Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Putin alikana wiki kadhaa kabla ya kuivamia Ukraine kwamba hataivamia kwa nini tuamini anaposemea huu uvamizi wake anaoutumia hadi hypersonic na wanajeshi laki moja ni military operation na sio vita ?
Vita ni hadi angetumia silaha za nyuklia ambazo ndio pekee hajazitumia ??
Hizi akili zenu za kizombi Pro Russia.
 
Mwambie Putin afungue YouTube yake muwe mnaangalia habari mnazozipenda.
Yani ukiingia YouTube ukiandia Ukraine, Unaweza kuona kwamba urusi Ukraine imeshakwisha, yani nimeamini Euro na USA wanaichukia Sana urusi.
Hakuna HABARI inayoandikwa kuhusu Ukraine imepoteza nn huko kwao kwenye mapigano.
 
Mimi nafahamu cold War iliisha, wewe kama nani unasema cold haikuisha ikiwa Ukomunisti wa Mashariki chini ya USSR ulianguka rasmi mwaka 1990 na ubepari wa magharibi uka take over Ulaya ya Mashariki?
Jitahidini kuficha ujinga wenu hata mkiuliza maswali.
Sasa iyo nato iliyo hai na inajitanua kuelekea RUSSIA ulitegemea nini? yes it's cold war na ndio maana unaona hao ndugu zenu wanavyoweweseka hapo UKRAINE maana wakishindwa mambo yao yanaenda kuvurugika completely na tayari tushaona moshi tunausubiria moto.
 
Russia ni Tajiri kuliko Tanzania au Zimbabwe, Ujerumani, Ufaransa, Singapore, Korea ya Kusini ni Tajiri Kuliko Russia
USSR ilikuwa maskini kuliko Russia ya sasa ila ilikuwa na ushawashi mkubwa duniani kiasi cha kutambulika kama superpower, Korea Kaskazini na Pakistan ni mataifa maskini ila yenye kuleta shida sana kwa majirani zao. Hata Malawi kesho akiwa na nyuklia anaweza kuvamia majirani zake.
Geopolitics ni ngumu kuliko physics hasa kwa watu wenye akili ndogo kama za kwako. Unaweza kuchanganyikwa unapojaribu kuyaelewa mambo.
 
Umeongea kitu kikubwa Sana..watakubishia
 
Umenena vema....Russia ni superpower....Wengine wote ikiwemo USA , NATO sijui Nini watasubiri..
Russia in silaha za kutisha ambazo nyingi bado hajazitumia...ina watu vichwa Sana...Russia inaongoza kwa kuwa na mathematicians wazuri duniani...ndiyo hao ukichanganya na ma-physicists na ma-chemists wanna uwezo wa ku-design na kutengeneza silaha za kutisha...
 

Mpaka hapa tunapata picha kuwa Russia ni taifa la aina gani. Mataifa ya west yanakuzwa na media tu ila uhalisia ni dhaifu tu.
 
Kwani unataka akuaminishe ili iweje....Watu wengine bwana...Nyie mko huku halafu mnalalamika eti Putin aliwadanganya ...who are you for God's sake...Duh...
 
Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?
 

Mzee bora umeishia hapa usiendeleee. Ila warussi ni watu wabaya aka WABAD.
 

GOD BLESS RUSSIA [emoji635] [emoji120]
 
Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?
Namna ulivyouliza swali tu mtu unapata picha kuhusu uwezo wako wa uelewa wa Mambo mbalimbali...Sina Shaka yoyote ile uwezo wako katika uelewa ni wa chini mno...unauliza eti niliziona wapi silaha hizo?!?!!!! Duh...maswali Kama haya huwa wanaulizana kwenye vijiwe vya wanywa kahawa mitaani...kwenye jukwaa hili maswali ni: Tupatie source, na kadhalika na siyo uliziona wapi silaha hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…