Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Acha kutafta sababu bwana ww, insue ni ata wenyewe walijua wana uwezo kuliko walionao
Ata siraha anazopewa ni za kawaida tu
Angepewa midegena vifaru na mimeli si wangekuwa moscow sahv
 
na ndiyo maana tunawaambia WARUSI wa TZ kwamba at the end atakayeumia ni Mrusi, kwa sasa anatumia resources nyingi sana za nchi yake kwa siku ku run hii vita huku akikabiliwa na vikwazo lukuki vya kiuchumi.

Na according to NATO hii vita haitaisha leo wala kesho, kitu ambacho ni kibaya mno kwa URUSI, time.
 

Attachments

  • 1654232365777.png
    124.1 KB · Views: 31

Donetsk sio mji, ni jimbo walokuwa wanataka kujitenga tangia zamani 2014 ndo pro russia walikuwa wengi, ni ni sehem yenye vimji vidogo uko ukraine na ni pemben kabisa uko wanapakana na Russia
Kaona afanye hvyo ili kutoa aibu
Ila bado kazi anayo,
Russia ni nchi yenye jina ila uwezo mdogo
Wa ukrain ni kama wanapigania mawe maana siraha wazopewa ni haziendani na azonazo mpinzani wao
 
Kuisha inataisha vizur tu maana malengo ya mrusi kila wiki yanaendelea kutumia akishateka miji yote kitakachofata ni ulinzi na sio mapigano tena na hapo siraha zake zitakuwa zimetulia sasa
Na hata akitaka kumaliza leo anamaliza ishu hataki damu umwagike
 
si hivyo, vita hii haitaisha leo kama unavyofikiri believe me, Ukraine haiwezi kuachia ardhi yao na ndiyo maana kila siku wanaomba silaha kali zaidi toka mataifa yenye uchumi mkubwa duniani kama US.

VIta itaisha kama mrusi atakubali pande zote kuweka silaha chini na kurudi mezani BILA masharti yoyote kwa Ukraine.

recall kauli ya NATO, USA pamoja na EU kwenye sakata hili.
 
You don't need even primary education to understand this is a very poor Western Propaganda. You will wait infinitely for this to happen
 
Ha ha ha ...wamejistukia[emoji4]
 
Mercenaries wameshaona Ukraine Ni miyeyusho, hawajajipanga.

Hili hata wali alilalamika, ndo maana aliondoka vitan hajaua mrusi hata mmoja
 
Kwamba Russia hana uwezo? Yani Russia inawacharaza USA, NATO na Ukraine kwa zaidi ya siku 90, bado huoni uwezo?
 
Kesho akija na takwimu hasi kuhusu Russia msiseme ni propaganda.
Mpaka sasa Russia Hana negative kwake.
1.Amechukua 20% ya nchi ya Ukraine.
2.Amechukua raslimali za Ukraine
3.Nchi yake haijaadhiriwa na kama Ukraine
4.Uchumi wake,na sarafu yake vinazidi kuimarika.
5. Amepanua nchi yake pakubwa.
Kama ni wanajeshi kufa, that's not a big deal,hiyo ni sehemu ya kazi kijeshi.
 
Habar njema Sana[emoji4]
 
We Ni soldier bila shaka Hadi unajua kufa vitani so Jambo la kushangaza
 
Aisee ,Russia Wana hela[emoji848]
Hata bajeti ya tz ya trilion 21 haifiki hata robo
 
Tunarudi kuichuus khakiv[emoji4]
Kharkiv ya Nini man. Kikubwa happo neutralizations ya azov inaendelea.
Na leo Medvedev ametangaza endapo silaha za kimarekani zikashambulia deep inside Russian federation wataanza kushambulia decision makers in kyv and anywhere walipo. Anasema hakuna asiyejua walipo. Watashughulikiwa. Decision makers wenyewe ndo hao akina Zelensky na wenzake ambao kwa ujinga was Marekani wanaaminishwa Russia hajui alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…