Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kizazi kipya hicho mdau, kinapenda sana hizo mambo hawawezi kuyaona kero kwao, kina enjoy mbaka basi. Huwa siwajibu mie, maana kuna baadhi ya viumbe kujadiliana nao ni kutumia "pumzi za bure" vibaya.
wanakera sana huyu anaona kawaida hata ukoo mzima kuwa shoga abinuliwe na mzee wake, mjomba n.k
Mbona miaka iliyopita kulikuwa sio hivi yaani kumekidhiri haswa
 
[emoji635][emoji630]Russia considers Taiwan an integral part of China, and this position of Moscow is unchanged - Russian Foreign Ministry[emoji635][emoji630]
[emoji635][emoji630]Urusi inachukulia Taiwan kuwa sehemu muhimu ya Uchina, na msimamo huu wa Moscow haujabadilika - Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi[emoji635][emoji630]
 
The Governor of Sevastopol, Mikhail Razvozhaev, has been appointed chairman of the commission of the State Council of the Russian Federation on education, follows from the document.
Gavana wa Sevastopol, Mikhail Razvozhaev, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Baraza la Jimbo la Shirikisho la Urusi juu ya elimu, ifuatavyo kutoka kwa hati.

Wapo fasta saana kufanya uchaguzi
 
Lunatic anamshauri mwendawazimu mwenzake.
Rubbish.
 
wanakera sana huyu anaona kawaida hata ukoo mzima kuwa shoga abinuliwe na mzee wake, mjomba n.k
Mbona miaka iliyopita kulikuwa sio hivi yaani kumekidhiri haswa
Hiki kizazi kua hivi mdau hakijatokea bahati mbaya, kimeanza kuandaliwa "decades" kadhaa huko nyuma...

Haitakaa itokee kibadilishwe fikra zao overnight mdau.
1. Hiyo alama kwenye bega la kulia sio ya bure...

2. Hizo flouride wanazozibwia kila siku kwenye maji si za bure...

3. Hizo spray chemicals zinazotandazwa angani si za bure...

4. Chunguza chakula kinacholiwa kila siku, takriban asilimia 90 havina asili yake ya awali, Most ni artificial kuanzia mchicha hadi nyama ya ng'ombe anayokula...

Hayo ni machache ili utizame afya ya kiwiliwili ilivyo mbovu...

Then njoo kwenye ufaham wake,
1. Angalia namna mfumo wa wake wa kupata elimu ulivyo wa ki$3π¶€... Haumtengenezi kujikomboa bali inamuandaa kutumika kwa jina la ajira...

2. Anapangiwa cha kujifunza kwa jina la "syllabus" so kuanzia akiwa vidudu hadi anafika elim ya juu njia yake yote ya kujipatia elim ipo under control.

Leo ukikutana na mhitim wa uhandisi (huu mfano tu)... Haikupi shida kujua kadha wa kadha vilivo nje ya ufaham wake hivo kumfanyia manipulation ni kama unamsukuma mlevi kwenye mteremko...

3. Kingine katika "Culture", neno tamaduni ni neno dogo kwa wenye ufaham mdogo ila lina maana kubwa kwa wenye ujuzi nalo.

That's why tunamwona yule jangili wa magharibi anatumia vyote vyote iwe mtutu ama fedha hadi ahakikishe tamaduni zake zimeenea kila kona.

Tamaduni ina sehem kubwa katika maisha ya kila siku ya mwanadam. Kuiacha na kuikana tamaduni yako ni sawa na kuikana asili yako.

Na kuikana asili yako kuikaribisha asili nyingine ni sawa na mtu anayeacha nyumba yake anaenda kupanga kwa mtu mwingine... Kwani kule aendako anaingia utumwa wa kumtii mwenye nyumba, likewise katika tamaduni.

Ile inferiority tuliyojijengea na kujengewa vile vile... Kujiweka weak na inferior huku tukiwafanya superior wenzetu over us... Inapelekea kutumika na kufata kila watakalo isn't an option.

4. Ukitoka katika mfumo rasmi wa elim unakutana na vyombo vya habari 😂😂😂. Navyo havikuachi hivi hivi daaadeki vinakutengeneza na kukushape katika hali wahusika wakuu wanayoihtaji. Unatokaje sasa kwa mfano 🤔

5. Leo hii nenda kwenye shule zetu hizi au mtaani, kaa na watoto wadogo... Angalia traits zao, namna wanavyowaza, reaction zao kwenye matukio ya kila siku... Amini nakwambia, utaona kabisa something is not right kwenye mind zao!

Anyway, tusiongee sana mwishowe itakuwa kero.

Ila nikuache na homework kidogo, Hivi ushawahi kujiuliza kwanini vijana waliokulia nje ya "system"... Hapa na maana ya hii mifumo iliyopo katika mazingira ya afya na elim wako at least na fikra huru kuliko hawa "waliochongwa" kama penseli kuanzia nursery hadi elim ya juu?

Hapa nieleweke vizuri, kua na fikra huru sio kujua mengi, kwasababu unaweza kujua mengi ambayo hayana usahihi wowote 😂, fikra huru ni uwezo wa kupambanua nukta sahihi na isiyo sahihi unapowekewq hoja tofauti tofauti mbele yako.
 
Huwa mnaelewa mnachoshabikia?
Wenzako wanasema Marekani athubutu kujiingiza kwenye hiyo vita!
Kwamba Russia hana uwezo? Yani Russia inawacharaza USA, NATO na Ukraine kwa zaidi ya siku 90, bado huoni uwezo?
 
Tule mtori nyama ziko Chini😁😁🇷🇺
 
🇷🇺🇨🇳Russia considers Taiwan an integral part of China, and this position of Moscow is unchanged - Russian Foreign Ministry🇷🇺🇨🇳
Kumekucha.
Hii kauli Ina ujumbe mzito sana ndani yake.
Kwa kifupi ni kwamba itaiunga mkono china katika harakati zake zozote juu ya Taiwan.
 
Shukran MKUU
Kuhusiana na hilo kanisa hakuna sababu nyengine zaidi ya kua jamaa wapo against nao kwenye masuala tele ndio maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasara aliyepata Urusi toka vita vianze Hadi Leo tarehe 03/06/2022.Unaruhusiwa kuleta chanzo Cha story Yako upande wa pili🤔
 
vita kama hizi huwa hazinaga mshindi... end of it ni kukutana mezani - atakayekuwa kamyoosha mwenzake atakuwa na nafasi kubwa kwenye masharti na makubaliono.

What NATO and US doing ni kumsaidia Ukraine ili ikifikia suala lipo mezani basi awe na nguvu (negotiations power)

Sasa wengi humu wanafikiri kutakuwa na mshindi pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…