Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,692
- 4,442
Sikumaanisha kwamba atumie, ilikuwa ni mwitikio tu wa kauli yako ya kwamba hana chochote zaidi ya hypersonic missile.Mambo kama hayo huwa nawaachia mazombi.View attachment 2253056
We unazani kwa nini NATO wanamuogopa Russia kuliko hata shetani?Huwa Sina mda wa kubishana na wasomi. Nakuuliza we @Kelvin X
Mkuu hayo madubwana ni kwamba yana uwezo wa kubeba warhead za nyuklia, sio kwamba ndio lazima yatumike kubeba nyklia kila wakati.Mrusi atakapotaka kulipua Washington au London na nyuklia atawaambia mabalozi na raia wa nchi nyingine zenye nyuklia kama China, India, Pakistan na Israel waliojaa huko waondoke anataka kulipua hao wabaya wake??
Kati ya ujinga mkubwa sana wa watu wenye akili ndogo ni huu wa kujadili uwezakano wa Russia kutuma hizo sijui Satan, Angel au Sarmat. Hizo ni toys tu na uharibifu wa pesa kwa hizo nchi zenye nyuklia mpaka pale mmoja atakapoamua kuifikisha dunia YOTE katika mwisho wake.
Matumizi yoyote ya nyuklia dhidi ya taifa lingine kubwa la nyuklia ni "death wish" kwa huyo atakayeanza kurusha.
Bakini tu kujadili conventional warfare na silaha zake zake za kawaida nyie Pro Russia kama hamtaki kuonekana wehu.
Ningejua umeshareply hivi nisingetype tena. Ndio iko hivyo brohICBM sio silaa ni njia ya kufikisha silaha kutoka bara moja kwenda lingine na ukweli ni kwamba sio bara moja kwenda lingine ila wanaongelea masafa marefu. Mfano Marekani na Urusi zimepakana kule Alaska ICBM ya nini?
ICBM ina weza kufungwa kichwa cha nuclear au bom lingine lolote
Sawa Mkuu, ila na Putin naye anatii kutorusha kombola lolote likaangukie nje na eneo la Ukraine.We unazani kwa nini NATO wanamuogopa Russia kuliko hata shetani?
Wanajizungusha huku na kule. Na ukumbuke pia kwamba kuwa na Nuclear siyo tishio, tishio ni technology ya hizo nuclea weapons.
Usizani nuclear weapons za mataifa tofauti zina same S&T.
NATO wanazijua statistics halisi za uwezo wa Kivita wa Russia kwamba ni Hatari, acha hizi propaganda wanazo kulushia wewe, wao wanaujua ukweli.
Safi sanaHuyu jamaa ni mjinga bro hakuna anachokijua haya mambo. Kama haelewi wanachofanyiana Hawa majasusi asome angalau hata hivi vitabu vinapatikana kirahis. Dollar Billionaire spy na Cirle of treason.
kila siku nawaambia watu hii vita kama itakwenda miezi 6 na zaidi basi itamwacha Mrusi dhoofu ki-uchumi. watu hawajui anatumia millions ya hela kila siku, uzalishaji ndiyo huo, vikwazo ndiyo hivyo - kwa uchumi gani alionao mrusi hadi aweze kupambana na wote kwa ujumla wao ?HIMARS ,gemu chenja ,vimetua salama yukraini. Sikilizia kishindo muda siyo mrefu.
Urusi hana jeuri ya kupigana na ushirika wa nchi zaidi ya thelathini ambazo kwa pamoja zina share gharama ya vita. Urusi ya Vladimir itafilisika tu.kila siku nawaambia watu hii vita kama itakwenda miezi 6 na zaidi basi itamwacha Mrusi dhoofu ki-uchumi. watu hawajui anatumia millions ya hela kila siku, uzalishaji ndiyo huo, vikwazo ndiyo hivyo - kwa uchumi gani alionao mrusi hadi aweze kupambana na wote kwa ujumla wao ?
Ukraine anapata mabillion ya dola kama misaada kila uchao, silaha, fedha na huduma za kijamii- unless Ukraine agome kupigana game liishe othewise tupo dk ya 30 ndugu zangu.
