Aisee Raisi vladmir Putin Yuko Ukraine MDA huu[emoji4]
Juzi intelligence za UK na USA walisema Ni mgonjwa Yuko mahututi[emoji28]
Intelligence zote za NATO, zinazochungulia Kremlin kila sekunde wameshindwa kuotea safari ya Putin nchini hapo (Ukraine) ila wanatushawishi kua wanaijua afya ya kiongozi huyo kiundani.
Afya ya mtu hasa Kiongozi ni issue personal sana kuliko safari zake, Maajabu safari yake wameshindwa kuijua wamejua afya yake ilivyo.
West kuna mkusanyiko wa mazuzu wengi sana ambao huzungumza jambo then mazuzu wengine wakaamini hundred percent kua ni kweli.
Naomba niongeze dialogue chini just for funny
Chizi fresh 1: Oyaaaa! Mwanangu eeh,
Chizi fresh 2: Nambie baharia...
Chizi fresh 1: Marekani na Uingereza wanajua hili jani nilikolichuma.
Chizi fresh 2: Aaaaa mwana sio hilo tu, mimi wanajua litre za mkojo nilizozishusha asubuh...
Chizi fresh 1: Eeee mwana, hapa wanaona hadi size ya kiatu niliyovaa.
Chizi fresh 2: Duh nikwambie kitu mwanetu?
Chizi fresh 1: Nambie anko
Chizi fresh 2: Baada ya "Mungu Mzungu"
Chizi fresh 1 & 2: (wanakatiana kipisi kilichobaki wanaendelea kuvuta).
Nini najaribu kukizungumza? Ni kua unapomtukuza binadam mwenzio na kumpa sifa kubwa ambazo hana kinachofata ni kumsujudia na kumuabudu.
Una create inferiority complex within, unaondoa decisive power uliyonayo, unajiweka kua submissive kwake, whatever He say, whatever He do, utasifu na kupongeza kwa mapambio no matter ni sawa au si sawa.
Okay kuna wengine ni "Chawa" wanapata ulaji kupitia hayo, what about you Guys? Pro NATO a.k.a kikundi cha Mahaba TZ.