LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia ni moja ya supplier mkubwa wa pipi ulaya. Ile ni nchi ya kimafia na putin ni mafia haswa
 
We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo.
 
Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.
Acha uongo, waandika porojo nyingi halafu huweki hata link yoyote ya habari kusapoti porojo zako.

Kwani umeibiwa smartphone?

 
We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo. Sanctions baba, Sa We unadhani kuna taifa duniani halijui uchafu wa USA, shida uwezo wa kwenda nae against hatuna, nani atamfunga paka kengele ndio mtiti huo. Sanctions mzee, Sanctions
 
What kind of responsibility?! Otherwise, it's just a bluff!
 
Acha porojo, China haijauacha mfumo wa kijamaa, inafuata mfumo mpya wa ujamaa

Soma hapa kama wajua kiingereza lakini

How China combined authoritarianism with capitalism to create a new communism
 
What kind of responsibility?! Otherwise, it's just a bluff!
Russia hataweza kushinda kwa kutumia Jeshi la ardhini, tena hizo Silaha zikifika ndio atakuwa anashambuliwa nyuma, mbele na kulia... Mataifa ya Ulaya yamesharuhusu Raia wake kwenda Ukraine kupigana vita hapo wataingia hadi wanajeshi wa hizo nchi
 
Russia hataweza kushinda kwa kutumia Jeshi la ardhini, tena hizo Silaha zikifika ndio atakuwa anashambuliwa nyuma, mbele na kulia... Mataifa ya Ulaya yamesharuhusu Raia wake kwenda Ukraine kupigana vita hapo wataingia hadi wanajeshi wa hizo nchi
Umelewa kande la kunde lililopikwa kwa shemeji yako na house girl kutoka dodoma. Sasa hivi unatoa ushuzi hapo sebureni.
 
unaota wewe kama wangekuwa na mawazo yako hata iyo NATO isingeundwa na huo Umoja wa ulaya
stori zako nyingi za gahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…