Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Javenale na Switchblade vimefeli sana Donbass . Russia ana artillery za kisasa anapiga balaa soma BBC kuhusu severodonestic

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo tunapopataka
 
Figure ya Ukraine kwa upande wao iko wapi? Au wao hawajapata loss yoyote?
Kimsingi kwenye huu mgogoro Ukraine ni mnyonge. Factor yetu kubwa tunaangalia zaidi loss alizopata Mbabe mbele ya Mnyonge.

Obviously Ukraine have lost pretty much more. Ila haiwezi kuwa habari kubwa kulinganisha na Losses za Mbabe wa Vita Urusi..
 
Javenale na Switchblade vimefeli sana Donbass . Russia ana artillery za kisasa anapiga balaa soma BBC kuhusu severodonestic

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kinachoisaidia Urusi ni wingi wao lakini wanakufa kama kuku.Wao hawajali wakifa hata 30 kati ya wanajeshi 100 Hilo kwao halihusiki.Kiufupi Putin hathamini uhai wa wanajeshi wake🤔
 
Kwa huo upinzani na hasara anazopata hapo Ukraine, hizo nguvu za kuanzisha Vita nyingine atazipata wapi ?
Proved salama rafiki?
Labda nikuambie kitu usichokijua.
EU yote bila USA Urusi akitaka kuipiga haichukui mwezi.

Usione Urusi inakwenda taratibu Ukraine ukadhani ni udhaifu .
Urusi Ina silaha za maangamizi makubwa sana,alizitengeneza ili zije kutumika na ukifika mda zitatumika.
Nchi ambayo inaweza kupigana na Urusi ni USA TU lkn sio ulaya yote achilia mbali nchi mojamoja kama Poland.

Majenerali wa nchi kubwa kama USA wanasema na kuamini kua Urusi inaipiga Ukraine kwa kuionea huruma.
Kitendo hicho kisichukuliwe kama ni udhaifu.
Ulaya peke yao hawaiwezi Urusi.
 
Sawa siku tisini mwanaume yupo kazini, inakuaje dada zako wawe wapenzi watizamaji ikiwa walipromise kumlinda Mnenguaji mwenzao majukwaani na kuprotect nchi yake?
Mnenguaji mwenyewe anahisi kusalitiwa, kila siku mnenguaji yupo kwenye media, dada zake nao kwenye media na investigation zao ripoti za hovyo? Leo mnakuja na ripoti Russia kaishiwa uchumi, leo mnakuja na habari za Russia inajiandaa kwa vita vya muda mrefu, kesho mnakuja na taarifa Russia inapanga kuivamia Finland na Uswid. HIYO NI NCHI MOJA INAYOTOA HIZO RIPOTI HATA AIBU HAINA.

HVI TUJIULIZE BILA USHABIKI NCHI ILIYOFIRISIKA INAWEZA KUPANGA NA KUYATEKELEZA HAYA?
NCHI ILIYOFILISIKA TANGU LINI IKAWA TISHIO?
 
The European Parliament raised the issue of imposing duties on Russian energy resources instead of embargoing them.

Eugen Jurzica, EP deputy from Slovakia addressed the European Council. RT has read the document.

“Trade bans lead to a reduction in the supply of goods and an increase in prices, while the profit from price increases remains in the exporting country. With the introduction of duties, the cost of goods still grows, but the money received from this growth remains in the importing country, ”the politician explained.

 
Top news for the day:

- the crews of all foreign ships left the port of Mariupol, said the head of the Donetsk People's Republic Denis Pushilin;

- IAEA Director General Rafael Grossi said that 30 tons of plutonium and 40 tons of enriched uranium are stored at the Zaporozhye NPP;

- Serbian President Aleksandar Vucic said that the country expects to receive a "fair price" for gas from Russia. He hopes to discuss the issue with Russian President Vladimir Putin soon;

- in the DPRK, more than 105 thousand patients with high fever were detected per day.

 
German investors will lose more than €162 billion due to the Ukrainian crisis. This is the largest decline in the history of their financial market.

Die Welt writes about this with reference to the opinion of financial expert Daniel Franke.

For many years, Germans have held funds in stocks, investment funds and real estate. It is noted that in 2021 the total fortune of depositors increased by €7,618 billion, but already in the first quarter of 2022 the situation changed dramatically.

The main German stock index DAX fell by almost 12% compared to last year, shares of international companies also lose value.

 
Hali imekuwa si hali tena. Sasa ni dhahiri Ukraine hafurahishwi na ushirikiano anaopewa na mabwana zake. Unadhani wapi mambo yameanza kwenda kombo???View attachment 2238037
Ni kweli,

Kwa mfano Ujerumani waliwaahidi Ukraine Silaha ila wamesema mzigo wa kwanza utawafikia mwezi July. Sasa hii ni nini? Mwezi July kutakuwa na vita kweli ama Silaha za kuweka stoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…