Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
RUSSIA[emoji845][emoji635]Russia restricts supplies of neon,argon,helium and other inert gases to foreign markets
Decree of the Government of[emoji635]stricts the export of inert gases from[emoji635]until the end of this year. The list includes all inert gases,which include neon,argon, helium and a number and others[emoji3502] These gases are used for the production of semiconductors, from which microchips are made. Microchips are needed for electronics in many types of products: for the manufacture of gadgets, cars, navigation systems, etc.[emoji3502] 30% of the world neon consumption is provided by Russia. Now its export will be available only by the decision of the[emoji635]Government. According to experts, this may be very sensitive for the countries that imposed sanctions against [emoji635] and their microelectronic factories The decision actually means that Russia will supply inert gases abroad only in exchange for counter supplies of necessary microelectronic products to Russia.
Na bado[emoji35][emoji35][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]mUkraine wa Ukraine (achana na hawa waUkraine wa Kibaigwa) amefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi (nchi kavu tupu) ambayo Russia imeshaikamata nchini Ukraine. Matokeo yake yameonesha kuwa ukubwa wa maeneo hayo yaliyochukuliwa na Russia kwa sasa ni sawa na kilometa za mraba 123,299 ambazo ni sawa na uubwa wa nchi mbili za Switzerland na Austria zichanganywe kwa pamoja au uchanganye pamoja nchi nne za Croatia, Slovenia, Bosnia na Montenegro.
Chombo kingine huru kimefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi yote iliyokamatwa na Russia toka Ukraine (ukijumlisha pia maeneo ya maji/bahari yaliyotekwa) na kuona kuwa ni kilometa za mraba 143,886.
View attachment 2248332View attachment 2248333View attachment 2248334
Tuna mahusiano makubwa ya kijeshi na Russia toka uhuru.Pia watanzania wengi wamesoma udaktari na ufamasia Urusi pia wanasiasa wengi wamesoma huko labda kijana wa leo hajifunziUpo sawa kabisa. Russia ni rafiki wa kweli kwa mataifa ya Afrika. Hakuna cha misaada ya NATO kwanza ni madeni siyo misaada
Mkuu haya madini,bado natamani "kitabu"Hiki kizazi kua hivi mdau hakijatokea bahati mbaya, kimeanza kuandaliwa "decades" kadhaa huko nyuma...
Haitakaa itokee kibadilishwe fikra zao overnight mdau.
1. Hiyo alama kwenye bega la kulia sio ya bure...
2. Hizo flouride wanazozibwia kila siku kwenye maji si za bure...
3. Hizo spray chemicals zinazotandazwa angani si za bure...
4. Chunguza chakula kinacholiwa kila siku, takriban asilimia 90 havina asili yake ya awali, Most ni artificial kuanzia mchicha hadi nyama ya ng'ombe anayokula...
Hayo ni machache ili utizame afya ya kiwiliwili ilivyo mbovu...
Then njoo kwenye ufaham wake,
1. Angalia namna mfumo wa wake wa kupata elimu ulivyo wa ki$3ΟΒΆβ¬... Haumtengenezi kujikomboa bali inamuandaa kutumika kwa jina la ajira...
2. Anapangiwa cha kujifunza kwa jina la "syllabus" so kuanzia akiwa vidudu hadi anafika elim ya juu njia yake yote ya kujipatia elim ipo under control.
Leo ukikutana na mhitim wa uhandisi (huu mfano tu)... Haikupi shida kujua kadha wa kadha vilivo nje ya ufaham wake hivo kumfanyia manipulation ni kama unamsukuma mlevi kwenye mteremko...
3. Kingine katika "Culture", neno tamaduni ni neno dogo kwa wenye ufaham mdogo ila lina maana kubwa kwa wenye ujuzi nalo.
That's why tunamwona yule jangili wa magharibi anatumia vyote vyote iwe mtutu ama fedha hadi ahakikishe tamaduni zake zimeenea kila kona.
Tamaduni ina sehem kubwa katika maisha ya kila siku ya mwanadam. Kuiacha na kuikana tamaduni yako ni sawa na kuikana asili yako.
Na kuikana asili yako kuikaribisha asili nyingine ni sawa na mtu anayeacha nyumba yake anaenda kupanga kwa mtu mwingine... Kwani kule aendako anaingia utumwa wa kumtii mwenye nyumba, likewise katika tamaduni.
Ile inferiority tuliyojijengea na kujengewa vile vile... Kujiweka weak na inferior huku tukiwafanya superior wenzetu over us... Inapelekea kutumika na kufata kila watakalo isn't an option.
