Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnateseka nyie Warusi/Wamarekani/Waukraine wa Buza. Mimi Mkurya inanihusu nini? Nachukia tu uongo wako!!
 
Us aache ubabe wa kigoyoko kutulaz8misha mabendera ya rainbow na kuchukua Mali zetu na biolab zake.
Kifupi upo compromised gijra zako zimetekwa. Kwa nini wamuabudu huyo mnyama aisee.

i know all those, sasa wewe kwa nini unashabikia Urusi kumshambulia Ukraine, unapata faida gani kwako binafsi kwa Taifa lako. I need an answer in bold.
 
Madogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.

Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
Us aache ubabe wa kigoyoko kutulaz8misha mabendera ya rainbow na kuchukua Mali zetu na biolab zake.
Kifupi upo compromised gijra zako zimetekwa. Kwa nini wamuabudu huyo mnyama aisee.
 
Madogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.

Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
Mzee duniani usipofikiria vizuri utadhani ulizaliwa kiwete tena kuchwani.
Nani kakwambia jamaa wana huruma sana. Unajua kwa nini wanatwangana risasi

Umefika ukaona wanavyoishi?
Unajua watu wangapi ni homeless?
Kwa hiyo kumdanganya Ukraine ajiunge NaTo na kupigana na Russia ndio hurima.
Kifipi Huna mamlaka ya Rasimali
yoyote hapa kwako. Kalagha baho na misaada ya ky
 

Your name is Lee Van Cliff [emoji18]

Ujue nasoma hii post as if nakusikia unaongea sio maandishi tena [emoji23]... endelea kuwatia spana watoto wazuri hawa.
 
Your name is Lee Van Cliff [emoji18]

Ujue nasoma hii post as if nakusikia unaongea sio maandishi tena [emoji23]... endelea kuwatia spana watoto wazuri hawa.
Nawakumbusha tu Pro russia kuwa yale makombora yali hit target zote zilizopangwa na USA na story zilizoelezeka ni kuwa Assad na famili yake wote walihamishiwa kwenye base za Russia . narudia tena USA akihamua jambo lake hakuna binadamu anayeweza kulizuia
 
Huwa najiuliza hawa maboya waliwezaje kuwatawala babu zetu!!!
Culture destruction hyo Bro...

Yani unafanywa ujione wa HOVYO kuliko aliye mbele yako... Rejea post ya Ask HQ kajaribu kuligusia. Unaacha yako unafata yake, hapo ni kujivua uhuru wako na kujiweka utumwani rasmi.

Haya wakatugawa wa afrika kwa elim uchwara hizi, jamii ikawa na matabaka ya wanajiona wasomi na ambao hawajasoma.

Wakaongeza na dini juu, dini ya kulainisha nyoyo za mababu hao... Kwamba ukipigwa kofi la kulia mgeuzie la kushoto.

Wakazidi kupumbazwa zaidi pale Shetani, au kiovu kikawa illustration ya ngozi nyeusi. Af watakatifu na uzuri wakajiweka wao. Hiyo ni kuua psychology ya mababu zetu.

Hawana malighafi, hawakuwa na chochote wakatengeza makaratasi yao kuja kubadilishana kwa malighafi zetu... Wanaondoka nazo kisha wanarejea nazo tena kama bidhaa mnauziwa tena kwa exchange ya rasilimali zenu wenyewe.

Hatuna chuki na hawa watu ila kuendelea kuwatukuza ni UJUHA.
 
unakosea kusema hivo, Afghanistan's ni malaika walipinga jambo la USA?
Venezuela ni majini walipinga matakwa ya USA ?
ok, let say
normal sense tu, inaonyesha USA hajawahi fanikiwa Russia ikiingilia kati mzozo wowote, may be nikumbushe

lakin mimi navofikir, ni kuwa vita anavoendesha USA huwa ni washirika kibao, lakin stand alone sikumbuki tofauti na RUSSIA
 
Afghanistan tayari ni failed states kama libya tu hakuna interest zozote anazopata USA ili kuendelea kuwa pale, tayari ameshafanikisha alichokuwa anakitaka, venezuela tayari ameshaidhoofisha kiuchumi total wanareserve kubwa ya mafuta lakini awana wa kumuuzia
 
[emoji23]

Jomba hauna torch hapo, tuiangazie hii taarifa waione vizuri[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hicho kijipanya kimefuzu "experiment" sasa kipo kazini kwa matumizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hicho kijipanya kimefuzu "experiment" sasa kipo kazini kwa matumizi.
Hali ni mbaya sana kwa wapiganaji wetu wa NATO huko DONBAS .Yawapasa kujifunza silaha za NATO kwa miezi 6 na hakuna huo muda. Katika silaha 80+ walizopewa wameweza kutumia 18 tu.

Inakadiriwa wanajeshi wetu wa Ukraine wanaokaribia kuzungukwa wanafikia 50000
Ikitokea wakaweka silaha chini Hii vita itafikà

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha nyingine ni kuwa mafanikio ya USA now day ni kudhoofisha wengine akikosa maslahi yake yani BORA TUKOSE WOTE

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…