Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
😂😂😂Sanaa kama uko hapa kwa lengo la kujifunza na kujadili ni mahali sahihi ila kama uko kwa ajili ya kubisha na haujui pia unachokibishia huo n uchezeaji wa rasilimali muda.
Ki ukweli m nainjoi kuona vichwa vinanolewa kuna Pro Ukraine wako njema kwa hoja zao mpaka akikukot unashtuka n nn tena ntamwambia nini huyu mwamba na ndivyo inavyopasa kua.
Mjadala kila mtu ana engo yake anavyoona ni kama 6 na 9 inategemea uko upande gani wote mnaweza kuwa sawa au kua hamko sawa ila kuna muafikiano mtaufikiabambao unaona unajibu moja labda kweli tunapigwa,tunanyonywa,tulikua wajinga,n.k.
Unamiss some points, cancer na biological weapon wapi na wapi?
Ukisikia mtu anasema Biological Weapons we unaelewaje? Em tuanzie hapo kwanza.Unamiss some points, cancer na biological weapon wapi na wapi?
Yoda ana madini sanaa ila sijui n kibarua anaogopa watoto hawataenda chooni ivyo inabidi asifu na kuabudu 😂😂😂😂.😂😂😂
Ujue hapa kuna Pro-NATO sure wako vizuri kama Proved, T14 Armata na wengineo ila linapokuja issue ya US wanageuka Mazuzu. Sasa sijui ndio tuseme mahaba yanazidi au inakuaje.
Na Wengine ndio hivyo tia mchuzi maisha yaendelee.
Sasa kuwa na nia ndio ashambuliwe? Ashambulie basi Finland na Sweden kwani si kuonyesha nia tu, wameomba kujiunga NATO.
Balaa mtupu... Halaf kuna kusifu unapitiliza ukishtuliwa unashtuka sasa huyo jamaa ako msuli wa Aibu umemkata bora wale niliowataja walau wana brake kwenye korongo wanapunguzs speed 😂😂😂Yoda ana madini sanaa ila sijui n kibarua anaogopa watoto hawataenda chooni ivyo inabidi asifu na kuabudu 😂😂😂😂.
View attachment 2243839
[emoji3538][emoji335]Tomorrow morning at 5.00 Killnet hackers promise an Attack in Italy. Xirt Italia (what the hell Is It??) Is on maximum alert and investigating [emoji335][emoji378][emoji335]
Sasa kama family yake inaishi kwa hisani ya USAID atafanyaje inabidi apambane kuonyesha kua sio wote wanadis americans/EU.Balaa mtupu... Halaf kuna kusifu unapitiliza ukishtuliwa unashtuka sasa huyo jamaa ako msuli wa Aibu umemkata bora wale niliowataja walau wana brake kwenye korongo wanapunguzs speed 😂😂😂
Kifaru hakina kioo, dreva anaonaje mbeleAbrams hasa hii modification ya Sep3 ni more advanced. Vifaru vya NATO vyote wanatumia armoured weapons station na blast proof doors kutenganisha crew na mizinga. Crew inakuwa watu wanne ambao ni dereva anayeonekana mbele akifungua hatch, gunner anayekaa juu na bunduki, tank commander na loader anayekuwa nyuma kabisa akibadili mzinga gani wa kufyatua. Unakuta compartment ya silaha ina shells za armour piercing, HEAT, gun launched missile na nyingine anabadili kadri ya amri ya tank commander.
Kifaru kikipigwa ile mizinga imefungiwa kwenye chamber yake ngumu hailipuki, ikitokea inalipuka kuna weak points nyuma zinafungua mlipuko na moto unatokea nyuma kabisa ya kifaru na crew inasalimika. Mtu vulnerable kufa pale ni gunner ila ni chance ndogo na uzembe wake.
Upande wa Urusi wao wanapenda kupunguza idadi ya crew wawe watatu. Wanatumia automatic loader ambayo hii inasababisha kifaru kiwe na ring la mizinga. Hii ring iko wazi ikitokea kifaru kimepigwa na kupenywa ring nzima inalipuka kwa chain. Ndio maana turrets zinarushwa. Mfumo huu haulindi crew na mara nyingi crew unakufa. Kingine ambacho Marekani walikataa kutumia autoloader wanadai ikiwa una kifaru cha crew ya watu watatu mmoja akijeruhiwa au kupata shida basi waliobaki hawawezi kufanya kitu. Ila ukiwa na kifaru cha wanne, mmoja akapata shida pale loader anakuwa kama reserve.
