T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Marekani kaanza kumpa silaha Saddam Hussein miaka ya 1980s ili apigane na Iran kwenye Iran-Iraq war. Bado hapo alitoka kumuuzia Iran zile Tomcats miaka ya mwanzo ya 1970s kabla ya mapinduzi ya kiislamu. Marekani hahitaji msaada wa UN kujua kama nchi fulani ina ulinzi imara au hainaMkuu T14 Armata nilikuwa nakuheshimu na naendelea kukuheshimu ila kwa msaada wa elimu unaotupa jukwaani, lakini tangia kuanza mgogoro wa Russia na Ukrain umekuwa shallow na sio kwa udhaifu wahoja zako lakini pia mahaba kwa team Pro NATO.
Kiufupi mdau alimaanisha wataalamu wa umoja wa mataoifa wanaotumika kuchunguza silaha hatari ndio huvujisha taarifa ya silaha hizo kwa mataifa mengine.
Nakiri mmimi ni pro Russia ingawa si mchangiaji ila natambua na nakupokea kama mwalimu wangu.
Mara ya mwisho aircraft carrier ya Urusi ilipopita Mediterranean ilisindikizwa na tug boats maana power systems haziaminiki. Uingereza ilibidi wakae chonjo isije tokea ajari kama Kursk submarine ilivyozama na crew nzima ikafa kwa ego ya Russia na kukwepa kusaidiwa kufanya uokoaji.Ukitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....
Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!
Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.
View attachment 2238180
Sana kama uturuki ndiyo rasmi soko la hizo drone linaenda kufa, kuna kamikaze zote hizi zinaenda kupoteza soko 😃😃😃😃Umesahau drones walizokua wanazisifia sana Bayraktar TB2 leo zipo wapi?? Urusi anaziunguza tu [emoji28][emoji28]. Turkey anapoteza soko la drones zake. Nyie kuna mazaga Russia akiamua kuyatoa tuyaone dunia itazimiaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kila wanachofanya kinakua na mbadala wake
Russia vita ilipoanza walisema wameharibu drones za Ukraine. Baadae kidogo tukaona Moskva inazama, Snake island inashambuliwa, artillery positions zinapigwa na hizo Bayraktars. Bayraktar zimeharibu soko la Pantsir tangu Libya, Syria na Nagorno Karabhak hapa Ukraine zilitakiwa zizuiliwe kirahisi tangu mwanzo. Warusi wamekutana nazo siku nyingiSana kama uturuki ndiyo rasmi soko la hizo drone linaenda kufa, kuna kamikaze zote hizi zinaenda kupoteza soko [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
si mlisema wiki tu, sasa hizo 90 zimetoka wapiSiku ya 90 ya operation ya siku tatu hali bado ni tete. Ukraine anapoteza taratibu, silaha zake ziko overwhelmed zaidi ya mara 20 na misaada haitoshi. Bado muda wa kupigana upo vita haiishi karibuni kama hakuna ceasefire au mazungumzo ya kidiplomasia
Umejibu kila kitu kwa ufasaha. Naona kabisa wewe ulisoma kwa kutumia Magari ya njano.Mkuu Proved heshima kwako.
Swali hili limeshajibiwa sana humu.
Ila NAMI nitalijibu Tena.
Hata hivyo kabla ya kulijibu nitakuuliza swali lkini sio lazima unijibu.
Mara kadhaa USA na Allies wake wamekua wakizisaidia nchi zinazopigwa na nchi kubwa kwa kuingiza majeshi kamili wala sio misaada ya fedha na silaha kama inavyofanya Sasa kwa Ukraine.
Nchi ambazo USA na wenzake waliingia majeshi kamili ni
1).Kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait,
2). USA NATO kuipiga Yugoslavia ilipowapiga wa waliotaka kujitenga wa Kosovo,Bosnia na Herzegovina.
3).USA na Ufaransa kuipiga Libya ilipokua ikipigana na waasi.
4).USA,UK na France kujaribu kuipiga Syria ilipokua ikipigana na waasi .
Kama walikua wanazisaidia nchi au watu waliokua wanapigwa na majeshi yenye Nguvu zaidi Yao,kwa Nini wao NATO wanashindwa kuingiza majeshi kamili nchini Ukraine kuisaidia kwa kua inapigwa naUrusi kama walivyofanya kwa nchi hizo nilizozitaja?Iraq, Yugoslavia, Syria na libya?
USA ni ileile,NATO ni ileile na EU ni ileile.Kimabadilika Nini Hadi wakawa wanatoa silaha na fedha TU badala ya kuingiza majeshi kamili.?
