Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Da Pro Russia,
Darasa Tosha kabisa na mtu anachukua shahada
 
Hii ndio kitu USA anaweza hapa duniani.
Kuleta vurugu kwa nchi dhaifu.
 
uahawahi kujua mmarekani anapokupa kondom na net yeye anachukua nini?
 
Hoja wanayoniletea eti 'ninateseka sana'🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Wanataka kuniziba mdomo nisiwashushie 'nyundo za utosini' wakati mie furaha yangu ni Urusi kuishinda Ukraine + USA + shoga zake NATO
Wachache wanakuona unateseka,
Wengi tunakuona shujaa,unaetupa habari za leoleo kutoka Frontline kabisa.
Habari zako zinasuniriwa kwa hamu sana kama vile wananchi wa pwani wasubirivyo vibua,tasi,chuchunge,pweza na uduvi kutoka katikati ya bahari
 
Wachache wanakuona unateseka,
Wengi tunakuona shujaa,unaetupa habari za leoleo kutoka Frontline kabisa.
Habari zako zinasuniriwa kwa hamu sana kama vile wananchi wa pwani wasubirivyo vibua,tasi,chuchunge,pweza na uduvi kutoka katikati ya bahari
🤣🤣🤣
 
Umepuyanga.
Cocaine inasambazwa na Wa Mexico, Marekani ni muathirika na anatoa pesa nyingi sana kwa serikali ya Mexico kukabiliana na magegenge ya dawa za kulevya.
usisahau hata hiyo cocaine yeye ni msambazaji pia
 
Sergei lavrov leo yupo Bahrain, nadhani russia na wao sasa wamedhamiria kuyavuta mataifa mengi ya kiarabu kuwa upande wao kisiasa, biashara, ulinzi. huenda russia akawa msuluhishi bora wa migogoro isiyokwisha ndani ya bara la arabu kazi ambayo america ameshindwa kuifanya na hatimaye kujifisha vazi la uchochezi kwa kuunga mkono baadhi ya makundi ya kigaidi nyuma ya pazia.
 
Vladimir Putin today declared that Russia will 'conduct a lightning strike' against countries supporting Ukraine with 'means and tools' no country in the world possesses? Could this mean that Nato could come under attack?
Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.

The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.

After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.

Which country is the most difficult to invade geographically?
Many military analysts predict that Russia will eventually defeat Ukraine not because of the competency of its armed forces but because of Russia's overwhelming numbers. If that is so, why is NATO prolonging the inevitable?
Why is the Russian military so poorly armed?
How can North Korea maintain a bigger army than France without going bankrupt?
How is Ukrainian artillery so accurate? When I was in the army, artillery was an area weapon, but I've seen videos of UKR artillery targeting individual vehicles. Are we just seeing footage of lucky shots, or are the munitions armor-seeking now?
Why is everyone supporting Ukraine, but no one supported Syria?
Does Ukraine have any snipers?
How effective are the anti-aircraft tanks that Germany is sending to Ukraine?
 


🏆FRESH TROPHIES🏆
This is where the tax money of people from NATO countries end and mainstream media will not tell them this,because mainstream media serves military industry and they want their people to think Ukraine is winning
 
🇮🇹⚡️Italian media: it is useless to supply weapons to Kyiv, they are immediately taken away by the Russians

The Italians have a negative attitude towards the decision of the authorities to supply weapons to Ukraine, and therefore Rome was forced to classify military supplies for the needs of the Armed Forces of Ukraine. But as soon as weapons enter the combat zone, they are immediately captured by Russian fighters. Otherwise, precise missile strikes of the Armed Forces of the Russian Federation are applied to the equipment. Summed up the journalists.😁
 
Fumo wa Multiple 270 ndo unaelekea Ukraine mzee...

Unapiga hadi km 300 - Dar Dumila mzee wangu na una Shabaha kwa 90%
Ni Zaidi ya Dar - Dumila. Ni range yaani straight line siyo kama ambavyo unatembea na gari kupinda pinda Kona kibao. Hapo unakuwa unaongelea two points coordinate
 
Wachache wanakuona unateseka,
Wengi tunakuona shujaa,unaetupa habari za leoleo kutoka Frontline kabisa.
Habari zako zinasuniriwa kwa hamu sana kama vile wananchi wa pwani wasubirivyo vibua,tasi,chuchunge,pweza na uduvi kutoka katikati ya bahari
Dah, maneno yako yanazidi kuwachoma na kuwanyong'onyeza waMarekani wa 'Kibaigwa' na waUkraine wa 'Segera'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…