Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hahaha[emoji3538][emoji3538][emoji3538]The United States threatens Russia that if it annexes the Kherson region and includes it in its composition, the United States will impose even more powerful anti-Russian sanctions.
Even more powerful?[emoji23][emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Maji na mafuta baada ya kuchemshwa vimegoma kufungamana, Sasa vimetengenena😁 kwa uwazi😁Marekani inaripoti kuwa majeshi ya Russia sasa yamelikamata karibu jiji lote la kimkakati la Sievierodonetsk baada ya kutembeza mkong'oto mzito usiohimilika kwa majeshi ya Ukraine. Ushuhuda wa hilo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Luhank ambaye ni muajiriwa wa Zelensky.
Poleni kwenu Pro-NATO, mambo yanawaendea vibaya mno kwenye uwanja wa vita...mwishoni propaganda zenu zimejitenga, na ukweli umedhihiri wenyewe na kutamalaki kila kona.
View attachment 2246372View attachment 2246373
Watu wanaleta ushabiki maandazi lakini siku haya madude yakitumika dunia itateketea kabisa and will create irreversible consequences...
USA naye kuna wakati anajisahau anaichukulia Russia kama anavyozichukulia nchi kama zimbambwe, Venezuela na n.k hadi anahisi kama nchi ya Russia inategemea kujiendesha chini ya propaganda za USA[emoji3538][emoji3538][emoji3538]The United States threatens Russia that if it annexes the Kherson region and includes it in its composition, the United States will impose even more powerful anti-Russian sanctions.
Even more powerful?[emoji23][emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Mkuu wala hata usitishwe na kelele za nuclear zinazoendelea sasaiv. Sijaona dalili wala sababu yeyote mpaka sasa inayoweza kusababisha nchi inayomiliki nukes kuzitumia.Watu wanaleta ushabiki maandazi lakini siku haya madude yakitumika dunia itateketea kabisa and will create irreversible consequences...
anza kwanza kujichunguza wewe.wewe inafaa uchunguzwe sio bure.
Tusubiri effectiveness yake...Ukraine zimeishapelekwa silaha nyingi mno.....matokeo bado hakuna....Donbas & Luhansk ndo zinaende hivyo....so far hakuna silaha ya maana iliyoweza kubadirisha upepo wa vita kwenda upande wa UkraineHatushangilii vita hii, lakini anachokifanya Urusi kwa Ukraine hakikubaliki katika uso wa dunia - nawapongeza Marekani kutoa mtonyo wa system ya masafa marefu.. High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) - Pia nawapongeza Ujerumani kwa kutoa na wao mfumo wa kulinda anga la Ukraine.... the IRIS-T system most modern Germany possessed.
Kitu hichoo dadadeq... hutaki kuona ..logoff.
View attachment 2247138
Imezeeka kabisa yaniGame changer amekutana na chuma kizitoView attachment 2244991
Miwani yake sasa kama anatoka kurekodi ngoma kali sana studio ya P majani 😂😂😂
Tusubiri effectiveness yake...Ukraine zimeishapelekwa silaha nyingi mno.....matokeo bado hakuna....Donbas & Luhansk ndo zinaende hivyo....so far hakuna silaha ya maana iliyoweza kubadirisha upepo wa vita kwenda upande wa Ukraine
Hii nzuriKikosi kizima Cha wanajeshi wa miavuli Cha Urusi "Paratroopers" chaangamizwa na wanajeshi wa miavuli wa UKRAINE [emoji848]
Putin devastated: Entire battalion of paratroopers annihilated
VLADIMIR PUTIN has suffered further devastation after an entire Russian battalion of paratroopers was "annihilated" by Ukrainian forces.www.express.co.uk
Warusi waishio TZ wanasema US hana jeuri yoyote kwa Mrusi.. wengi wao hawajui chochote kuihusu US.⚔️⚔️⚔️The United States threatens Russia that if it annexes the Kherson region and includes it in its composition, the United States will impose even more powerful anti-Russian sanctions.
Even more powerful?😂⚔️⚔️⚔️
SijaelewaWarusi waishio TZ wanasema US hana jeuri yoyote kwa Mrusi.. wengi wao hawajui chochote kuihusu US.
Military spending by country worldwide 2025 | Statista
The United States is the country with highest military spending, spending more than three times the amount of China.www.statista.com
Mkuu yule mwenye elimu ya mtaani mbona anamisha mazuri kuliko yule mwenye elimu ya chuo kikuu? Afu kumbuka hizo ni media zao tu.Warusi waishio TZ wanasema US hana jeuri yoyote kwa Mrusi.. wengi wao hawajui chochote kuihusu US.
Military spending by country worldwide 2025 | Statista
The United States is the country with highest military spending, spending more than three times the amount of China.www.statista.com