4. Ukitoka katika mfumo rasmi wa elim unakutana na vyombo vya habari πππ. Navyo havikuachi hivi hivi daaadeki vinakutengeneza na kukushape katika hali wahusika wakuu wanayoihtaji. Unatokaje sasa kwa mfano π€
5. Leo hii nenda kwenye shule zetu hizi au mtaani, kaa na watoto wadogo... Angalia traits zao, namna wanavyowaza, reaction zao kwenye matukio ya kila siku... Amini nakwambia, utaona kabisa something is not right kwenye mind zao!
Anyway, tusiongee sana mwishowe itakuwa kero.
Ila nikuache na homework kidogo, Hivi ushawahi kujiuliza kwanini vijana waliokulia nje ya "system"... Hapa na maana ya hii mifumo iliyopo katika mazingira ya afya na elim wako at least na fikra huru kuliko hawa "waliochongwa" kama penseli kuanzia nursery hadi elim ya juu?
Hapa nieleweke vizuri, kua na fikra huru sio kujua mengi, kwasababu unaweza kujua mengi ambayo hayana usahihi wowote π, fikra huru ni uwezo wa kupambanua nukta sahihi na isiyo sahihi unapowekewq hoja tofauti tofauti mbele yako.
Mbna kama unatesekaaa[emoji23][emoji3][emoji16]Kwahiyo hayo maeneo yatasafirishwa kupelekwa Moscow muda sio mrefu
Tunawajua na ushetani wao kwenye masharti. Na ndio waliowaharibuLini mwisho tulipokea development assistance kutoka Urusi? Development partners wa Tanzania tunawajua vizuri tu.
Hao masikini wanahangaika na hali yai mbaya halafu wanajiongezea matatizoSri lanka wameikamata ndege ya Urusi
Huyu jamaa simple mind anafanana na jina lake, ulaya ilipata misaada gani ikafika hapo ilipo? Ili tujiletee maendeleo,lazima tutumie raslimali zetu vizuri,huku tukiwa na viongozi wenye maono,hao viongozi wenye maono waliuwawa na hao wezi wanaojiita wabia maendeleo,kumbuka,wanachochukua kutoka kwetu,hakilingani na wanachotupa,ebu fikiria,kampuni zao zinachukua madini kwenye kontena,alafu wanakuletea vidonge vya ARV,neti za mbu,kuchimba visima vya million 10
Hawa watu sio reliable kabisa,wakisha-sema hivi ujue they are contemplating sending the aircraft,ndivyo walivyo.They are not trustworthy at all.The United States and other NATO members do not intend to send high-class combat aircraft to Ukraine.
Julianne Smith, Permanent Representative of the United States to the North Atlantic Alliance, stated this. When asked by Air Force Magazine if the transfer of American aircraft such as F-16 fighters was discussed, she replied: "No."
Earlier, the media reported that the United States plans to sell Ukraine MQ-1C Gray Eagle reconnaissance and strike drones.View attachment 2248398
Anyway usiyatilie sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka [emoji23] tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
Sababu ya utoto wakoIzi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
Muda wa kutumia kuni sasa.
View attachment 2249475
[emoji1103] People in Finland are at risk of being left without bread. Bakeries are experiencing difficulties in their work due to the reduction in gas supplies.
Who is to blame and what to do? All because of Russia, the authorities will say they are strange, and they will ask the Finns to be patient a little more.
Izi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.
Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.
Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri
View attachment 2249467
Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.
Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?
Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?
Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.
Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.
Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.
Ee mdau [emoji23], anajiita hivo mkuu!
Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu [emoji23][emoji848]...
View attachment 2249510
Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?
View attachment 2249493
Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he [emoji38]
Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka [emoji23] tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
Habar ninazo furahia kusikia ndio hizi sasa zasababisha tulale kwa furaha kabisaView attachment 2249429
Full-scale military operations have returned to the Kharkiv region.
To date, it can be stated that the Ukrainian offensive in the north of the Kharkiv region has completely stopped. The battles are going on for Shestakovo and Stary Saltov.
Mkuu bado nasisitiza kitabu. Au basi anzisha thread ili ufunguke zaidi. Naamini wengi wetu tunatamani kufaidika na unachokifahamu.Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.
Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.
Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri
View attachment 2249467
Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.
Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?
Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?
Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.
Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.
Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.
Ee mdau π, anajiita hivo mkuu!
Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu ππ€...
View attachment 2249510
Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?
View attachment 2249493
Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he π
Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka π tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.