💯Mkuu,Huyu pimbi anasahau hawa watu walipoitawala Africa waliinyonya Sana,mali ghafi,biashara ya Utumwa nk.Mkuu kama wa Africa tunahitaji another alternative ya development model kwanini US na EU ndo watuambie jinsi ya kuendelea, hapana China sio mnyonyaji kama USA na EU kwahiyo kubadoli kwa world balance of power, huenda tukapata the second chance ya kuanza upya na kusahisha pale tulipo kosea ila US na EU are economic evils in Africa development wakianguka ni furaha kwetu wa Africa
Here you are . Nadhani mnaona tupo wengi sana tunawabana. Endeleeni na agenda zenu ila Urusi anazitibua. That's why Ukraine Vs Russia while EU na US inawauma balaa utadhani wana uchungu na waukraine.Nusu ya dunia isipokuwa hai itabaki hiyo nusu nyingine. Dunia ina watu bilioni 8 kwa sasa, nusu yake ni bilioni 4. Mwaka 1960 wakati Africa inapata Uhuru dunia yote ilikuwa na watu bilioni 3.
Vipi uhuru wa kujieleza? Na nafasi ya mwanamke katika uongozi?
Hueleweki.Tatizo la Africa sio development models. Muda mfupi baada ya uhuru Tanzania na mataifa mengine mengi walirukia development models za USSR na China ya Mao lakini chumi zao wote waliangukia pua na umaskini kushamiri.
Tatizo la Africa ni kwamba raia wake wengi ni wajinga na viongozi wake wengi hawana maono na maarifa ya kuhakisha utulivu nchi mwao, kuchochea ubunifu na biashara za maana katika nchi na kati ya mataifa yao.
Kwa sababu wameshindwa kufanya haya yote,maendeleo yamedumaa na wanawatumia Marekani na Ulaya kama "bogeyman" wao kwenye propoganda dhaifu.
Madikteta ya Africa yakisababisha mafarakano,vita, njaa na umaskini yanakimbilia kulaumu wazungu.
Inasikitisha sana
Demokrasia yenu bakini nayo watu tunayaheshimu marinda yetuRussia au China hawawezi kuwapa mikopo, misaada, fursa za biashara, masomo, ujuzi, msukumo wa demokrasia na keheshimu haki za binadamu na kazi kama mnavyopata Marekani au Ulaya.
China anachofanya hapa Africa kwa sasa ni aibu kubwa zaidi, bidhaa zake zilizojaa Kariakoo ni earphones, cover za simu, urembo, toothpicks na jeans za kutoboka.Amechukua tenda za ujenzi hadi vibarua wa kubeba zega wanatoka kwake. Kwa hali hii sahauni kuwa na viwanda vya maana kama vile tulivyokuwa navyo muda mfupi baada ya uhuru tukaviua.
Urusi hakuna cha maana inachoipa Africa zaidi ya ngano ya kutengeneza maandazi, AK-47 na mbolea kidogo ya wakulima wa jembe la mkono kuganga umaskini wao ambavyo vyote tunanua kwa pesa zetu.
Duh! Kuna watoto watakuita baba au mama sio?Urusi hakuna cha maana inachoipa Africa zaidi ya ngano ya kutengeneza maandazi, AK-47 na mbolea kidogo ya wakulima wa jembe la mkono kuganga umaskini wao ambavyo vyote tunanua kwa pesa zetu.
[emoji817]Mkuu,Huyu pimbi anasahau hawa watu walipoitawala Africa waliinyonya Sana,mali ghafi,biashara ya Utumwa nk.
Kifupi jamaa anatupanga tuone tutapotezaMkuu kama wa Africa tunahitaji another alternative ya development model kwanini US na EU ndo watuambie jinsi ya kuendelea, hapana China sio mnyonyaji kama USA na EU kwahiyo kubadoli kwa world balance of power, huenda tukapata the second chance ya kuanza upya na kusahisha pale tulipo kosea ila US na EU are economic evils in Africa development wakianguka ni furaha kwetu wa Africa
Unajua marekani inasaidia kwa maslahi binafsi na inaongiza kuumiza nchi za kiafrika kwa mikataba ya kinyonyaji? His viongozi unaosema ni vilaza na hawana maono ndio marekani inawataka,Marekani hii ambayo Ilimuua Patrice Lumumba kiongozi aliyekuwa na maono ndio unayotetea humu?
