ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Alisikika mlevi mmoja wa Buza akinenaJidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn
Anti Ship. Duh. Watu wanapigwa na vifaru nyie mnaleta Anti Ship.Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.
Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.
Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.
______________
Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.
"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.
Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.
Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.
Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC
Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Ndo maana mimi huwa napenda kuwa msomaji,Usichokijua ni
Wananunua kwa ruble yaani wanaenda kuitafuta ruble kwe bureau de exchange kwao au ndani ya Urusi.
Wanainunua kwa Pound au Euro au dollar hivyo fedha yao inabaki Urusi wao wanaondoka na ruble.
Hivyo Urusi anabaki na fedha za kigeni.
Au unafikiri ruble wanaipataje ili wafanye manunuzi?
πππAisee ulifanikiwa hata kufaulu darasa la nne kwelii.
Izo rubble si wananunua kwa pound,euro au dollar ndio waweze kupata mafuta.
Sasa si atakua na izo currency kwa ajili ya maitaji yake na USA/EU wanabaki na Rubble.
Kuna parata wanakuaminia humu ndani so usiwape wakati mmgumu.
πππhali ya hewa naona inaelekea ukingoni leo Berlin inasoma nyuzi joto 10..
Hakika hawaupendi ukweli na inaoenekana hajui ila analazimisha kujua asichokijua.Hamuupendi ukweli ila ndio mtaambiwa vumilieni
Kama wao wameamua ceremonial lida awe dikteta
Wenzao wameamua mwanasiasa awe dikteta
Kama mmezoea kupangiwa namna yakuishi nikwenu huko AFRIKA ASIA nakwengineko ila sio kwa RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mazuri Sana chief,ulipofika hapo kwny CEO vs Chairman,nimekumbuka OECD principles.Hakika hawaupendi ukweli na inaoenekana hajui ila analazimisha kujua asichokijua.
Power ya Queen hapo UK ni kubwa, Boris ni kiongozi tu wa serikali like Prime Minister wengine kwenye nchi zingine.
Kwa mfano, nchi yetu hii Tanzania kwa mujibu wa katiba Rais ni mkuu wa nchi, Pia Raisi ni mkuu wa Serikali. Akiwa kama mkuu wa nchi ana Power over mihimili mingine ila akiwa kama Mkuu wa serikali anakosa Power juu ya mihimili mingine. That's ni kama kusema kavaa kofia mbili Moja Gold nyingine Silver.
Hapo UK, Queen Elizabeth ndio mkuu wa nchi, ndio Commander in Chief wa jeshi la UK kiasi kwamba kujiunga na jeshi yabidi uchukue kiapo cha utiifu kwake, Queen ndani ya UK ndio pekee mwenye mamlaka ya ku-declare war ingawa hilo huizinishwa na bunge, waziri mkuu na the rest of the Government.
Haishii hapo huyo huyo Queen ana mamlaka juu ya bunge 'legistlative organ', ndio anayelifungua na anaweza kudismiss member yoyote ndani ya bunge ukafanyika uchaguzi. Kumbuka ni hili bunge linalompitisha waziri mkuu.
Hayo ni machache miongoni mwa mamlaka ya malkia hapo UK.
Tena kuuelewa mfumo wao ni rahisi sana kwani hapa TZ, waliiga mfumo wa utawala kutoka kwa wakoloni hao. Isipokuwa kilichopishana tu ile Kiongozi wa Nchi kua kiongozi wa serikali.
Boris uwezo wa kuvunja bunge hana... Na akitaka kufanya hivyo mpaka akaombe kibali kwa malkia af eti mtu anakwambia Mamlaka yote kwa Boris my foot πππ
Ukifupisha inakuwa hivi kwa msaada wa picha, Angalia sehem alipo PM, kisha unaambiwa ye ndio kila kitu π, dunia inafurahisha sana hii!
View attachment 2244287
Tofauti ya hiyo Structure na sisi hapa TZ ni kua Raisi amekaimu nafasi mbili, hapo Juu top kabisa kama Raisi, kisha chini hapo kati kwenye executive kama Kiongozi mkuu wa serikali akisaidiana na Waziri mkuu. Na tofauti nyingine kutoka hapo ni kua Kiongozi wa nchi ni non-political yote kwasababu ni monarchy!
