nchi moja lakini ni kubwa kuliko nchi zote za ulaya magharibi zikiwekwa pamoja! Urusi inajulikana kama "mfalme wa kaskazini" kwenye biblia. Itakuja kuangamizwa tu na Bwana YESU kwenye vita ya Armagedonia!

Sisi hapa hatuko kwenye imani za dini na hasa za Kisabato! Kwani Marekani siyo nchi kubwa? Ukijumlisha Marekani na Ulaya je? Achana na imani za dini, njoo kwenye hoja!
 
Russia huwa anauza chochote kile ambacho kinajulikana kwa watu

S-200 mara ya mwisho walikubaliana kila kitu lkn sijui kwanini mpaka sasa wapo kimya

Drone ufaransa aliingilia deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…