Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Italian journalist from Bakhmut the morale of the Ukrainian troops is low[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Huko Poland mambo "mazuri" tu as now Citizen allowed "kusanya" kuni kwa ajili ya matumizi yao. Mdogo mdogo safari ya kurudi zama za B.C imeanza hivo.

🇵🇱 Poles were allowed to gather firewood in the forest. But you will have to pay for it (30 zlotys per cubic meter).

The procedure should be performed only with the permission and under the supervision of a forester. This should help in conditions of high energy prices.


Zlotys 30 wadau ni kama 16k hivi za kibongo.
 
Huko cabinda msumbiji (Angola)

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wales ni sehemu ya UK na UK ni NATO[emoji1787]
 
Hii habari ungeiwekea link unakuta ni tabloid kama ile ya mwanaharakati huru Cyprian Musiba. Ila bahati nzuri haina source yoyote.
 
Ukraine imemchagua Rais wao katika uchaguzi huru na haki. Putin yeye huchaguliwa kwenye uchaguzi za aina ya jiwe.
Hawa Ukraine ni wapumbavu sana, wamechagua rais kilaza kachafua nchi yao hakuna anaewataka, hawa ndio waliotia dunia ktk chuki kubwa
 
Yani mkuu huko Ukraine siraha wanakopeswa na USA na nchi zingine za alaya , sasa hii Ni hatari, maranyingi nchi ikiwa inasiraha zakwao wanazo ziamini hua hawazitoi hivi hivi.
Siraha zinazoenda Ukraine Ni kawaida Sana coz Kwanza wanahofia kutekwa na urusi na kwenda kuzichunguza na kujua zimetengenezwaje.
Inakuwa Ni hasara kwao.
 

Russia wameshindikana kwakweli wapi Poland?? Sahv wameambiwa waokote kuni kweli ulaya ya kuokota kuni?? Huko ulaya maandamano yameanza ila huji sikia media zinatangaza never. Ndugu zangu nitakuja na uchambuzi kinachoendelea Europe kwa sasa hasa kwa zile unfriendly countries ni hatr
 
itafikia hatua ukimgegeda binti kutoka slava ukraine utabidi umuombe radhi hata kama ameridhia kufanyiwa tendo hilo
 

Wanajiona cake sana bora wametolewa aseee
 
‼️BREAKING NEWS‼️
🇲🇽❌🇺🇸⚠️ -Mexican President Lopez Obrador officially declines US President Joe Biden's invitation to the Summit of Americas, fulfilling the threat of boycott the summit if US didn't invited Venezuela, Cuba and Nicaragua
 
‼️Secretary of the Security Counsil (NSDC) of Ukraine Oleksiy Danilov said that he does not consider the retreat of the UAF in a number of directions in the Donbass a tragedy.

"The temporary loss of territories is not a tragedy.The loss of the country will be a tragedy,"‼️
he said in an interview with the British newspaper Financial Times. According to Danilov, it will be "very, very difficult" for Ukraine to achieve victory in the conflict with Russia, but the troops are ready to resist for a long time.
 
US byebye
Yaani jamaa anazidi kupoteza ushawishi aseee
Sasa hv kila mtu anamvimbia huyu paper tiger
Soon naiona AU ikiagiza NGANO na NAFAKA nyengine tokea RUSSIA licha yakwamba jamaa kagongwa vikwazo nahao KENGE
Hii OP inaendelea vyema na inatakiwa iendelee kwamuda kidogo
Sasa jamaa atakubali matakwa ama atakaidi
Proved
Nyamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…