Sasa angalia nchi kama yetu inayoitwa ya demokrasia namna kiongozi mmoja anavyokua na madaraka makubwa kupita maelezo ilhal China na Russia (nawah kuzitaja hizi 2 kwasababu ndio zinanyooshewa kidole). Raisi ni Kiongozi wa nchi. Ila shughuli za serikali waziri mkuu ndio anayo mamlaka yote.
Sasa kama mifumo ya utawala hatuifaham hayo mengine tutaweza? Tunashindwa kulaani mifumo mibovu tuliyonayo hapa hapa TZ ya huko nje tutaiweza? Au ni viherehere tu baada ya kushiba ugali tembele.
Na elim yetu ilivyo mbovu, leo hii ukienda hapo UDSM, mwaka wa kwanza utamwonea chukua hata last year kama 20 hivi waulize kila mmoja kuhusu top Official hapo chuoni na mamlaka yao watakaokujibu kwa usahi hata watatu na mashaka kama watafika.
Most watakujib jibu la kishamba kama la huyo jamaa... Watakwambia JK kama Chancelor ni Ceremonial tu hana lingine lolote pale π, yeye kazi yake ni kugawa vyeti tu shenzi kabisa!
Comparing Chancellor na Vice wake ni kama unavyolinganisha Chairman and CEO of Company... The one who hold power over CEO ni Chairman ambaye CEO analazimika kureport kwake! Thou Chairman hatojishughulisha na shughul za kila siku ndani ya kampuni.
Out of topic, pale the same CEO anapokua Chairman kunapoteza accountability... Kama ilivyo mfumo wetu wa serikali. Cuz top anakosa wa kumuwajibisha matendo yake pale anapoenda kombo!
Aise kwamba huelewi kama cancer ni biological weaponUnamiss some points, cancer na biological weapon wapi na wapi?
Lazima mashoga wasakwe na waangamizwe hamna njia nyinginePro Russia hawana hoja zingine zaidi ya ushoga,wakati hata google takwimu za mashoga Russia na Nchi za ukaya hamna tofauti.
Mbona wewe ni team USA mwenye mahaba na USA yake imekuwaje leo? πUrusi sio Iraq, Libya, Cuba, Somalia .
Amebana tu Kidogo, Maharage , Vyakula, hamna..
Sembuse Mafuta na Gas ,viendesha uchumi vya Nchi???
Ni ngum mnoo kumtenganisha Urusi na Dunia.
Kwa Wasiojua Urusi alianza jiandaaa na vita hii Toka mwaka 2014 .
Is the beginning of the end.!!!Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."
Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
Biological weapon ni nini?Aise kwamba huelewi kama cancer ni biological weapon
Kijana umewiva. Itabidi tutumie ujuzi wako adhimu.Hakika hawaupendi ukweli na inaoenekana hajui ila analazimisha kujua asichokijua.
Power ya Queen hapo UK ni kubwa, Boris ni kiongozi tu wa serikali like Prime Minister wengine kwenye nchi zingine.
Kwa mfano, nchi yetu hii Tanzania kwa mujibu wa katiba Rais ni mkuu wa nchi, Pia Raisi ni mkuu wa Serikali. Akiwa kama mkuu wa nchi ana Power over mihimili mingine ila akiwa kama Mkuu wa serikali anakosa Power juu ya mihimili mingine. That's ni kama kusema kavaa kofia mbili Moja Gold nyingine Silver.
Hapo UK, Queen Elizabeth ndio mkuu wa nchi, ndio Commander in Chief wa jeshi la UK kiasi kwamba kujiunga na jeshi yabidi uchukue kiapo cha utiifu kwake, Queen ndani ya UK ndio pekee mwenye mamlaka ya ku-declare war ingawa hilo huizinishwa na bunge, waziri mkuu na the rest of the Government.
Haishii hapo huyo huyo Queen ana mamlaka juu ya bunge 'legistlative organ', ndio anayelifungua na anaweza kudismiss member yoyote ndani ya bunge ukafanyika uchaguzi. Kumbuka ni hili bunge linalompitisha waziri mkuu.
