Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Of course ni John Depp [emoji440] a like. That what they are planning. Bas thing wamegundua asset za Russia in EU hazifiki EUr 50 billion na jamaa kakalia ndege zao na kawaambia hawatoki na kitu Russia kama wataendelea kutaifisha Mali za Russians.
So hyo nayo ni sehem ya suluhisho la mgogoro huo [emoji1787].... Wale jamaa wa vyoo vya USAID hili watashangalia.
 


Today, the heads of the EAEU countries will discuss 15 issues of integration. Sadyr Japarov will be the chairman of the meeting of the Supreme Eurasian Economic Council (via video link).

The summit will also be attended by the presidents of the observer countries - Uzbekistan and Cuba. Start at 16:00.
 
majority tulijua hivyo kwamba Urusi hawezi kung'ang'aniwa kwa miezi 3 na

Urraaaaaa Urrrrrraaaaaaaa
Wezi tu ,mbona wamegeuza Warusi matapeli waanzishe ya kwao
Nimekupata,summarised basi
 
EU walipunguza budget yao ya silaha kwa muda mrefu walikua wana taka kukuza uchumi na welfare ya wananchi wake. Kaja kichaa putin anataka warudi enzi za cold war
Marekani anayeiongeza kila mwaka yupo kwenye "Freezer" War au sio mdau?

Hamkosi visingizio!

Jibuni kwa facts, mnajua North Korea budget yake kiasi gani kwenye Military? Ni around $4B Compared to 'Big Cows' kama UK with $58B, Germany with $51B, France with $50B hapo Europe, Je wapo kwenye top ten zilizoorodheshwa hapo?

Of course US anayo kubwa zaidi kuliko wote almost 2nd up to 8th combined, Je, yupo top kwenye kila chart?

Anyway tell us, how much they need kuwa zaidi ya North Korea anayetumia $4B kama hizo $58B hazitoshi [emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama mmeshindwa kutumia raslimali zenu wenyewe msaidiwaje, mnapeleka proposal wenyewe ya kuomba mjengewe matundu ya vyoo.. hii ni aibuView attachment 2240182

Humu jf kuna viongozi wa serikali, kuna foreigners, kuna wazee nk nk, comments kama hzi zinaonesha jinsi gani una akili kijana ambae unategemewa badae uje kuwa msaada kwa jamii yako bado unaamini kwenye misaada na sio kujitegemea.

Mtu kama wewe bila shaka ni wale ambao bado mpo majumbani kula kulala, kuchati kushinda insta, snapchat nknk hujajua bado nini maana ya maisha reply zako tu hzi zinaonesha upo level gani.

Naona sahv umeamua uachane na yale majina yako ya kiba @cocobaby usibadil ID ni kutojiamini
 
Hiv ile mizinga ya M777s kutoka marekani ilipotelea wapi? ha ha ha ha maana mlisema urusi itapigika.

ukweli mchungu nato silaha zao ni "dhaifu"

ndo maani waliwakimbia wale vijana wa afghanistan

Hivi bado mnaiamini US? Hili ni taifa linoendeshwa na propaganda brother ni wazee wa kujimwambafai ila hakuna kitu ni kelele tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lini, wapi umeibiwa dhahabu za trillion badala yake ukapewa vyandarua? Toa reference. Ni rahisi kusema maneno yanayo sound nice masikioni lakini kumbe hayana ukweli wowote.

Acha kukaza fuvu hilo, hujui kinachoendelea nyuma ya pazia lait ungekua unafaham usingeendelea kuwaabudu hao rainbow [emoji304]
 
The United States reported another record of Russian oil revenues.

Despite the sanctions, in April Russia received 1.8 trillion rubles against 1.2 trillion in March, according to the Oil Price portal.

The resource believes that the restrictive measures of the West may even play into the hands of Moscow.

“It is impossible to completely remove Russian oil from the market without allowing prices to rise up to $200 per barrel. In addition, with rising prices, Russian oil is becoming more attractive. For example, right now China and India have a huge incentive to buy it at a discount,” the article says. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…