Israel ndio wako serious na kulinda maisha ya wanajeshi. Vifaru vyao vya Merkava IV vina engine mbele ili ukipiga ukapenya ukutane na injini watu wapone. Na crew compartment ndio ngumu kuliko vifaru vingine. Na wana Trophy active protection system inafanya kazi kama Shtora ya Warusi, zile zinazoonekana kama taa nyekundu mbele ya vifaru zikiwa active. Trophy iko more superior than Shtora na ishakuwa proven mara nyingi
Unakuta mwamba amekomaa kukupa mifano ya Condom, Vidonge vya ARV na Vyoo... What a Thinker 😂Sasa kama family yake inaishi kwa hisani ya USAID atafanyaje inabidi apambane kuonyesha kua sio wote wanadis americans/EU.
Ni mwendo wa kumeza ulimi tuu😂😂😂😂Slava Ukraine Slava Ukraine
Akili kubwa hii MKUUMie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?
Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?
Never!
Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?
Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?
Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...
Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!
It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.
Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....
Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
Mnashindwa na nguvu ya hoja mnajifariji tu kwa yasiyo na maana. Anatoa facts tu.Balaa mtupu... Halaf kuna kusifu unapitiliza ukishtuliwa unashtuka sasa huyo jamaa ako msuli wa Aibu umemkata bora wale niliowataja walau wana brake kwenye korongo wanapunguzs speed 😂😂😂
Mnashindwa na nguvu ya hoja mnajifariji tu kwa yasiyo na maana. Anatoa facts tu.
Lakini CUBA haikua na haki yakuchagua mshirika !!!??Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.
Hamna ubaya sikama kina wanaojiita eti MALKIA ELIZABETH wapale UKPutin anamwandaa mwanawe kushika madaraka.
Vladimir Putin is considering parachuting his daughter to a position in parliament so she has the power after he dies, it has been claimed.
The Russian leader has long been dogged with rumours of being seriously sick, with some saying he has had to use deep-fake technology to stage his appearances while undergoing medical treatment.
Combined with the war on-going in Ukraine, Kremlin officials are reportedly anxious about how the status quo will be maintained after Putin dies.
There is now a ‘clear demand’ from Russian elites to ‘understand their future without Putin’
DoohPrinciple yao ile ile that, Arm every one and let them kill each other... Lau kama wangeijua history basi wasingeshududu upuuzi wanaouropoka sasa hivi.
They don't know who is in control, some think it's US regime, thou actually it's those who are behind US regime, that're Western elites. My dear, tell them hii ndio ramani ya US baada ya kupokea uhuru wao kutoka kwa "British".
View attachment 2243564
Na hii chini ni US tunayoiona hivi sasa
View attachment 2243566
Je, wanafaham safari ya hilo eneo hadi kufikia hii US tunayoiona leo ilivyokua mmmh? Hii Calif, Nevada, Utah, Arizona, New Mexico na Texas wanajua zilivyochukuliwa kutoka Mexico ya wakati huo?
Wanajua sababu kubwa ya Ugonvi uliopo kati yake US na Mexico hadi leo ikafika kitendo hadi Trump kutaka kujenga Ukuta kwenye mpaka wake yeye na jirani yake? Ni Drug Traffic au sio? He he he [emoji23]
US ni taifa chotara, Ethnic yake ni mchanganyiko kwasababu lilikuwa shamba la utumwa, enzi hizo watumwa kutoka sehem tofauti duniani walikuwa wakipelekwa huko kutumikishwa kwenye mashamba ya wakoloni hawa wazungu wanaowashobokea mbaka leo.
Je baada ya Uhuru wanajua kile white supremacists walichokifanya kwa wahindi wekundu? Ok tufanye walikuwa hawajazaliwa, Je wanakifaham ambacho wameendelea kuwafanyia watu weusi hadi leo hii?
Again wanajua ni nani aliye'sanifu WW1 na WW2? Na lengo lake hasa lilikuwa ni nini? Baada ya kufanikisha alichokusudia ama kwa wale wanaofikiri walipewa uhuru bure, washawahi kujiuliza Isingekua kuyumba kwa uchumi kwa mataifa tawala hapo Ulaya baada ya WW2 wanajua wangekuwa na hali gani hivi sasa?
Baada ya kuvunjika kwq USSR, taifa lilobaki likichuana na US kiuchumi alikuwa Japan, wanaweza kutwambia huko kufreeze kwa Uchumi wa Japan hadi leo ni nini?