Hayo ni machache miongoni mwa mamlaka ya malkia hapo UK.
Tena kuuelewa mfumo wao ni rahisi sana kwani hapa TZ, waliiga mfumo wa utawala kutoka kwa wakoloni hao. Isipokuwa kilichopishana tu ile Kiongozi wa Nchi kua kiongozi wa serikali.
Boris uwezo wa kuvunja bunge hana... Na akitaka kufanya hivyo mpaka akaombe kibali kwa malkia af eti mtu anakwambia Mamlaka yote kwa Boris my foot πππ
Ukifupisha inakuwa hivi kwa msaada wa picha, Angalia sehem alipo PM, kisha unaambiwa ye ndio kila kitu π, dunia inafurahisha sana hii!
View attachment 2244287
Tofauti ya hiyo Structure na sisi hapa TZ ni kua Raisi amekaimu nafasi mbili, hapo Juu top kabisa kama Raisi, kisha chini hapo kati kwenye executive kama Kiongozi mkuu wa serikali akisaidiana na Waziri mkuu. Na tofauti nyingine kutoka hapo ni kua Kiongozi wa nchi ni non-political yote kwasababu ni monarchy!
Sasa angalia nchi kama yetu inayoitwa ya demokrasia namna kiongozi mmoja anavyokua na madaraka makubwa kupita maelezo ilhal China na Russia (nawah kuzitaja hizi 2 kwasababu ndio zinanyooshewa kidole). Raisi ni Kiongozi wa nchi. Ila shughuli za serikali waziri mkuu ndio anayo mamlaka yote.
Sasa kama mifumo ya utawala hatuifaham hayo mengine tutaweza? Tunashindwa kulaani mifumo mibovu tuliyonayo hapa hapa TZ ya huko nje tutaiweza? Au ni viherehere tu baada ya kushiba ugali tembele.
Na elim yetu ilivyo mbovu, leo hii ukienda hapo UDSM, mwaka wa kwanza utamwonea chukua hata last year kama 20 hivi waulize kila mmoja kuhusu top Official hapo chuoni na mamlaka yao watakaokujibu kwa usahi hata watatu na mashaka kama watafika.
Most watakujib jibu la kishamba kama la huyo jamaa... Watakwambia JK kama Chancelor ni Ceremonial tu hana lingine lolote pale π, yeye kazi yake ni kugawa vyeti tu shenzi kabisa!
Comparing Chancellor na Vice wake ni kama unavyolinganisha Chairman and CEO of Company... The one who hold power over CEO ni Chairman ambaye CEO analazimika kureport kwake! Thou Chairman hatojishughulisha na shughul za kila siku ndani ya kampuni.
Out of topic, pale the same CEO anapokua Chairman kunapoteza accountability... Kama ilivyo mfumo wetu wa serikali. Cuz top anakosa wa kumuwajibisha matendo yake pale anapoenda kombo!
Kagusia Corporate Governance. Sasa ukiwapeleka huko baadhi ya ma pro-nato umewapoteza. Kazi yao ni kuimba Wimbo wa dikiteta mara demokrasia bila kujua haya makitu ma Governance structure yanaathiri vipi uongozi.Maelezo mazuri Sana chief,ulipofika hapo kwny CEO vs Chairman,nimekumbuka OECD principles.
Pro russia uwezo mkubwa sana ukija kindezi ndezi unapigwa na facts tu unabaki kutoa machoo tuUsichokijua ni
Wananunua kwa ruble yaani wanaenda kuitafuta ruble kwe bureau de exchange kwao au ndani ya Urusi.
Wanainunua kwa Pound au Euro au dollar hivyo fedha yao inabaki Urusi wao wanaondoka na ruble.
Hivyo Urusi anabaki na fedha za kigeni.
Au unafikiri ruble wanaipataje ili wafanye manunuzi?
Kuwaelewesha NATO kazi sanaHakika hawaupendi ukweli na inaoenekana hajui ila analazimisha kujua asichokijua.
Power ya Queen hapo UK ni kubwa, Boris ni kiongozi tu wa serikali like Prime Minister wengine kwenye nchi zingine.
