Mzungu Twiga
Member
- Oct 25, 2019
- 30
- 47
Timu Putin nimechekakuna mizigo mipya imeingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu Putin nimechekakuna mizigo mipya imeingia
Mzingi ndio nn broMods unganisha huu uzi. Hauna maana zaidi ya kuonekana kama comment kwenye uzi wa mzingi.
Kwenye vita unatakiwa kushirikisha fani zote sio wabeba bunduki tu na waendesha vifaru,mizinga na ndege za kivita tuNakumbuka Gavana wa BoT wakati wa Nyerere mzee Mtei alikuwa akimkatalia Mwalimu mambo mengi kutokana na athari zinazoweza kujitokeza mbeleni lakini wanasiasa wa wakati ule wakamuona Mtei kama mtu mkorofi...
Mkuu Bado Mnaweweseka na kuendelea kuamisha magori?Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...
Sasa chadema imeingiaje hapoEndelea kuota unazani moscow ni kama chadema kule wanajielewa , sana putin kuwa mahali hapo yupo wakati sahihi , pamoja na vikwazo lkn bado ana survive kibabe
hahaha kumechafuka huko kremlinBwana putin ana hisi kufa kufa tu hawaamini adi watu wake[emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 2134303
Best comment in year 2022. Kwanza Vita niushamba, sitaki kuamini kuwa Putin ni mshamba kiasi hiki.Mungu wetu awape hawa viongozi wa Russia na Ukraine moyo wa kutafuta suluhu
Kwenye biashara lazma win win situation iwepo, serikal inapunguz mzigo mkubwa kuubeba huku sekta binafsi ikipata faida yake...Sekta binafsi ipo profit oriented. Watataka misamaha ya kodi kwenye biashara zao n.k gharama inarudi kule kule tu. Unless useme in time being serikali isikusanye kodi yoyote kwenye mafuta.
Ndugu Russia imetengwa kinoma wapiga gambe wamezira kunywa vodca za Russia wanazimwagaKafanya maamuzi aliwa na hasira na panic
Aliyesoma hii nyaraka isiyo na kiuno, kichwa, kofia wala koma naomba anieleweshe huyu mwameleki anasema nini
Chunguza vizuri utagundua Mods ni wa itikadi gani katika huu mgogoro wa Russia na Ukraine hivyo hutashangaa.Mods unganisha huu uzi. Hauna maana zaidi ya kuonekana kama comment kwenye uzi wa mzingi.
Ushabiki upunguze ili uongee hoja za msingi! Wapi umeambiwa mshambulia kaomba poo?Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...
Hata kama huyo bwana anahatarisha Maisha yako, familia yako na mtoto uliyempata na x wako
Ila marekani akiwachagulia watu namna ya kuishi mnaita demokrasia
Ukraini Hadi aombe poo na kuachana na penzi la bwana ake mpya
Mkuu tenganisha na aya basi maana kusoma ikiwa hivyo sio mchezoKwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani...