rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Putin aliongea kwenye mkutano wa wakuu wa nchi un kuwa usa anaharibu amani ya dunia na nchi pekee inayoweza kuisimamisha ni russia.Mchango wa Iran kijeshi kwa Syria huwezi kuulinganisha na mchango wa Urusi kwa Syria.kama unabisha haya .
Lakini Urusi ndio iliyo wafukuza USA,France na UK.
Sio Iran.
Kama Ingekua Iran bila Urusi Leo hii Assad angekua mkimbizi au marehemu.
kuna rubani wa urusi alitunguliwa na ndege akaelekeza ndege kwa maadui akawaua kibao pamoja na yeye kitu ambacho marekani hawana wao wakipigana wanawaza usalama wao kwanza ndio maana hawaendi peke yaoNdugu yangu nani kakuambia Urusi hawakutia ground forces Syria?
Urusi kapigana sana Syria Tena ground forces Kali kabisa .
Unakumbuka kisa kimoja Askari mmoja dogo TU wa Urusi.
Alikua anapiga na ISIS Yuko na wenzake.
Yeye ikatokea akiwa peke yake akawa anapambana nao kishenzi.
ISIS wakiwa wengi kweli,kacheza nao lakini hawaishi wanazidi kumsogelea TU.
Akaona isiwe taabu,akaomba msaada wa ndegevita,akaielekeza Yuko wapi,akaiamuru ipige pale alipo kwa sababu Kuna ISIS wengi ili wafe na yeye afe ili wasije wakamteka .
Yaani afe pamoja nao.
Aisee Ile ndege ilikua ikapiga pale mahala walikuafa ISIS kibao pamoja na dogo huyo wa Urusi.
Ingekua USA angekubali kutekwa halafu nchi yake ingebembeleza kulipua hela ili dogo wa USA aachiwe na magaidi.
Huyo alikua ni askari wa miguu wa Urusi
Ikweli fuso yaani F kichwanihawa jamaa wana hasira na US, kisa alivyombokoa Saddam na Gadaffi
US atabakia kuwa US tu as long as bado unaishi hapa duniani ni lazima umpende - utake usitake. Kwanza angalia misaada yake kwa Africa kwa mwaka.
In Fiscal Year 2020, USAID and the U.S. Department of State provided $8.5 billion of assistance to 47 countries and 8 regional programs in sub-Saharan Africa.
Haya tafuta na Mrusi wako basi tuone !! πππ
Hili jamaa linapenda sana kupokea sio kutoa. Sijui tabia gani hizi.Ikweli fuso yaani F kichwani
Daaah ila wabongo eti mnyazi Mungu!! Mmecheka kifala sana aseeMadogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.
Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hali ni mbaya sana kwa wapiganaji wetu wa NATO huko DONBAS .Yawapasa kujifunza silaha za NATO kwa miezi 6 na hakuna huo muda. Katika silaha 80+ walizopewa wameweza kutumia 18 tu.
Inakadiriwa wanajeshi wetu wa Ukraine wanaokaribia kuzungukwa wanafikia 50000
Ikitokea wakaweka silaha chini Hii vita itafikΓ
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Huyu anaweza kuwa coco au nyamizi ndiyo wenye akili Kama zakeHili jamaa linapenda sana kupokea sio kutoa. Sijui tabia gani hizi.
Mbaya hawajui jamaa wanavuna kiasi gani Congo na kwingineko kwa kutumia kilainishi misaada.
Kifupi dunia haipo balanced kama jamaa ataendeleza ubabe wa kigoyoko.
ππππππππππMadogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.
Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
Propaganda ya kijinga hii. Hakuna askari anayetaka kufa.kuna rubani wa urusi alitunguliwa na ndege akaelekeza ndege kwa maadui akawaua kibao pamoja na yeye kitu ambacho marekani hawana wao wakipigana wanawaza usalama wao kwanza ndio maana hawaendi peke yao
Ule msemo wa wengi wape utashika mkondo, Waelevu wachache kwenye kikosi cha wajinga huchukuliwa kinyume chake... That wale ndio wajinga na wale wajinga ndio waelevu kwasababu wale wachache wanawapinga walio wengi.Wachache wenye guts hawakosekani kuwapambania akina FUSO.
That's too risky, na ngumu sana kufikia malengo, Maana hapo utakuwa unapigana vita mbili. Ya ndani na ya nje I think ndio maana wana harakati wengi hawatoboi.Wachache wenye guts hawakosekani kuwapambania akina FUSO.
Kwanza punguza hasira pili uandishi wako unamakosa sana sijui ni simu ama nini?Mzee duniani usipofikiria vizuri utadhani ulizaliwa kiwete tena kuchwani.
Nani kakwambia jamaa wana huruma sana. Unajua kwa nini wanatwangana risasi
Umefika ukaona wanavyoishi?
Unajua watu wangapi ni homeless?
Kwa hiyo kumdanganya Ukraine ajiunge NaTo na kupigana na Russia ndio hurima.
Kifipi Huna mamlaka ya Rasimali
yoyote hapa kwako. Kalagha baho na misaada ya ky
Dunia ndio ilivyo wenyenguvu lazima wawakalie wanyonge ili waweze kuendelea kuwa juuKwa lugha nyingine ni kuwa mafanikio ya USA now day ni kudhoofisha wengine akikosa maslahi yake yani BORA TUKOSE WOTE
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
mkumbushe kuwa ata misaada ya kuondoa magovi nchini ni kwa hisani ya USAIKwanza punguza hasira pili uandishi wako unamakosa sana sijui ni simu ama nini?
Back to the topic hakuna alieishawishi Ukraine ipigane kama unakumbuka hata support hawa Nato wote walinyuti mwanzoni wameanza kumsupport baadae halafu huyu ukraine ni miaka mingi anaomba uanachama hashurutishwi na mtu
US ana misaada mingi hapa kwetu lakini kwa upuuzi wako umetaja ky au ndio wanakupa wenzio hyo ky?
Njoo taratibu kwa matusi hakuna asiejua usije ukakimbia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]That's too risky, na ngumu sana kufikia malengo, Maana hapo utakuwa unapigana vita mbili. Ya ndani na ya nje I think ndio maana wana harakati wengi hawatoboi.
Level tuliyofikia sasa katika 100, utapata 10 pekee ndio wanaojielewa. Sasa kati ya kubeba mzigo wa kilo 100, 90 yakiwa mapumba kwanini usikae chini uchambue uzitoe hizo kilo 10 zako mahsusi hizo 90 uachane nazo.
Instead of playing hard, una play smart!
DEMOCRACY......Ule msemo wa wengi wape utashika mkondo, Waelevu wachache kwenye kikosi cha wajinga huchukuliwa kinyume chake... That wale ndio wajinga na wale wajinga ndio waelevu kwasababu wale wachache wanawapinga walio wengi.
Ujue shangazi dunia ya sasa ukweli haupimwi kwa facts bali Mass Opinions... WENGI WAPE.
Hali n ngumu sanaa na hii platform n ya wanaojielewa.That's too risky, na ngumu sana kufikia malengo, Maana hapo utakuwa unapigana vita mbili. Ya ndani na ya nje I think ndio maana wana harakati wengi hawatoboi.
Level tuliyofikia sasa katika 100, utapata 10 pekee ndio wanaojielewa. Sasa kati ya kubeba mzigo wa kilo 100, 90 yakiwa mapumba kwanini usikae chini uchambue uzitoe hizo kilo 10 zako mahsusi hizo 90 uachane nazo.
Instead of playing hard, una play smart!