Sasa najibu swali lako.
Naamini kabisa Kabla ya OP hii Urusi alijua fika kuwa USA na NATO watamsaidia Ukraine kwa njia mbili.
1) watatoa misaada ya silaha,fedha na Intelijensia,au
2) wataingiza majeshi mazima.
Ndio maana Putin akasema nchi yoyote itakayomsaidia kijeshi ataipa vita ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Na kusema kweli tamko hilo limesaidia sana na hata asingetoa tamko hilo bado hakuna nchi Ingekua tayari kuingia vitani na Urusi kati ya nchi za NATO kwa sababu ya kuogopa vita kubwa sana kuweza kutokea.
Biden mwenyewe aliwaambia raia wake kuwa hatuwezi kupeleka jeshi letu kupambana na Urusi kwa sababu "safari hii tuadili na Jeshi kubwa sana hapa duniani,Urusi sio mtanado wa kigaidi kama tulivyoziea." .
Lakini pamoja na maneno hayo bado wanatoa silaha na fedha kwa Ukraine.
Hivyo Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuingiza jeshi kamili la nchi kwenda kupigana na nchi nyingine kuisaidia nchi nyingine,tofauti na kutoa silaha kwa nchi moja ili kuisaidia kupigana na nchi nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Urusi alionya nchi itakayojiingiza kijeshi mazima kuisaidia Ukraine itakiona Cha moto,lakini kuhusu kupeleka silaha hiyo haikua hofu ya Urusi.
Urusi sio wajinga ndugu yangu,waliyajua yote,hawakukurupuka,walikua wanaenda kuipiga Ukraine kibaraka wa NATO Tena mpakani kabisa na NATO anaeitenganisha kimpaka NATO na Urusi,alijua itapata misaada TU ya Kila Hali hilo asingeweza kulizuia lakini alijua ata Dili nalo vipi.na ndio maana unaona silaha zinateketezwa na kuchomwa Kila siku.
Pia alijua kua Kuna nchi au NATO Watataka kuingia kijeshi ,ndio akatoa tamko like.
Ndugu yangu hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na nchi moja na nchi hiyo kusaidiwa kwa kupewa silaha.
USSR iliipiga Afghanistan, afghanistan ilisidiwa na NATO wote ongeza china,Pakistan,Saudi Arabia,na vijinchi mingine vingi.lakini alodili nao sambamba.
Kwa maana hiyo Urusi alionya kuwa,kama Kuna nchi itakayojiingiza kijeshi kuisaidia Ukraine ataipa vita sio ya Dunia hii,hakumaanishi silaha,kwa sababu silaha zinaweza kuingia hata kwa njia za panya au ki magendo.
Na ndio maana hata NATO na uwezo wao wote wa kijeshi,kiuchumi na kiteknolojia lakini na wao wameishia kutoa misaada ya silaha na fedha TU. Badala ya kuingiza majeshi kama kawaida Yao.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO ,NAMI ntakuuliza je Kuwait, Syria, Libya, Yugoslavia nao walikua ni Wanachama wa NATO?
Je unajua kua Ukraine ndio nchi pekee duniani iliyopata misaada mingi sana ya silaha na fedha kwa ajili ya kutumika kwenye vita?
Hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kiasi hikinkwa mda mfupi na umoja wa NATO kama Ukraine.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu NATO imewauma sana.
Sasa je kwa Nini. NATO isiingie kijeshi kama kawaida yake?
Jibu lake ndio jibu la hoja yako.
Kuwa hawawezi kuingia kijeshi kwa sababu Urusi katoa onyo na anasubiri nchi hata moja TU ya NATO irushe risasi moja kwa moja kutoka kwenye ardhi yake hiyo nchi ya NATO kwenda kupiga jeshi la Urusi.
Urusi alishalifafanua Hilo tangu zamani.Ukitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....
Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!
Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.
View attachment 2238180
Russia hahitaji aircraft carrier yupo mbali yeye ni guided hypasonic . Hiyo carrier utaitumia kwa Somalia kwa Russia itaangamizwa na ndege zilizo juu yake kwa kutumia hypasonic. Carrier kwa dunia ya leo ni hatari.Ukitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....
Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!
Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.
View attachment 2238180
long range ambazo zina errors kibao kwa target, ending up destroying buildings ! !Urusi alishalifafanua Hilo tangu zamani.
Russia ina hazina kubwa ya long range missiles zinazoweza kupiga popote duniani.
USA Hana silaha hizi ndo maana analzamika kumtengeneza carrier nyingi kulaunch ndege kila anakotaka kupiga.