Kwa mfano, nchi yetu hii Tanzania kwa mujibu wa katiba Rais ni mkuu wa nchi, Pia Raisi ni mkuu wa Serikali. Akiwa kama mkuu wa nchi ana Power over mihimili mingine ila akiwa kama Mkuu wa serikali anakosa Power juu ya mihimili mingine. That's ni kama kusema kavaa kofia mbili Moja Gold nyingine Silver.
Hapo UK, Queen Elizabeth ndio mkuu wa nchi, ndio Commander in Chief wa jeshi la UK kiasi kwamba kujiunga na jeshi yabidi uchukue kiapo cha utiifu kwake, Queen ndani ya UK ndio pekee mwenye mamlaka ya ku-declare war ingawa hilo huizinishwa na bunge, waziri mkuu na the rest of the Government.
Haishii hapo huyo huyo Queen ana mamlaka juu ya bunge 'legistlative organ', ndio anayelifungua na anaweza kudismiss member yoyote ndani ya bunge ukafanyika uchaguzi. Kumbuka ni hili bunge linalompitisha waziri mkuu.
Hayo ni machache miongoni mwa mamlaka ya malkia hapo UK.
Tena kuuelewa mfumo wao ni rahisi sana kwani hapa TZ, waliiga mfumo wa utawala kutoka kwa wakoloni hao. Isipokuwa kilichopishana tu ile Kiongozi wa Nchi kua kiongozi wa serikali.
Boris uwezo wa kuvunja bunge hana... Na akitaka kufanya hivyo mpaka akaombe kibali kwa malkia af eti mtu anakwambia Mamlaka yote kwa Boris my foot [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifupisha inakuwa hivi kwa msaada wa picha, Angalia sehem alipo PM, kisha unaambiwa ye ndio kila kitu [emoji23], dunia inafurahisha sana hii!
View attachment 2244287
Tofauti ya hiyo Structure na sisi hapa TZ ni kua Raisi amekaimu nafasi mbili, hapo Juu top kabisa kama Raisi, kisha chini hapo kati kwenye executive kama Kiongozi mkuu wa serikali akisaidiana na Waziri mkuu. Na tofauti nyingine kutoka hapo ni kua Kiongozi wa nchi ni non-political yote kwasababu ni monarchy!
Sasa angalia nchi kama yetu inayoitwa ya demokrasia namna kiongozi mmoja anavyokua na madaraka makubwa kupita maelezo ilhal China na Russia (nawah kuzitaja hizi 2 kwasababu ndio zinanyooshewa kidole). Raisi ni Kiongozi wa nchi. Ila shughuli za serikali waziri mkuu ndio anayo mamlaka yote.
Sasa kama mifumo ya utawala hatuifaham hayo mengine tutaweza? Tunashindwa kulaani mifumo mibovu tuliyonayo hapa hapa TZ ya huko nje tutaiweza? Au ni viherehere tu baada ya kushiba ugali tembele.
Na elim yetu ilivyo mbovu, leo hii ukienda hapo UDSM, mwaka wa kwanza utamwonea chukua hata last year kama 20 hivi waulize kila mmoja kuhusu top Official hapo chuoni na mamlaka yao watakaokujibu kwa usahi hata watatu na mashaka kama watafika.
Most watakujib jibu la kishamba kama la huyo jamaa... Watakwambia JK kama Chancelor ni Ceremonial tu hana lingine lolote pale [emoji38], yeye kazi yake ni kugawa vyeti tu shenzi kabisa!
Comparing Chancellor na Vice wake ni kama unavyolinganisha Chairman and CEO of Company... The one who hold power over CEO ni Chairman ambaye CEO analazimika kureport kwake! Thou Chairman hatojishughulisha na shughul za kila siku ndani ya kampuni.
Out of topic, pale the same CEO anapokua Chairman kunapoteza accountability... Kama ilivyo mfumo wetu wa serikali. Cuz top anakosa wa kumuwajibisha matendo yake pale anapoenda kombo!
aisee si stack hii (first in first out) unapiga programming mkuuFIFO method imetumika mazee.