Marekani ni taifa ovu sana lililoundwa na Shetani mwenyewe kwa nia ovu ya kutesa na kuua Wanadamu.Naamini Urusi wana ushahidi mwingi sana wa uovu Marekani wanaowafanyia wanadamu.Kwa vile sasa wame-fall apart ni wakati muafaka wa ku-expose uovu wa taifa hilo ovu kabisa kuwahi kuwepo.Kwamba Bio-labs zilizo husika na "Gain of Function Research" ya Monkey Pox ipo Nigeria,sio ajabu kwa kuwa wameseme case ya kwanza ya Monkey Pox US ilionekana kwa abiria wa ndege aliyetoka Nigeria.Ni kuvuana nguo kwa kweli hii operations itakuwa na matokeo mengi saana
Marekani ni taifa ovu sana lililoundwa na Shetani mwenyewe kwa nia ovu ya kutesa na kuua Wanadamu.Naamini Urusi wana ushahidi mwingi sana wa uovu Marekani wanaowafanyia wanadamu.Kwa vile sasa wame-fall apart ni wakati muafaka wa ku-expose uovu wa taifa hilo ovu kabisa kuwahi kuwepo.Kwamba Bio-labs zilizo husika na "Gain of Function Research" ya Monkey Pox ipo Nigeria,sio ajabu kwa kuwa wameseme case ya kwanza ya Monkey Pox US ilionekana kwa abiria wa ndege aliyetoka Nigeria.
Slowly but surelyMapigano ya mtaani yameanza huko severdoneks pia majesh ya urusi yakitokda liman yamefanikiwa kuingia kwenye mji wa slovayank kama urusi ikifanikiwa kuubeba mji wa slovayank majesh ya urusi yatapata wepesi wa kuzama katika mji mkubwa na wa kimkakati wa kramatosky
Russia yasema jaribio la makombora ya Zircon hypersonic limefanikiwa
#Russia #Jaribiolakombora #ZirconHypersonic #Lyman #Ukombozi #majeshi #voa #voaswahili #VolodymyrZelenskyyJeshi la Russia lasema limeuteka mji wa Lyman
Jeshi la Russia linasema limeuteka mji wa Lyman ulioko mashariki mwa Ukraine, kituo kikuu cha treni katika mkoa wa Donetsk.bit.ly
Marekani ni taifa ovu sana lililoundwa na Shetani mwenyewe kwa nia ovu ya kutesa na kuua Wanadamu.Naamini Urusi wana ushahidi mwingi sana wa uovu Marekani wanaowafanyia wanadamu.Kwa vile sasa wame-fall apart ni wakati muafaka wa ku-expose uovu wa taifa hilo ovu kabisa kuwahi kuwepo.Kwamba Bio-labs zilizo husika na "Gain of Function Research" ya Monkey Pox ipo Nigeria,sio ajabu kwa kuwa wameseme case ya kwanza ya Monkey Pox US ilionekana kwa abiria wa ndege aliyetoka Nigeria.
Cha ajabu wanaoishabikia marekani hawalioni hilo, kila siku wanamuona marekani mtu mwema.
Wanajua sana kucheza na maisha ya binadamu. Wanawaweka utegemezi wa maisha ili tuendelee kuwahitaji?.Hilo taifa ni la kishetani, kila kitu wao ushoga wao, taifa ovu sana hili
Wajuvi tusaidiane. Kwanini vifaru vina hivyo kama viboksi viboksi?Huku akiendelea kula kichapo heavyView attachment 2242099
Huyo dikteta kapata kichaa uzeeni.Dola bilioni 5.2 mauzo ya timu ya chelsea, kugharamia silaha jeshi la Ukraine. Vladimir hajategemea kabisa fedha za urusi kugharamia silaha za adui. Haya ndio matokeo ya akili mbofu mbofu za putin.
Huyo dikteta kapata kichaa uzeeni.
Iki ki nchi kilipaswa kifutwe haraka Sana[emoji34]Sijaona Nchi ina kiherehere kama hii Poland..UK na US...Yaani hasa Poland sijajua kwanini KGB hawajaingia Pale Wamnyandue huyu mtu mjinga Waziri Mkuu
Sio ya kugharamia silaha zinaenda kuwasaidia wakimbinzi na waliothirika na Vita acha upotoshajiDola bilioni 5.2 mauzo ya timu ya chelsea, kugharamia silaha jeshi la Ukraine. Vladimir hajategemea kabisa fedha za urusi kugharamia silaha za adui. Haya ndio matokeo ya akili mbofu mbofu za putin.
Mkuu naona unawapelekea moto pro nato bila hoja za msingi 😂😂😂😂Unaniachaje na pipinyama nimezamisha na unaikatikia huku una mwambia mkeo upo kazini...
Mafuta yalioko masikioni mwa wachechinia yatafanya kazi yake.Nenda ukraine kajitoleee manake unaumia sana