Kwani kifupi,
Russia wako advanced zaidi.
Mambo ya aircraft carrier yamepitwa na wakati.
15:05 24 Mei 2022
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliyefungwa jela amuita Putin 'mwendawazimu'
View attachment 2238035
epaCopyright: epa
NavalnyImage caption: Navalny
Kiongozi wa upinzani wa Urusi aliyefungwa jela Alexei Navalny amemlaani Rais Vladimir Putin katika kikao cha moja kwa moja cha mahakama, akimtaja kuwa "mwendawazimu" aliyeanzisha "vita vya kijinga" nchini Ukraine.
"Hii ni vita ya kijinga ambayo Putin wenu alianzisha," Navalny aliiambia mahakama ya rufaa huko Moscow kupitia kiungo cha video kutoka kwa kituo cha kutoa adhabu.
"Vita hivi vilianzishwa kwa kutumia uwongo. Mwendawazimu mmoja ameingiza kucha zake Ukraine na sijui anataka kufanya nini nazo - mwizi huyu kichaa," Navalny alisema kuhusu Putin.
Hapo awali Navalny alihukumiwa na mahakama miaka tisa katika koloni kali ya utawala kwa udanganyifu na kudharau mahakama.
Ikulu ya Kremlin imetupilia mbali shutuma za Navalny kuhusu Putin, ambaye inasema ameshinda chaguzi nyingi za haki nchini Urusi tangu mwaka 2000 na anasalia kuwa mwanasiasa maarufu zaidi nchini humo.
Tupe ripoti ngapi haziku hit target?long range ambazo zina errors kibao kwa target, ending up destroying buildings ! !
Well saidMkuu Proved heshima kwako.
Swali hili limeshajibiwa sana humu.
Ila NAMI nitalijibu Tena.
Hata hivyo kabla ya kulijibu nitakuuliza swali lkini sio lazima unijibu.
Mara kadhaa USA na Allies wake wamekua wakizisaidia nchi zinazopigwa na nchi kubwa kwa kuingiza majeshi kamili wala sio misaada ya fedha na silaha kama inavyofanya Sasa kwa Ukraine.
Nchi ambazo USA na wenzake waliingia majeshi kamili ni
1).Kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait,
2). USA NATO kuipiga Yugoslavia ilipowapiga wa waliotaka kujitenga wa Kosovo,Bosnia na Herzegovina.
3).USA na Ufaransa kuipiga Libya ilipokua ikipigana na waasi.
4).USA,UK na France kujaribu kuipiga Syria ilipokua ikipigana na waasi .
Kama walikua wanazisaidia nchi au watu waliokua wanapigwa na majeshi yenye Nguvu zaidi Yao,kwa Nini wao NATO wanashindwa kuingiza majeshi kamili nchini Ukraine kuisaidia kwa kua inapigwa naUrusi kama walivyofanya kwa nchi hizo nilizozitaja?Iraq, Yugoslavia, Syria na libya?
USA ni ileile,NATO ni ileile na EU ni ileile.Kimabadilika Nini Hadi wakawa wanatoa silaha na fedha TU badala ya kuingiza majeshi kamili.?
Sasa najibu swali lako.
Naamini kabisa Kabla ya OP hii Urusi alijua fika kuwa USA na NATO watamsaidia Ukraine kwa njia mbili.
1) watatoa misaada ya silaha,fedha na Intelijensia,au
2) wataingiza majeshi mazima.
Ndio maana Putin akasema nchi yoyote itakayomsaidia kijeshi ataipa vita ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Na kusema kweli tamko hilo limesaidia sana na hata asingetoa tamko hilo bado hakuna nchi Ingekua tayari kuingia vitani na Urusi kati ya nchi za NATO kwa sababu ya kuogopa vita kubwa sana kuweza kutokea.
Biden mwenyewe aliwaambia raia wake kuwa hatuwezi kupeleka jeshi letu kupambana na Urusi kwa sababu "safari hii tuadili na Jeshi kubwa sana hapa duniani,Urusi sio mtanado wa kigaidi kama tulivyoziea." .
Lakini pamoja na maneno hayo bado wanatoa silaha na fedha kwa Ukraine.
Hivyo Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuingiza jeshi kamili la nchi kwenda kupigana na nchi nyingine kuisaidia nchi nyingine,tofauti na kutoa silaha kwa nchi moja ili kuisaidia kupigana na nchi nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Urusi alionya nchi itakayojiingiza kijeshi mazima kuisaidia Ukraine itakiona Cha moto,lakini kuhusu kupeleka silaha hiyo haikua hofu ya Urusi.
