Nimesahau jina wa aliokuwa kiongozi KGB mwengine ambaye na anatazamiwa kumrithi Putin na yeye ni noma sana sio kitoto endapo Putin atatoka madarakani kwa kumaliza mda wake au kwa namna yoyote basi jueni kuwa khna mwamba mwengine wa KGB nyuma yake
Anaitwa Nikolai Patrushev, Picha hiyo chini hapo...
Ni secretary wa security council of Russia. Huyu alikuwa second Most powerful man after Putin ndani ya Russia kabla katiba haijabadilishwa majuzi juzi hapo.
Hivi sasa ni Medvedev ndio yupo Second to Putin kisha huyu mdau.
I mean rank hii
1. Chairman Vlad. Putin
2. Deputy Chairman Medvedev
3. Secretary Nikolai Patrushev
4. Chairman of Government (ambaye ni waziri Mkuu) Mikhail
Before 2020, ilikuwa hivi
1. Chairman V Putin
2. Secretary Nikolai Patrushev
3. Chairman of Government Medvedev
So to sum up the second most powerful man in Russia hivi sasa baada ya Putin ni Medvedev. Kitendo cha Putin kukianzisha hicho cheo cha deputy kisha kumpa Medvedev inaonesha ni jinsi gani anavyomwamini kijana wake.
Na as long as hiyo taarifa kuhusu huyu jamaa (Patroshev) kukaimu nafasi ya Putin imetoka kwenye vyombo vya habari vya magharibi vilivyotwambia Russia wameishiwa chakula sitokaa niiamini 😂
Western Media hata wakitangaza leo Samia ndio Rais wa Tanzania hadi nimtafute mswahili mmoja au wawili kama
PD_Magumba au
lee van cliff niwaulize nithibitishe 🤗... Hupaswi kumwamini mwongo hata kama akisema kweli.
Mwisho maoni yangu ya kwanini napingana na hiyo Taarifa.
1. Hadi sasa Russia imeongozwa na Marais watatu tu tangu kuvunjika kwa USSR, kati yao hakuna kiongozi aliyeingia madarakani mzee kiasi hicho.
🔸Yeltsin aliingia madarakani akiwa na 60yrs
🔸V. Putin aliingia madarakani akiwa na 48yrs
🔸Medvedev aliingia madarakani akiwa na 43yrs
Sasa huyu mdau kwanza mkubwa kuliko Putin, anatafuta 71yrs hivi.
2. Russia is unpredictable, na hii ndio Point kubwa na yenye nguvu zaidi kuliko zote.
My take: Ukiuangalia mtiririko wa namna Putin alivohama vitengo toka 1990 hadi 2000 anakuwa Prezdaa haikupi kigugumizi kumtizama Medvedev kama Ujio mpya baada ya Putin.
Naamini Putin hajamtoa kutoka mtu wa 3 baada yake hadi pili wa baada yake bure...
Chukulia mfano hapa TZ, inafahamika baada ya Rais ni Makam wa Rais. Ibadilishwe mfumo wa Uongozi kianzishwe cheo X ambacho ni Most Powerful kuliko makam wa Rais na Only second to President inakupa picha gani? 😃
Au labda wao wakimtizama huyu Mzee Patroshev kwamba alikuwa KGB, akawa Director of Federal Security Service kisha sasa Secretary of Security Council. Vyeo ambavyo Putin kavishika kabla ya kua Raisi wanafikiri basi nae itakua hivyo hivyo. Ila wanasahau kabla hicho cheo cha Deputy Chairman alichonacho Medvedev hivi sasa hakikuepo enzi hizo.
Yani Kama Bongo tulivyokariri enzi za nyuma kua Raisi anaandaliwa kwa kua waziri wa mambo ya nje so wakategemea Membe atakua Prezdaa baada ya Babu wa Chalinze... Lakini kwa Russia naandika kwa herufi kubwa kua RUSSIA IS UNPREDICTABLE.
Lastly, Russia ya kwenye vyombo vya habari hasa vya magharibi ni mbaya mno. Ila ukijipa mda wa kuifatilia na kuifaham vizuri. Hakuna taifa zuri na "tamu" kama Russia kwa sasa.