Sijaona Nchi ina kiherehere kama hii Poland..UK na US...Yaani hasa Poland sijajua kwanini KGB hawajaingia Pale Wamnyandue huyu mtu mjinga Waziri MkuuHawa Poland wanawashwa Sana[emoji28]
Nadhani Unalinganisha Russia na Msumbiji au Mali...Pole yako.. pole sanaputin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
fikiria Russia..Mzee Kiduku na Mchina Wakiunganisha Nguvu....Nyie Kuna watu watajamba mchana kweupeTop 10 Countries with the Largest Military Submarine Fleets (IISS 2021):
- North Korea - 71
- United States - 68
- China - 67
- Russia - 65
- Japan - 22
- South Korea - 18
- Iran - 17
- India - 16
- Turkey - 12
- Greece, United Kingdom (tie) - 11
Napenda habari za mwenendo wa vita kama hizi. Tujitahidi kuleta habari kama hizi za mapiganoMapigano ya mtaani yameanza huko severdoneks pia majesh ya urusi yakitokda liman yamefanikiwa kuingia kwenye mji wa slovayank kama urusi ikifanikiwa kuubeba mji wa slovayank majesh ya urusi yatapata wepesi wa kuzama katika mji mkubwa na wa kimkakati wa kramatosky
Russia ana kila kitu .Hawa US ni wahuni wanamwandikia deni Zelensky kisha wanawataarifu Russia njia yatakopita ayabutueVita bado mbichi soon zinatua F-16 stealth jetView attachment 2241912
Roman empire,USSR zilisambaratika na kusahauliwa sembuse Urusi.Nadhani Unalinganisha Russia na Msumbiji au Mali...Pole yako.. pole sana
So far USA ndio empire Russia ana challenge ?. Hivyo wakudondoka ni USA kuwa anapotea hivyoRoman empire,USSR zilisambaratika na kusahauliwa sembuse Urusi.
Huo ni ubabe tu wa UK na US kifupi Russia ata retaliate kivipi na lini haijulikani.Dola bilioni 5.2 mauzo ya timu ya chelsea, kugharamia silaha jeshi la Ukraine. Vladimir hajategemea kabisa fedha za urusi kugharamia silaha za adui. Haya ndio matokeo ya akili mbofu mbofu za putin.
Kumekucha. Marekani kukabidhi Ukraine makombara ya masafa marefu. Dikteta Putin ajiandae kuishi kwenye handaki milele daima.
Piecewise escalation hadi Vladimir aombe usuluhisho.
The White House is preparing to dispatch long-range rocket systems to Ukraine as part of a fresh package of military and other aid that could be announced as soon as next week, according to a new report.
The Biden administration has previously been reluctant to send the advanced weaponry out of concern that Kyiv’s forces could use it to strike targets inside Russia.
That worry was discussed among deputy cabinet members during two national security policy meetings at the White House last week, CNN reported, citing multiple officials.
While the US has sent tens of billions of dollars in military assistance to Ukraine since the brutal Russian invasion began on Feb. 24, top officials in Kyiv — including President Volodymyr Zelensky — have urged the US and other Western nations to do more, in part by providing so-called Multiple Launch Rocket Systems (MLRS).
Ukrainian officials have also reportedly requested High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS), as Russian troops continue to pound their western neighbor.
British Prime Minister Boris Johnson has backed sending Ukraine those systems, telling Bloomberg on Friday that it “would enable them to defend themselves against this very brutal Russian artillery, and that’s where the world needs to go down.”
Matusi yale yale ya siku zote, mmekosa tusi jipya mpaka leo ?...Bora yeye wewe una mambo ya kishoga...unatumia vibaya mwisho wa utumbo mpana. Sio matumizi yake hayo ..mrudie Mungu wako kenge Wewe ....
Wapuuzi sana hawa vijana, wanadhani matusi ndio hoja..Sasa akili kisoda kama wewe ndio mtu wa kufanya mjadala hapa?
Hakuna asieweza kutukana bwana mdogo kuwa matured na ujifunze kupitia wengine. Unakuwa na kisirani kama mwanamke mwenye mimba.
👆...huyu naye anajiita 'great sinker' kwenye kambi ya Warusi wa Kibaigwa na hiyo ndio hoja yake nzito ya utetezi.......😂😂.Nyie ndio mmefanya mafuta ya kupikia yamepanda bei mmayafanya mbadala wa KY . Shenzi kabisa ... Watu wanapikia nyie mnatinduana.
Tutakabiliana nao kwa njia yoyote ila tusliaumianeKumekucha. Marekani kukabidhi Ukraine makombara ya masafa marefu. Dikteta Putin ajiandae kuishi kwenye handaki milele daima.
Piecewise escalation hadi Vladimir aombe usuluhisho.
The White House is preparing to dispatch long-range rocket systems to Ukraine as part of a fresh package of military and other aid that could be announced as soon as next week, according to a new report.
The Biden administration has previously been reluctant to send the advanced weaponry out of concern that Kyiv’s forces could use it to strike targets inside Russia.
That worry was discussed among deputy cabinet members during two national security policy meetings at the White House last week, CNN reported, citing multiple officials.
While the US has sent tens of billions of dollars in military assistance to Ukraine since the brutal Russian invasion began on Feb. 24, top officials in Kyiv — including President Volodymyr Zelensky — have urged the US and other Western nations to do more, in part by providing so-called Multiple Launch Rocket Systems (MLRS).
Ukrainian officials have also reportedly requested High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS), as Russian troops continue to pound their western neighbor.
British Prime Minister Boris Johnson has backed sending Ukraine those systems, telling Bloomberg on Friday that it “would enable them to defend themselves against this very brutal Russian artillery, and that’s where the world needs to go down.”
Huyo mpuuzi hana maana nimeamua kuachana nae hajui kitu zaidi ya matusi tu.👆...huyu naye anajiita 'great sinker' kwenye kambi ya Warusi wa Kibaigwa na hiyo ndio hoja yake nzito ya utetezi.......😂😂.
dudus kikiboxer Root Tsh Nyamizi
The Sunk Cost Fallacy Jackal T14 Armata
Sasa nimejua ni kwanini Putin alisema, Biden na wenzake wasiingie Urusi,isipokuwa Trump
Wameishiwa mbinu mkuuHuyo m
Huyo mpuuzi hana maana nimeamua kuachana nae hajui kitu zaidi ya matusi tu.