bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
We unatumia vingapi kutoka kwao..Hawa watu wana chuki sana, sasa wanakamata hadi mtu anaye-like na ku-comment kwenye page zilizo na Russian Contents.
Ni hiki kizazi ambacho babu zao walivamia na kuwatawala babu zetu, na ni hiki kizazi ambacho kinawatendea vitu vya ajabu sana ngozi nyeusi.
Je kwa hizi chuki za namna hii tipi kama wao ndio wangetawaliwa na babu zetu? Wangefanya mangapi dhidi yetu hadi leo? Mmh?
Mnaowashabikia hawa watu mkoje nyie [emoji23], au hii nayo ni democracy?
Taarifa kamili hii hapa wadau, songa nayo.
[emoji404] The police came to a resident of the Latvian Ventspils with threats because of "likes" in social networks.
The woman was accused of "supporting Russia's aggression against Ukraine" for liking a photo of a girl dancing with a Russian flag in Germany on May 9. First they called her on the phone, and then they came home.
"The employees did not introduce themselves, unceremoniously entered the apartment and began showing us printed copies from the Odnoklassniki page with likes, accusing my husband and me of supporting Russia.
After that, they slipped some papers in which it was written that they were warning us: it is forbidden to sympathize with the aggressor country in Latvia," Tatiana said in an interview with correspondent from Latvia.
ProNATO nyie kazaneni tu [emoji124]
Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.
Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Ha ha ha ha - umemaliza mkuu.We unatumia vingapi kutoka kwao..
[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]
[emoji419]Madawa ya ukimwi?
[emoji419]Condoms?
[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?
Niendelee!
Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]
Toa sababu zingne utaeleweka
Mumeo alipata "dodo" rafiki yangu, sio kwamba kwasababu we ni Pro-Russia hapana, bali kwa uwezo ulionao wa kuelewa jambo.Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.
Nimeona nikufungue macho.
Putin alisema yoyote atakayethubutu kuisaidia Ukraine atakipata ambacho hawajahi kukiona maishani - haya atuonyesha basi maana mataifa karibia 20 yanaisaidia Ukraine.Kwani nani kaingiza pua yake hapo ukraine
Kweli wewe fuso ha ha ha ha ha ha
Mwenzako ndio anamake kwa taarifa yako tokea operation imeanza anayo surplus ya kutosha kutokana na mafuta anayoyauza,achilia mbali uuzaji wa silaha,mbolea,nafaka na teknolojia kwa nchi zenye msuli.Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.
Hawa waaacheni huko washikane makalio tu vita ya mdomon Hakuna loloteHaya kamata hii ya leo leo - kama anaweza akashambulie Pentagon.
Pentagon says more high-tech weapons going to Ukraine
WASHINGTON (AP) — Nearly 50 defense leaders from around the world met Monday
and agreed to send more advanced weapons to Ukraine, including a Harpoon launcher
and missiles to protect its coast, Defense Secretary Lloyd Austin told reporters.
https://apnews.com/article/russia-u...lloyd-austin-2933aea354d40ce8b87b9ff62490fd4c
Hapo ukimwi utaenda kupata Dawa full stopICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.
Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Hapo ukimwi utaenda kupata Dawa full stopICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.
Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Hapo hata mimi nitawasifu warusi em wafanye fasta Kama wanaweza[emoji3]
Je, hii ni picha yakoSiumeelewa
Si umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
Naona Paragraph ya mwisho umeamua kuongea zile Pumba 1st class.Ngoja nikazitumie kulishia kuku.Tajiri hanuniwi, nchi zenye viongozi wenye akili ndo muda wa kuimarisha uchumi wao kwa kutumia primary resources kutoka kwa mzalishaji mwenyewe na siyo secondary resources kutoka kwa westerners.
Wakati bei ya mafuta ikipanda katika nchi nyingi duniani, serikali ya india imewashushia bei kwa 9% wananchi wake baada ya kuanza kuagiza mafuta kutoka Russia.
Wahindi wanavyojua kucheza na fursa hawajaishia hapo wameingiza mzigo wa kutosha wa mbolea ili nchi zenye viongozi vilaza zitakapokuwa zinalialia uhaba na bei ghari ya mbolewa, Wahindi watakuwa busy shamban kuzalisha mazao ya kuja kuwauzieni kwa gharama ya juu nyie mnausubiri kauli za USA.
Sasa ndo nimeelewa kwanini Hayati Magufuli "Jiwe" (aliekuwa Putin wa Afrika) zilianza kuiva sana na kiongoz wa India kumbe wote akili zao nizaki putin putin zisizo yumbishwa wala kusubiria kauli za taifa lingine. Na kama jiwe angekuwepo basi meli kutoka urusi zenye Mafuta na mbolea zingekuwa zinapishana pale Bandarini sasahivi na tusingekuwa tulialia na mfumuko huu wa bei.
duh kweli fuso kama fusoJibu swali kwa nini Putin asizishambulie nchi zinazoendelea kutoa msaada kwa Ukraine kama alivyoahidi mwanzoni ??
Una ushahidi!!Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
Kama huyu ndio upopo basi ni mwanamke mzuri sana! kasoro tu ni kichwa yake imejaa uji!Je, hii ni picha yakoView attachment 2236607
Hujasikia wanavyolia njaa!!! ? Huo ni mwanzotu!!!Putin alisema yoyote atakayethubutu kuisaidia Ukraine atakipata ambacho hawajahi kukiona maishani - haya atuonyesha basi maana mataifa karibia 20 yanaisaidia Ukraine.
Kumbe Lavrov amewaona wengi!Cha msingi namshauri tu Putin aachane na hii vita - ataifanya Urusi ipotee pamoja na yeye. Huwezi kushindana na watu zaidi ya 30 wewe upo peke yako - Mchina, Mhindi na Mkorea si watu wa kutegemea kabisa kwenye ugomvi mkumbwa kama huu