PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Hawa Pro NATO Wanavunga hawajui, vita ni Russia Vs over 30 countries. Ila wanachapwa sana huko kwenye uwanja wa away(Ukraine)Mrahisishie ni Russia vs 30 nations
So what,kwa hiyo you are ready to do anything,hata cha kijinga kwa kuwa wanakusaidia,silly!Na ninyi ndio mnategemewa kuchukua uongozi wa nchi.Ni hatari sana.Eti wanatusaidia,si ujinga wetu,mbona haikuwa lazima and we can do without these psycopaths.Hebu soma hii,labda ufahamu wako utazibuka kidogo,mmelala sana.Hakuna mtanzania ambae hasaidiwi na hao watu either directly or indirectly.. serikal yako yenyewe iko pamoja nao.
Kama unabisha muulize makonda, alivyokanwa.
Kuanzia elimu mpaka afya yako unawategemea wao, mnajitia jeuri tu but deep down mnajua
Mexico kuna amani?? Umewahi kufika pale MEXICO CITY??Taliban wanalima Opium, na wakati wa vita uzalishaji wa Opium Afghanistan uliongezeka mara 30. Wewe na wenzako hamjui biashara ya dawa za kulevya ilivyo ngumu kuizuia kwa sababu mna akili ndogo. Pia fahamu Majeshi ya Marekani hayakuwa kila mahali Afghanistan, katika vijiji na milima Taliban wameendelea kuwepo muda wote.
Halafu mbona hushangai Tanzania bangi inalimwa au Mexico Cocaine inazalishwa na zote ni nchi zenye amani na serikali zenye vyombo vyote vya dola vinavyofanya kazi??
FactSana lakini mpaka uwe na mtaji wa akili kiasi ndio utayaona!
Hapana hakuwahi kua nyuma ya watalebani.... US angekua ashapiga saa kelele.
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?
Watalebani ndani ya vita miaka yote mfululizo, unataka kutwambia US alikuwa ***** tu hadi walipata mda wa kulima? Wakavuna? Wakapata soko la kuuza hizo Opium kupata hizo fedha? Wakati huo US hayo mashamba alikuwa anayamwagilia sio? Wakati huo Intelligence ya US ilikuwa imetulia tulii ikiwatizama sio? We jamaa mbona Mse**e sana?
Vitu vingine ukikosa majibu si ukae kimya tu [emoji848].
Huyu Cocaine Pusher na Drama Queen amewaingiza wenzie katika janga kubwa sana.Cocaine mbaya jamani,yaani inakufanya uwe insensitive kabisa to danger ahead of you.Nadhani AZOV wote ni Cocaine Pushers pia kama baba yao Zelensky,otherwise they wouldn't even contemplate fighting Russia.It is simply suicide.Very sad indeed.Hali mbaya sana kwa ukraine
View attachment 2252280View attachment 2252281View attachment 2252282View attachment 2252283
Mexico kuna amani?? Umewahi kufika pale MEXICO CITY??
FactTsh itakua ana id mpya ile hawezi itumia tena[emoji23][emoji23][emoji23]alifeli sanaa,kobe huyo naona unamlia timing umle kichwa babu ISTEN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
30%ilipanda ya uuzaji wa opium wakiwa vitani na supa pawa wako vizuri.Sio lazima ufike Beijing ndio ujue kuna amani.
😄😄 Enzi za ujimaResidents of Poland were allowed to collect brushwood in the forests amid a shortage of coal due to anti-Russian sanctions. But only for money and after training.
This was stated by the representative of the Katowice Directorate of the State Forestry Marek Mruz.
“Gathering brushwood touches the branches. At the same time, the collected branches cannot be thicker than seven centimeters, ”RIA Novosti quotes him.
According to Mruz, the collected branches should be taken to the forester, who will issue an invoice. Approximately 0.25 cu. m will have to pay from seven to 30 zlotys (from 100 to 430 rubles).
It is noted that self-collection can be punished with a fine.
Warsaw banned the import of Russian coal in April.
View attachment 2252243
We Mama nimekuambia nipe takwimu za uzalishaji wa Opium.. Afghanistan.... Umekataaa zangu ...lete zangu punguza mboyoyo .. maaaamaaaaaeeeeJikite kwenye mada, acha kuhangaika na vitu vidogovidogo. Kila mtu anajua Saudia inapamabana na waasi wa Houthi, Yemen.
Hawa Ukraine ni wapumbavu sana, wamechagua rais kilaza kachafua nchi yao hakuna anaewataka, hawa ndio waliotia dunia ktk chuki kubwaUkraine imekua special Group hivi sasa hadi team ya mpira ukiifunga au kuwashinda hadi uwaombe radhi [emoji848]... Kongole kwa Wales kwa kutuondolea huu uchafu, World Cup ingekuwa ya kingese sana mwaka huu.
View attachment 2252336
[emoji1255][emoji1022]There will be no apologies.
The captain of the Wales national football team said he would not apologize for the victory over Ukraine.
"As terrible as it sounds, no. Because this is a game of football, and this is a competition that we also want to get into," Gareth Bale said on the eve of the play—off match.
Yesterday, Wales beat the Ukrainians and reached the World Cup for the first time since 1958.
Ni huzuni kwa kweliNdugu zenu wa Ukraine
View attachment 2251765View attachment 2251766View attachment 2251767View attachment 2251768
Freshly captured princess
ChinaMnahamisha magoli Kila siku.
1)"safari hii wanamsubiri aipige Ukraine TU,ndio atajua NATO ni nani"
NATO -Russia akivamia ukraine atajibiwa kikamilifu.
Russia kavamia,akajibiwa kwa vikwazo.
2)hii ya Leo kutoka kwako"tuanataka hata nzi aliepo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator"
Sasa nasema endeleeni kupeleka silaha zitakazo fika Moscow ndio mtajua kama Urusi anatania.
By the way unajua NATO wakiingia unadhani Urusi atapigana peke yake?
Nakuhakikishia east nao wamejipanga,jaribuni TU kuingiza majeshi muone Kama china,Korea Kaskazini,Iran,nchi za west ya Urusi zilizokua zamani sehemu ya USSR kama nazo hazijaingia mzigoni.
NATO wanalijua hilo.