Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nelly .....somaaaaa hiyooooooo upunguze ujinga.
 
Jesus Mlokozi ninachokiona kwenye hizi videos (nyingi sikuhizi) zimekuwa zikitumika na Ukraine pamoja na western allies kwa ajili ya propaganda za kuamsha misaada zaidi. Mostly have been used as a strategy to entice and engage western communities that Ukranian fronts line are in urgent need of modern war machines. Sidhani kama zinakuwa published kwa lengo la kuonesha udhaifu wa hawa jamaa
 
Unajua ndugu simplemind Mimi na wewe ni wakazi wa Dunia hii.
Labda wewe mwenzetu ulikua unapata habari kutoka vyanzo vya habari vya Jupiter.
The Islamic Republic of Iran and the Syrian Arab Republic are close strategic allies, and Iran has provided significant support for the Syrian government in the Syrian civil war, including logistical, technical and financial support, as well as training and some combat troops.
 
Anakudanganya hakuna anachokijua..
Anazungumzia Iran waliokua wanapigwa na Israel Kila siku?
vita yoyote unayoijua wewe bila ground force uwez shinda iran ndiye aliekuwa anamsaidia sana syria kwa ground force,Russia yeye ni air support karudie kuangalia picha za mji wa allepo Russia alivyoufanya kwa mabomu lakini aikuaaidia kuwaondosha waasi na ground force ndiyo iliyomaliza vita na kumpa ushindi assad
 
It doesn't matter to us. For the country, for its development, engineering centers and scientific centers are important, which are the basis of its own development. That's what we need to think about and work on."
This is a very powerful statement. Jamani wenye kiswahili kizuri naomba msaidie kutafsiri maneno haya ya Rais Putin kwa kiswahili. Lengo watu wengi wajue msingi wa maendeleo ya Nchi. Natanguliza shukrani.
 
Mchango wa Iran kijeshi kwa Syria huwezi kuulinganisha na mchango wa Urusi kwa Syria.kama unabisha haya .
Lakini Urusi ndio iliyo wafukuza USA,France na UK.
Sio Iran.
Kama Ingekua Iran bila Urusi Leo hii Assad angekua mkimbizi au marehemu.
 
Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Omusolopogasi na Glenn piteni hapa mteseke tena🤣🤣😂😂😇😇😇

 
If you got enough brain. Hiyo misaada inaitwaje kitaalamu?.
People wanapambana kuondokana na huo ukoloni mamboleo wa kucreate tatizo na kuleta solution.
Why UN is silent on Biolab like nothing . Kwa taarifa yako if your black your what we call a 🐀 for experiments.
Stop adoring that Nation please just stand on reality na haki.
 
The Syrian civil war destabilized the Middle East, weakened the Assad regime and damaged the credibility of the United States. Moscow was one of the few winners to emerge, establishing itself as a force to be reckoned with in the region. Anna Borshchevskaya of the Washington Institute for Near East Policy, drawing on her recent book, explains Moscow’s reasons for intervening in Syria and what the Putin regime was able to achieve.
 
Six years after Russia intervened in Syria to save Bashar al-Assad from an imminent demise, Moscow has largely prevailed. quagmire” that many observers had predicted, President Vladimir Putin has achieved his key objectives without incurring crippling costs. What were those objectives, what did Moscow gain, and what does it mean for future crises in the region?

The Syria intervention was about many things, but at its core it was about pushing back against the U.S.-led liberal international order. Putin could not let the United
 
Ndugu yangu nani kakuambia Urusi hawakutia ground forces Syria?

Urusi kapigana sana Syria Tena ground forces Kali kabisa .
Unakumbuka kisa kimoja Askari mmoja dogo TU wa Urusi.
Alikua anapiga na ISIS Yuko na wenzake.
Yeye ikatokea akiwa peke yake akawa anapambana nao kishenzi.
ISIS wakiwa wengi kweli,kacheza nao lakini hawaishi wanazidi kumsogelea TU.

Akaona isiwe taabu,akaomba msaada wa ndegevita,akaielekeza Yuko wapi,akaiamuru ipige pale alipo kwa sababu Kuna ISIS wengi ili wafe na yeye afe ili wasije wakamteka .
Yaani afe pamoja nao.

Aisee Ile ndege ilikua ikapiga pale mahala walikuafa ISIS kibao pamoja na dogo huyo wa Urusi.

Ingekua USA angekubali kutekwa halafu nchi yake ingebembeleza kulipua hela ili dogo wa USA aachiwe na magaidi.
Huyo alikua ni askari wa miguu wa Urusi
 
i know all those, sasa wewe kwa nini unashabikia Urusi kumshambulia Ukraine, unapata faida gani kwako binafsi kwa Taifa lako. I need an answer in bold.
 
Nonsense
 
story yako aiondoi shaka kuwa Russia bado sana kwenye ground force
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…