Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
[emoji16]
 
Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
Ni kweli kabisa,unachosema,Putin kakufa,Tena kakufa mwezi uliopita,akazikwa kwao ST Petersburg.
Yule aliepo Sasa hivi ni robot TU.
Na sauti unayoisikia sio yake ni ilirekodiwa TU.
Hata Mimi nikisikia hivyo.
Sergey Ravlov alosoma na baba yangu wanafahamiana alimuambia Mzee wangu.😭😭😭😭😡
 
Turkey anawakera.
Walimkatalia kujiunga EU,Sasa hafungwi na sheria za umoja huo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏
 
Aisee Kuna kitu nimekipenda sana.
Kama walidhani Putin akifa basi Urusi itatoa majeshi Ukraine basi imekula kwao.
Kama Warusi wameweza kumuweka Putin feki na ameweza kuonekana kama Putin wa kweli, ilhali vita inaendelea.
Maana yake ni kuwa, kumbe Putin sio pekee anaeweza kuwadhibiti west,kumbe Kuna miamba mingine Huko Russia.
Maana hamu kubwa ya west ni kuona Putin hayupo madarakani wakiamini Russia itakua dhaifu,lkn kumbe ni kinyume.
Ukraine moto ni uleule.
kama tukiamini hizi taarifa za MI6.

Kwa hiyo naweza kusema Hii propaganda ya MI6 wamechemsha.
Wangehakikisha siku jeshi la Urusi likipunguza nguvu ndio waje na huu utumbo wao, kuonesha kua majeshi ya Urusi yamekata tamaa baada ya kubaini kua Mwamba wao Putin kakata moto.
 
Pro nato mnateseka sana kwa sababu kwenye operation hii ya Russia mnatumia hisia kuliko akili ndio maana mnakosa hoja mnaanza kulalamika.

Wenzako huko wanaendelea kutimiza malengo yao waliyojiwekea wewe ndio unateseka
 
Msuluhishi ?.... huyu aliyeshindwa kusuluhisha yake na jirani yake ataweza ya wengine?
 
Hata kim jong un naye alikufa kufuatia operesheni aliofanyiwa, cha ajabu alifufuka akiwa na mzuka zaidi wa kutest missiles zake. Huyu putin naye akifufuka nina wasiwasi huenda akaichukua moldova. Sasa chagueni wenyewe pro nato kati ya kufa kwa putin au awe hai aendelee na operesheni yake kwa mwendo wa k
ukunjua zulia au busati au kapeti. Ukisema putin amekufa tafsiri yake ni kwamba viongozi wa EU wanaongea na kumuomba msukule apunguze dozi kwa njia ya simu.
 
Haikuwa aibu kwa Usa na washirika wake kupigana na ka nchi km afghanistan kwa miaka 20?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…