Tutumie number ieleweke, Japan GDP in 1991 ilikuwa $3.6T, 2000 ilikuwa $4.9T na last year was $5.2T. Upande wa China 1991 ilikuwa $384B, 2000 ilikuwa $1.21T na last year was $17.7T. So unaweza kuona how jina dictator linavyozaliwa na kuingia katika matumizi?
If that exponential growth of Chinese Economy was due to dictatorship na hiyo
stagnant of Economy ya Japan was due to democracy, Huh bas that's fantastic indeed.
Sogea afrika kwetu, Libya GDP in 1990 was $28.9B, kufikia 2000 ilikua $38.2B, na one year before NATO hawajachafua hali ya hewa ilikua $74.8B, lakini leo hii miaka 11 imepita tangu wamtoe yule wanayemuita Dictator na Libya GDP ni $51B, Mind you hii ni nchi tajiri wa Mafuta Afrika. Can you tell the difference under given two ideology?
Ok tuhame huko, Ingekuaje kwe huu mgogoro uliopo yeye na jiran yake US huyu Mexico, Russia na China waanze kumpatia Mexico silaha za kujilinda nae US atafeel vipi? Je, Hiyo nayo ni democracy?
Je, wanafaham kama J. F. Kennedy aliuliwa kwa mlengwa ule ule pale alipotaka kulitoa taifa lake kwenye mikono ya "wahuni"[emoji23] mmmh?, Kama walifanya kwa kiongozi aliyepo madarakani kwenye taifa hilo hilo watashindwa kwenye mataifa mengine yanayoenda kinyume nae?
Usichoke tuendelee, Israel ni rafiki mshirika wa United State. Oh! Tizama hii picha revoultion yake ya wizi wa ardhi wa kutoka kwa wapalestine.
View attachment 2243575
Israel-Palestine: When the Map Lies - Catholics for Israel
Building bridges between Israel and the Churchwww.catholicsforisrael.com
As you can see hapo, hizo annexation anazozifanya Israel ni Copy ya aliyoifanya US miaka hiyo, Je hiyo nayo ni democracy, if not? Did you ever hear them condemn Israel juu ya anachokifanya? Did they ever told them ku-abide na democracy?
Hapo hapo tuwashtaki UN (Umoja wa mchongo huu) kwenye hiyo picha juu, utaona Illustration ya pili ya mipaa ni ile iliyowekwa na UN mnamo 1947, je mipaka hiyo ndio iliyopo sasa? 1947 hadi leo ni miaka 75. Ni kweli UN hawajaliona hilo ila la Crimea ndio waliloliona? Ulishawahi kusikia kuna taifa limempa vikwazo Israel?
Haiishii hapo tu... Saudia Arabia, Qatar, UAE hawa nao ni washirika wakubwa wa mmarekani. Their rulling system sio democracy but Ufalme ambao familia moja inatawala milele. Refer to democracy kua ni serikali ya watu, for the people to the people... Kwanini hawa hawaguswi kelele zipo Russia na China?
Yah, Simply because sio threat kwenye interest zao na wala sio Issue za demokrasia hapo.
Canada, Australia, New Zealand na Nchi zingine nyingi tu hapo Caribbean bado ziko under British Influence. Hizo nchi zina waziri mkuu tu kama kiongozi wa serikali lakini kiongozi wa nchi/Top Official ni Mfalme ama Queen wa Uiengereza. Kwanini hizo Nchi kubwa kama hizo zinabaki chini ya familia moja (Royal family) badala ya kupewa full sovereignty if kweli wanamaanisha wanayoyazungumza?
Wanatumia kigezo kipi kudai sehem flan kuna udikteta na sehem flan kuna democracy? Kwani Putin na Xin wamejichagua wenyewe? Kwanini kila anayepingana nao hafai?
Em turudi hapa Afrika, kuna nchi mbili hadi leo toka uhuru zimetawaliwa na Marais wawili tu. Anza na Cameroon kwa Paul Biya kisha njoo Equatorial Guinea kwa Teodoro Obiyang. Ushawah kusikia kuna Mzungu anapiga kelele au kuweka vikwazo kwenye nchi hizo kwasababu ya udikteta?
Kombe la CAF mwaka huu limefanyikia Cameroon, je Taasisi za michezo, Taasisi za haki za binadam umezisikia zikipinga kufanyika michezo hiyo kwenye hizo nchi ambazo hazina democracy?