Dah aisee,USA wanaelewa sana ila sema TU wanaona aibu kukubali ukweli kua Russia kawamudu.Dadekiiii washaanza elewaaa mzikiii dadekiii
Mkuu FUSO si unakubariana kwamba Ukraine anategemea mikopo ya siraha kutoka NATO vs Russia ambae anajitengenezea mwenyewe?kila siku nawaambia watu hii vita kama itakwenda miezi 6 na zaidi basi itamwacha Mrusi dhoofu ki-uchumi. watu hawajui anatumia millions ya hela kila siku, uzalishaji ndiyo huo, vikwazo ndiyo hivyo - kwa uchumi gani alionao mrusi hadi aweze kupambana na wote kwa ujumla wao ?
Ukraine anapata mabillion ya dola kama misaada kila uchao, silaha, fedha na huduma za kijamii- unless Ukraine agome kupigana game liishe othewise tupo dk ya 30 ndugu zangu.
😄😄😄😄😄Nimecheka utafikiri ni mambo ya mzaha.Tutakula kichwa hicho soon. Tumeshaandaa pilipili za kunywea supu. Tulikuwa tunamuacha kondoo wetu anenepe kidogo ili tugawane vizuri nyama.
Na nchi amehama kumkimbia Putin. Kitabu chake kinafurahisha ukisoma.Huyu jamaa alikuwa mcheza chess maarufu
Wewe ulisikia wapi habari za siraha kwenye vita zinakuwa publicized kijinga hivi? Yani hata hazijapiga hata Inzi tu? Hakuna jeshi la hivyo Duniani.HIMARS ,gemu chenja ,vimetua salama yukraini. Sikilizia kishindo muda siyo mrefu.
Mkuu wewe ndio umeniletea habari hiyo,nakuamuru kula chapati kwa rosti ya kuku wa kienyeji na chai ya maziwa ili uendelee kutupa ma breaking news.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]agiza rost ya firigisi na chapati za maji.
Tumekuelewa mwamba, ila tunakukumbusha 'simple-mind" ni synonym (neno mbadala) ya neno "Stupid"... Sio maneno yangu but hivo ndivyo Oxford Dictionary wanavyosema.Urusi hana jeuri ya kupigana na ushirika wa nchi zaidi ya thelathini ambazo kwa pamoja zina share gharama ya vita. Urusi ya Vladimir itafilisika tu.
Na juzi hapa ametumia silaha za Siri za ku jam mawasilaiano na kuingilia mawasilaiano,kuvuruga mawasilaiano Yao na vifaa vyao.Mpaka hapa Russia hajatoa silaha zake za mass destruction .Vijana wa leo wanafikiria vita ni music wakidhani US ndio kila kitu. Hayo ma Satan 1 na 2 huwezi kutumia sasa mpaka hao watoa misaada waingie wenyewe uwanjani. NATO hawakujua hypersonic je kuna mangapi hawajui. Ile ya kuyeyusha drones hawakujua pia .Juzi Russia katest kombora jipya NATO wameanza kutengana . Hata huyo Boris wanammind sababu ya Russia hawasemi tu
Maana hakuna namna.View attachment 2253016mjeda wa ukraine akiipa heshima alama z
Kivipi mdau? Sijaelewa swali lako!Mkuu me umeniacha apo kwenye bandiko😂😂 namna gani kiongozi
Mdau wa kukera umefika 😂Tumekuelewa mwamba, ila tunakukumbusha 'simple-mind" ni synonym (neno mbadala) ya neno "Stupid"... Sio maneno yangu but hivo ndivyo Oxford Dictionary wanavyosema.
So if I call you 'stupid', uitike kwa sauti sawa jomba?
Ok tueleze huyo masikini asiye na pesa tumfanyaje kabla hela za vita hazijamwishia ewe "stupid"
Analalamika nini sasa, kwani anatafuta nini huko alichokisahau 🤔Na juzi hapa ametumia silaha za Siri za ku jam mawasilaiano na kuingilia mawasilaiano,kuvuruga mawasilaiano Yao na vifaa vyao.
USA kalalamika.
Unaona umeng'ang'ia Sana makombora basi upewe wew upige urusi mwenzako hana makombora ya kupewa ukimpiga ni kupakia tu kwenye vyanzo vya kurushia makombora na kuanza kuwatwanga hayo mabomu yakiisha uje uombe tena utakuta nchi Zima imekuwa mchanga kiasi kwamba mpka mbu watakosa parkingDawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.
Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.