Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

An “economic hurricane” is approaching the United States, says the head of the American bank JPMorgan, Jamie Dimon.

According to the World Socialist Web Site, he cited the Ukrainian crisis as one of the reasons for this, which could lead to a strong rise in oil prices - up to $175 per barrel.

The second factor, according to Dimon, is the tightening of the Fed's policy of raising the key rate. He notes that in the past, such moves have always been accompanied by market volatility.

S&P Global financial expert Frank Gill added that another reason for economic instability will be global food shortages and rising energy prices.
 

Kwanini wanatutia alama kwenye bega? Huwezi kuchoma chanjo mpaka itokee?
 
Una vituko [emoji23]

Kwamba sani ovu bichii
 
Kiongozi wa kanisa la orthodox akibariki kombora hapo,lazima west walichukie tu Hilo kanisa.
 
Hii vita yakitoto 20% ya UKRAINE ipo under RUSSIA
Nasie waelewa tunaelewa kama inazidi hio mlosema
Wakati mwapigana na hao mlowataja wao walikua wanapewa misaada tokea taifa gani na nyie mliekewa vikwazo na nani!!!??
Endeleeni kuteseka
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Flouride ni mwisho wa reli, nasikia inachagiza kupunguza uwezo wa kumbukumbu? Ni kweli?
 
Hawa viongozi kama kweli wanaamini democracy ni Government of the people to the people for the people basi walitakiwa wajiuzuru, Au ile wengi wape haitumiki baadhi ya maeneo [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…