Nakudokeze kidogo, Equatorial Guinea ni nchi yenye utajiri wa Mafuta, wanaochimba mafuta hayo nchini hapo ni ExxonMobil, Marathon Oil Corp, Noble Energy na Kosmos Energy. Zote hizo ni Kampuni za Marekani
Swali, Ikawaje anayejiita father of democracy akaenda kuwekeza (na sio kuwekeza pale wanaiba tu) kwenye nchi ya udikteta. Ambayo Kiongozi wake huyo Obiyang kafungua account zaidi ya 60 kwenye bank 1 US anakopokea malipo ya Mafuta hayo? So unaona aina ya viongozi wanaopendwa na hawa watu wala sio kelele za Democracy ama Udikteta?
Leo hii China sometimes na Korea, wanaigiza movies nyingi tumeziona kama sehem ya kuwafundishia kizazi chao namna walivyotawaliwa na Mjapan... Jinsi walivyosota na namna walivyojikomboa? Ujue kwanini? Wanalinda Historia, asiyejua anakotoka hawezi jua anakoelekea.
Je hivi leo sisi weusi tunaweza igiza Movies kama hizo kufundisha kizazi chetu tulikotoka na namna tulivojikomboa au ndio tutawachorea picha za nyani tuwaambie tumetokana na nyani na huko ndiko babu zao walikotoka hivo wakirushiwa ndizi wasishangae...?
Kwao there is so no such a thing as World peace kwenye ajenda zao bali creating chaos, Arm everyone then wanakaa pembeni muuane vizuri. Hawa ndio wako msitari wa mbele kutuambia Dini flani hivi ni mbaya kwasababu ilienezwa kwa nguvu, ubabe na upanga...
If that's true, sasa wanatakaje tuamini na hii democracy ni nzuri inayoenezwa kwa Chaos na mauaji ya watu kiasi hicho maeneo ambayo hawakubaliani na mfumo wao huo?
If really democracy ni uhuru wa kila jamii, rika ama kundi kufanya itakalo. Kwanini wanaopenda tofauti na wanachokihitaji wawe wabaya ilhali wanahubiri "freedom" kwa kila kundi kufanya wapendalo?
Na kwanini dada mkuu akimbilie Europe na Asia kueneza itikadi zake, kwani jiran zake hapo Mexico, Latin and South America hawaoni?
Anyway, niishie hapo tu. Hata kwa hayo machache najua sijapoteza mda wangu kuyaandika coz am talking with mtu anayejielewa [emoji23]... Mdau kama Mdau, hatare sana.
Namaliza na hili kwa kuliandika kwa Herufi kubwa... wanaojua hongereni na kwasio jua tunawajuza kulikubali au kulikataa ni uhuru wenu pia, ni kwamba KILA MZALENDO, na ANAYETANGULIZA MASLAHI YA TAIFA LAKE KWANZA KABLA YA KILA KITU, MBELE YA BEPARI NI DICTATOR tu.
Dictator ana Umimi, hajadiliani na mtu. Anachokiangalia ni maslah yake tu na watu wanaomzunguka... Mzalendo ni yule anayetanguliza maslah ya taifa lake, jamii yake, Amejawa usisi sio umimi. Yupo radhi wakati wowote kutetea maslahi ya walio wengi na sio kikundi kichache au ya kwake binafs.
Na ukiizingatia hiyo tafsiri utagundua ule upande wanaodai wana democracy ndio hawa madictator na huu upande unaodaiwa kua udikteta ni ule upande uliojaa wazalendo tupu.
Alisema wapi haya yakuifanya UKRAINE ni RUSSIA!!?Ukraine ndio 'Vietnam' ya Urusi.
Mzee Vladimir anataka kuacha 'legacy' kwa kuifanya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi ( kwa nguvu), tusubiri tuone kama atafanikiwa.
Urusi kaivamia Ukraine kwa ajiri ya maslahi yake.Sasa kuwa na nia ndio ashambuliwe? Ashambulie basi Finland na Sweden kwani si kuonyesha nia tu, wameomba kujiunga NATO.
Hayo maslahi yake ndiyo tunaya question kama yanaleta sense. Ndio maana tuna discuss hapa pamoja na kuwa Putin hana hata habari na jamiiforums!Urusi kaivamia Ukraine kwa ajiri ya maslahi yake.
Kitu ambacho huwa kinafaywa na kila taifa duniani kote, lamsingi uwe na uwezo wa kufanya hivyo, hata ss Tz tunaweza kuivamia Rwanda iwapo tutaiona ni hatari kwa maslahi yetu bila kujari makelele ya wanao jiita umoja wa mataifa.
Kwako yanaweza yakawa sensless ila kwao yana senseHayo maslahi yake ndiyo tunaya question kama yanaleta sense. Ndio maana tuna discuss hapa pamoja na kuwa Putin hana hata habari na jamiiforums!