Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Kabisa MKUU nandio malengo yake MAKUUHuo ndio Ukweli wenyewe,na inawezekana wa Nazi waliwaua kwa hasira.
T14 Armata anajaribu kutaka kuwahusisha marehemu hao kua ni udhaifu wa Urusi.
Habari hii yaripotiwa na chombo cha habari cha Uingereza kiitwacho 'The Scotsman'.
Muingereza toka Scotland aitwaye Mr. Aitkin aliyeenda Ukraine kuyasaidia majeshi ya Zelensky kupambana na majeshi ya Russia aliamuaua kurejea zake kwao Scotland kupiga pizza ,deserts na ice cream. Anatoa ushuhuda walichokiona huko Ukraine kuwa ni wapiganaji wa kigeni waliokuwa wakiipigania Ukraine hawana mpangilio mzuri ktk vita, hawana mafunzo ya kivita, na hawana vifaavita na silaha. Serikali ya Ukraine haijali usalama wa wapiganaji hao (wanatumika kama chakula ya mizinga ya Russia).
Mr. Atkin anasema aliponea chupuchupu kunaswa katika shambulio baya zaidi la mjeshi ya Russia kwenye kambi iliyokuwa ikiwahifadhi wapiganaji wa kigeni huko karibu na Lviv magharibi mwa Ukraine, karibu na Poland. Anasema Russia ilimimina makombora ya kruizi takriban thelathini, na dazeni nyingi za wapiganaji wa kigeni walikufa siku hiyo. Alikuwa kishaghairi kupigana na akaamua kwenda kujiunga na vikundi vya kutoa misaada. Nyuma yake ndio kambi hiyo aliyokuwepo ikapelekewa moto mkali na Russia
Mr. Atik anasema wale wapiganaji wa kigeni wanaotaka kwenda huko Ukraine watambue ukweli kuwa wanaenda kutumika kama chakula cha mizinga ya Russia (Zelensky hatowajali wapiganaji hao wa kigeni wakishafika Ukraine).
Mr. Curtis, mwingereza mwingine aliyeenda kuipigania Ukraine pia nae anaongelea uzoefu huo huu. Anaema wapiganaji wa kigeni toka Uingereza waliofika Ukraine ni mamia kadhaa. Lakini baada ya lile shambulio la makombora 30 ya kruizi lililofanywa na Russia kwenye kambi iliyokuwa imewahifadhi wageni hao, wapiganaji wengi wa kigeni wakashtuka kuwa kumbe sio gemu lile, wakaamua kurejea makwao (kwenye nchi zao, ikiwemo yule Sniper Bora Duniani toka Canada, Sniper Wali)
View attachment 2244899View attachment 2244900View attachment 2244901View attachment 2244902
View attachment 2244903
View attachment 2244904View attachment 2244905
Ukiona hivyo ujue dawa imekuingia sawasawaUna hangaika sana
Mikono ya Elensky asiejitambua ndio imejaa damuWar is evil.
Cha kushangaza zaidi hata ndani ya Urusi, Ujerumani na nchi nyingine za ulaya wapo hao Nazis ila hawajashambuliwa kama hao wa Ukraine.
Mikono ya Putin imejaa damu za raia wema wa Ukraine.
Kama ulitaka sehem watu wanayopigana pasitokee maafa poleni sanaHuo ni udhaifu mkubwa Sana na ushahidi wa uhalifu wa kivita wa Urusi, mliwahi kuandika hapa Urusi hataki kutumia nguvu kubwa maana atasababisha maafa kwa raia.
Mbona maafa yametokea sasa ?...Urusi imefanya ilichokifanya kule Chechnya (Gronzy )mwaka 2000 na kule Allepo mwaka 2016, kutupa makombora hovyo yasiyo na shabaha na kusababisha maafa kwa raia.
Eeeh yupo NYUTRO huyo[emoji23][emoji3][emoji16]Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?
Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?
Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?
Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?
View attachment 2244695
Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?
If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?
Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?
Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!
Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he [emoji23]
Hii ADS tafadhali MKUU iongezee nyama!!!!!Hii haihitaji kusahau bali kukumbuka kila mara kwamba Russia ina viongozi makini.
Zile zote zaitwa "mind games" na Russia alikuwa akizicheza hizo.
Naona kuna watu hapa bado hamuelewi huu mgogoro unavyoenda.
Ngoja nikupe dondoo ingine upate kuelewa uzuri.
Kama wakumbuka kelele ziloekezwa kwenye uchaguzi wa 2020 na baadae kuna yule mwandishi wa Belarus alitaka kukimbia na makabrasha mengi yalohusu Belarus na baada ya uchaguzi.
Ndege aloipanda ikashushwa nchini Lithuania (inasemekana ni msaada ya Russia na ndege za MiG-29 ) na jamaa (Roman Protasevich) wakaondoka nae na makabrasha yote, ndege ikaruhisiwa kuendelea na safari.
Wafahamu kilichokutwa kwenye yale makabrasha?
Raisi wa Belarus Lukashenko akaenda Moscow na kumpa Putin mpango mzima wa NATO kutaka kuingia Belarus kwa kuwatumia wapinzani ambapo kama wangeshinda ule uchaguzi wa 2020 basi Belarus ingekuwa kama Ukraine na NATO ingepata njia rahisi ya kuisogelea Russia.
Kuona mpango umefeli, nchi za USA, Canada na UK wakaweka vikwazo kwa kuzuia fedha za washirika wa Lukashenko na yeye mwenyewe.
Baada ya hapo Putin akaamua Belarus kujengwe ADS na mpaka leo ipo pale na hakuna nchi itoweza kuishambulia Belarus.
Pia umewahi jiuliza Canada yaingia vipi kwenye mgogoro huu? Hii ni mada ingine ila kwa kifupi ni kwamba kule Canada kuna chama chaitwa organisation of ukrainians nationalists yaani OUN na pia kuna UPA ambacho ni wafuasi wa Stepan Bandera.
Hiki chama cha Bandera ni wanazi tupu na wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia waliwaua sana raia wa Russia na wengine kuhusika na mauaji ya halaiki ya wayahudi.
Wengi wa hawa watu walikimbilia Canada na sehemu nyingine duniani lakini wahusika wakuu wapo Canada.
Hivyo mambo mengi yanotokea leo ni ya kihistoria na Russia na Putin wafuata misingi hiyo na ndo Putin kila mara asema Russia yapambana na wanazi ambao tangi 2014 na kabla wamekuwa wakipewa silaha.
Usione hii vita yahusisha nchi nyingi za magharibi utambue kuna kitu nyuma yake.