LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unapoongelea NATO hawa watu wanacotrol mpk UEFA,FIFA mwaka huu wamemkumbusha hilo putin kwa kuzitimua timu zake, ukiachana na mambo ya kijeshi wanacontrol organizations nyng kias kwmb kupambana nao ni ngumu na very costly.

Haijalish mgogoro huu unaishaje ila image ya putin itakua imepata pgo sn kwakuwa ukiacha syria belarus myanmar na iran hakuna nch nyngn iliosema hadharan kuwa inasapoti operation ya russia nchn ukraine, kitendo cha china kutopinga azimio la kumlaan urusi UNSC kwa kujizuia kupga kura knathibitisha kutokukubaliana na uvamiz
 
Nakumbuka Gavana wa BoT wakati wa Nyerere mzee Mtei alikuwa akimkatalia Mwalimu mambo mengi kutokana na athari zinazoweza kujitokeza mbeleni lakini wanasiasa wa wakati ule wakamuona Mtei kama mtu mkorofi...
Kwenye vita unatakiwa kushirikisha fani zote sio wabeba bunduki tu na waendesha vifaru,mizinga na ndege za kivita tu

Ndio maana majeshi ya nchi zilizoendelea yenye nguvu kubwa kijeshi huajiri wataalamu wabobezi wa fani zote kama wanajeshi

Tanzania tunajitahidi ndio maana nchi ina amani tulishapata baba mchungaji wa kanisa mchungaji Kipilimba kama mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...
Mkuu Bado Mnaweweseka na kuendelea kuamisha magori?
 
Sekta binafsi ipo profit oriented. Watataka misamaha ya kodi kwenye biashara zao n.k gharama inarudi kule kule tu. Unless useme in time being serikali isikusanye kodi yoyote kwenye mafuta.
Kwenye biashara lazma win win situation iwepo, serikal inapunguz mzigo mkubwa kuubeba huku sekta binafsi ikipata faida yake...
 
Reactions: Tsh
Mods unganisha huu uzi. Hauna maana zaidi ya kuonekana kama comment kwenye uzi wa mzingi.
Chunguza vizuri utagundua Mods ni wa itikadi gani katika huu mgogoro wa Russia na Ukraine hivyo hutashangaa.

Binafsi niliweka Uzi wangu humu ambapo naamini una sifa ya kusimama peke yake kuliko huu lakini ukaunganishwa kule ukamezwa MAZIMA YAANI.
 
[emoji837] Hali mbaya na ya ubaguzi imeanza Ukraine kwa watu weusi wanaoishi nchini Humo [emoji3525][emoji3525]

" Kosa letu pekee ni kua na ngozi nyeusi. Inawezekana aje weusi tuu ndio wateseke zaidi kuliko wazungu na wakati sote tunahitaji kuikimbia hii vita » ameuliza mwanafunzi mkongo anaeishi Kiev miaka mitatu sasa.

Vita ya Ukraine imeanza kuunda ubaguzi warangi haswaa kwa wanafunzi wakiafrika walioko kule. Videos nyingi zimevuma mitandaoni hivi karibuni zinavyoonyesha ni jinsi gani wanavyoteseka na jeshi la Poland [emoji1200] mpakani wakiombwa vitambulisho kama raia Wa Ukraine kama huna huingii nchini Poland [emoji1200] .

Mwanafunzi mwengine ameeleza kua sisi wanafunzi wakiafrika hatuna kitambulisho kama raia Wa Ukraine lakini kutokana na jinsi tuna documents zinazoturuhusu kuishi nchini Ukraine kama wanafunzi kwanini wasituachii tuingie nchini humo ".

Kwa hao wanafunzi ni dhahiri kua ni kitendo cha ubaguzi wa rangi kwa sababu wengine wameachiwa waingie ispokua watu weusi pekee . Swala hili inabidi umoja wa ma taifa wa Afrika uingilie kati kabisa .





View attachment 2134313View attachment 2134314
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...
Ushabiki upunguze ili uongee hoja za msingi! Wapi umeambiwa mshambulia kaomba poo?
 
Hata kama huyo bwana anahatarisha Maisha yako, familia yako na mtoto uliyempata na x wako

Ila marekani akiwachagulia watu namna ya kuishi mnaita demokrasia

Ukraini Hadi aombe poo na kuachana na penzi la bwana ake mpya

Kabisaaa
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...
Mkuu tenganisha na aya basi maana kusoma ikiwa hivyo sio mchezo
 
Kwa hivyo vikwazo walivyowekewa, Russia hawana jinsi itabidi tu wambembeleze Valodomyr Zelensky ili watete na Putin na ionekane kwamba wamefikia some sort of compromise ndio Russia wajifanye kuondoa majeshi yao Ukraine ili kuficha aibu inayowanyemelea Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…