Utatangulia wewe mkuu yeye ataendelea kuishi na kutimiza ndoto zake. Vitabu vitakatifu vimeandika usihukumu usije hukumiwa.Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?
Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.
Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
Ukweli hata Mimi sifahamu hasa,Naamini ni sababu za kidini TU,Hakuna sababu nyingine.
Kwa sababu kuna nchi zimeachwa mbali mno kimaendeleo na Uturuki lakini ni Wana chama.
Unakaa Tanzania hii au upo Marekani? Ushabiki ukizidi huwa maarifa yanapungua. Punguza ushabiki. Bei imeshuka siyo kwa sababu ya kushuka duniani, bali Serikali iliahidi kutoa Ruzuku. Ndo kilichotokea. Angalia hata chati ya bei mpya leo. Inaonesha bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku ya Serikali.Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?
Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.
Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
Ok, marekani ilipigana masaa mangapi kule Iraq?Ni ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.
Angalia vita ya Iraq ama Libya kama ilikuwa ya kitoto kama hii....
Yaani unachomoa mmoja mmoja dadadeq..sasa majengo yana kosa gani ?
Aibu nyingine Mrusi kaanza kulalamika oohh mnampa silaha ndo maana...useless.
Taifa kubwa linaanza kutafuta excuses? Maliza vita tukuone kidume!! Dadadeq
M270 ishatua huko ..ngoma isambe, sasa kama una jeuri shambulia Marekani..bata wee.
No flying zone ni ukanda ambao ndege haziruhusiwi kupita na ukipita unadunguliwa. No flying zone huwekwa na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi kama Marekani ama NATO ama Russia. Marekani ilikataa ombi la kuweka no flying zone kwakuwa itambidi ajiingize moja kwa moja kupambana na Russia kitu ambacho alikwisha sema hataki. No flying zone inayokumbukwa sana ni ya KUWAIT[emoji23][emoji23][emoji23] Hapana sio silaha ni maombi ya kwarezma tu!
Nachojiuliza Mimi hivi Ukraine hawana Grad M21 which is a MLRS ? na hawana variants za S-300 Ambayo ni long rang missile systems? Au sielewiView attachment 2246624
[emoji3480]M270 MLRS WHAT IS IT[emoji3480]LET'S DIVE IN
The M270 MLRS now being delivered to Ukraine is an American attempt to pair Tornadoes with Iskanders. It can work simultaneously as MLRS and Tactical Ballistic missile system, thanks to its modular system.The firing range of the M270 operating as a MLRS, is 45-70 km. In comparison the range of Smerch is 20-120km (with the latest Tornado-S system). Older Smerch can still fire at a distance of 90km.When operating like Tactical ballistic missile system, the max range is 310 km. It fires MGM-140 ATACMS surface to surface missile. But so far it's not confirmed if ATACMS will be supplied or not.A new missile Precision Strike Missile (PrSM) is being created by Lockheed Martin for the system, which will have the range of 500km. But it's still under development. While the range of the Iskander-M is already 500 km,maybe biger to avoid treaties limitationsThat is, it cannot be argued that these are weapons that can in any way turn the tide on the fronts.
Also it has been found that previously provided American artillery M777 did not have the digital fire control system, which is required to use the artillery precisely.It is safe to assume M270 will also have some of its critical equipment disassembled. While our upgraded Tornado system have both automatic navigation and a batch installation option, thus make it significantly accurate than the previous systems.Ironically Ukraine actually had better MLRS like Uragan and Smerch before the war. Most of which has been destroyed by allied forces. It is safe to assume most of the delivered M270 will also have the same fate.What Ukrainians can succeed with MLRS is to kill another dozen more Donetsk grandmothers(babushkas)
Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?
Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.
Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
Kushuka Tanzania au wapi mkuu, lete chanzo Cha habari. Jana imepanda mpaka $117 kwa pipa , au unajifariji mkuu😄😄😄Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?
Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.
Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
Kijana usiwe mbishi. Ni kweli jana Ewura wametangaza. Maeneo mengi bei imeshuka kwa kiasi cha kati ya 250 na 300 tshs.ta
Kushuka Tanzania au wapi mkuu, lete chanzo Cha habari. Jana imepanda mpaka $117 kwa pipa , au unajifariji mkuu😄😄😄