Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani mtu mmoja kumuita Putin mwendawazimu nayo ni ya kuandika kweli. Hamna habari upande wenu!!?
 
Kwa uelewa wako US anapotoa hizo aid za 40B usd unadhani ni cash?

Anatoa silaha zenye worth hiyo amount not cash mkuu.
Ila wenyewe walivyotanga nakuchanganua hizo pesa walisema kwamba ni $6B au $8B tuu ndio zitatumika ama zitakua zasilaha
Sasa hapa sijui kati ya wewe na wenyewe PENTAGON na JUMBA JEUPE yupi tunatakiwa kumuamini
Muache ujuaji musioujua enyi NATO wa jf ndio maana mkipigwa spana mnakimbiana huku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka baada ya tukio Hilo ofisa mmoja wa juu wa meli hiyo aliacha kazi...
 
Kama ataelewa
Japokua najua ataelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…