Urusi sio wajinga ndugu yangu,waliyajua yote,hawakukurupuka,walikua wanaenda kuipiga Ukraine kibaraka wa NATO Tena mpakani kabisa na NATO anaeitenganisha kimpaka NATO na Urusi,alijua itapata misaada TU ya Kila Hali hilo asingeweza kulizuia lakini alijua ata Dili nalo vipi.na ndio maana unaona silaha zinateketezwa na kuchomwa Kila siku.
Pia alijua kua Kuna nchi au NATO Watataka kuingia kijeshi ,ndio akatoa tamko like.
Ndugu yangu hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na nchi moja na nchi hiyo kusaidiwa kwa kupewa silaha.
USSR iliipiga Afghanistan, afghanistan ilisidiwa na NATO wote ongeza china,Pakistan,Saudi Arabia,na vijinchi mingine vingi.lakini alodili nao sambamba.
Kwa maana hiyo Urusi alionya kuwa,kama Kuna nchi itakayojiingiza kijeshi kuisaidia Ukraine ataipa vita sio ya Dunia hii,hakumaanishi silaha,kwa sababu silaha zinaweza kuingia hata kwa njia za panya au ki magendo.
Na ndio maana hata NATO na uwezo wao wote wa kijeshi,kiuchumi na kiteknolojia lakini na wao wameishia kutoa misaada ya silaha na fedha TU. Badala ya kuingiza majeshi kama kawaida Yao.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO ,NAMI ntakuuliza je Kuwait, Syria, Libya, Yugoslavia nao walikua ni Wanachama wa NATO?
Je unajua kua Ukraine ndio nchi pekee duniani iliyopata misaada mingi sana ya silaha na fedha kwa ajili ya kutumika kwenye vita?
Hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kiasi hikinkwa mda mfupi na umoja wa NATO kama Ukraine.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu NATO imewauma sana.
Sasa je kwa Nini. NATO isiingie kijeshi kama kawaida yake?
Jibu lake ndio jibu la hoja yako.
Kuwa hawawezi kuingia kijeshi kwa sababu Urusi katoa onyo na anasubiri nchi hata moja TU ya NATO irushe risasi moja kwa moja kutoka kwenye ardhi yake hiyo nchi ya NATO kwenda kupiga jeshi la Urusi.
Jina limechukuliwa kutoka milima ya Khibiny, balaa mtupu.Halafu kuna viji watu vinakuambia Russia ni dhaifu kijeshi.
Mimi naamini vijiwatu vingi vilikua haviijui vizuri Urusi.
Ukiachana na hiyo Kuna kitu inaitwa Khibiny,
Hii kitu ikifungwa kwenye ndege au chombo kingine ikipita juu ya melivita Yako ya kisasa kabisa hii kitu ikiwashwa ujue meli Yako tayari inakua kopo tupu ama screpa.
Ndege moja ya Urusi ilipita juu ya meli ya Marekani inayoaminiwa sana na NATO kwa ukisasa wake na ubora wake.
Ndege Ile ya Urusi ilizunguka mara kadhaa juu ya meli Ile.
Na meli Ile ilizimika mifumo yote kwa ghafla na haikuweza kufanya kazi kabisa huko katikati ya black sea.
Ilibidi ivutwe kupeleka Bandari ya karibu ya NATO.
Kulitokea taharuki kubwa sana kwa mabaharia wa meli ile.
Hiyo ndege ilikua Ina kifaa kinaitwa Khibiny.
Mnaonaje bongo tukianzisha yetuThe beta version of RuStore, a Russian app store for Android (similar to Google Play), has been launched, it has more than 100 applications, including those that have been sanctioned e.g banks.
The launch was officially announced by VK and the Ministry of Digital Development.
Aliwaita waoga toka day one, hiyo ni part ya show maigizo yanaendeleaHali imekuwa si hali tena. Sasa ni dhahiri Ukraine hafurahishwi na ushirikiano anaopewa na mabwana zake. Unadhani wapi mambo yameanza kwenda kombo???View attachment 2238037
Inawezekana hufahamu vizuri hii issue.UN akamsaidia Marekani kuchunguza Iraq na kujua haina ulinzi? Hiyo UN unajua inavyofanya kazi au unaongea kujifurahisha. UN hii ambayo inapewa fedha yake nyingi ya bajeti kutoka Marekani, haina jeshi inachangiwa na kina Tanzania na Uganda, haina silaha kasoro magari na helikopta za kupewa ndio iisaidie Marekani?