Here you are . Nadhani mnaona tupo wengi sana tunawabana. Endeleeni na agenda zenu ila Urusi anazitibua. That's why Ukraine Vs Russia while EU na US inawauma balaa utadhani wana uchungu na waukraine.
That's very bad kutumia Ukraine kama Canon foder yenu dhidi ya russia
Mimi sio Muislam,lakini nafurahi sana kuona ndani ya Urusi Kuna Warusi waislam,baadhi ni wanajeshi,na wanapigana kwa mzuka mkubwa sana.Chechen kama chechen
View attachment 2242975
Mkuu nakupongeza sana kwa andiko hili lililojaa Hali halisi kabisa.US, NATO AND EU ARE OVER RATED.
Kabla ya tarehe Feb 24th kila mtu aliaminishwa na viombo vya habari vya magharibi, kwamba hi dunia ina mbabe moja na washikaji wake.
Tangu kuisha kwa vita baridi (cold War) btn the communist bloc led by Ussr na Western bloc led by US, tuli amanishwa kwamba US is the police man of the world, na Britain ana navy supremancy is the shark of the sea, kwamba wote wakiungana wana uwezo wa kufanya dunia hi chochote wanacho taka iwe economically au miliatarily walio bisha wakawa wanapewa mfano wa Zibabwe alivo dhoifishwa na vikwazo vya US na EU.
Special Oparation ya Urusi dhidi ya Ukrain eme expose utupu wa Marikani na EU, kwamba ni super power za media propaganda kama wa chezaji wa uingereza wanavo kua over rated na media ila uwajani hamna kitu.
Baada ya disintegration of USSR miaka ya 90s Nato elipata mwanya wa kuingilia Russia kupitia majimbo yake yalio jitenga kwa kuwa wezesha zaidi kicheshi na kiuchumi ziwe springboard ya kushambulia Urusi na atimaye kuangusha utawala wa ki-socialist haraka ili western democrancy itawale ulimwengu hu, Ukuraini ikawa case study yao kwa azima lao hilo.
kwa miaka 30 ilio pita walipeleka wanajeshi wa Ukuraini kwa special training ya kijeshi na ideological preparedness or indoctrination kwa miaka 8 wame train zaidi ya wanajeshi 100k, Ukuraini akawa na large standing and professional army in Western Europe kupambana na Russia kwa niaba ya Western powers ila cha kushangaza ni siku 90 tu za operation ya Urusi zinaenda sababisha total collapse of Ukuraniani Army ilio andaliwa na Nato kwa miaka 8 intensively with all kind of sofiscated western military arsenal, kweli Nato/na US ni Superpower visa-vie Russia?
Kama really US na EU are the fathers of democracy human rights freedom of press and free-trade kulikua hamna haja ya kuzuia RF na other Russia media ku-oparate in western countries, hiyo ndo hypocrisy ya hizo nchi kujifisha kwenye democracy wakati wana hidden military na eçonomic agandas, kupora mali za oligarch wa Russia bila ushahidi ni wizi mtupu na wivu, ilionyesha jinsi hizo nchi zilivo bado primitive.
Mytake:
Nina wakika Russia ana uwezo wa kuendesha hi vita kwa minimum ya mika mitano, kwasbb tangu miaka ya 90s alijianda sana na kitu kama hiki kutokea, naomba iendelee na oparation zake tena aipanue zaidi, kama mwa Africa tunahitaji tupata new world balance of power, tumechoka unafiki na udikiteta wa US na EU kwa nchi zetu, naona tayari nchi za ulaya ziko hoi hata kabla ya vita ya moja kwa moja kwao, naomba Putin eingage Poland baada ya Ukuraini, hata kama kutakua na haja ya kutumia silaha za nukes naona ni poa tu ili sisi Africa tuamuke na tupate maendeleo mapya bile EU na US intervention.
Pro Russia mko wastaarabu sana.ulichokifanya kuomba msaada wa ufafanuzi kwa mtaalamu wa hicho kitengo kutoka Kwa Pro USAnato na kumshukuru ni sawasawa kabisa na kinachofanywa na wanajeshi wa Urusi.
Sina Imani na wewe,Hicho kifaa ni sawa tu na satellite dish .Kina pokea mawambi ya internet kutoka low Earth orbit satellite za Elon. Cha ajabu kipi hapo?
Naunga mkono hoja,Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?
Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?
Never!
Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?
Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?
Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...
Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!
It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.
Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....
Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?
Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?
Never!
Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?
Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?
Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...
Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!
It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.
Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....
Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...