chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Ko haijamshinda sio?Urusi hii vita bila kukodi Watoto na majambazi hii vita ingekuwa imemshinda muda mrefu sana
Kabisa taifa kubwa linalojiita super power duniani kuteka mji mmoja tu wa mariupol imechukua miezi mitatu tena baada ya kukodi wapiganaji toka Syria na ChechnyaUrusi hii vita bila kukodi Watoto na majambazi hii vita ingekuwa imemshinda muda mrefu sana
Bado na kutoka NATOKabisa taifa kubwa linalojiita super power duniani kuteka mji mmoja tu wa mariupol imechukua miezi mitatu tena baada ya kukodi wapiganaji toka Syria na Chechnya
Tuwekee na karaman ili tujue position ya huo mjiKuna za chini chin kuwa wajeda wa ukraine wameanza kukimbia pale severlodonesky kama urusi itaukamati huu basi ni pigo takatifu kwa ukraine
Vita ilishakwisha. Sasa hivi tunadili na adm of new provincesKuna za chini chin kuwa wajeda wa ukraine wameanza kukimbia pale severlodonesky kama urusi itaukamati huu basi ni pigo takatifu kwa ukraine
Hakuna mji ulopoteaTaja mji uliopotea acha propaganda ndugu acha
Eti kasema hii ni Photoshop 😂, mpeleke Ukraine akashuhudie mwenyewe ...🚶
While Western Main Stream Media, were talking about a Ukraine victory in Severodonetsk yesterday, a few hours ago the Russian MOD said:
Kabisa MKUU naukimpeleka anaweza akasema hii sio UKRAINE ni LIBYAEti kasema hii ni Photoshop [emoji23], mpeleke Ukraine akashuhudie mwenyewe ...[emoji124]
Kiufupi DON BASS tayar ipo under RUSSO waache wapige kelele!!!!!While Western Main Stream Media, were talking about a Ukraine victory in Severodonetsk yesterday, a few hours ago the Russian MOD said:
Units of Ukraines, having suffered critical losses (up to 90% in some units) during the battles for Severodonetsk, and they are retreating in the direction of Lisichansk.
Kumbe mbumbumbu hujui chochote. Empty head.Sijui madeni ya EU wamemaliza kulipa lini, wewe unajua? Hembu sema ni lini na kiasi gani angalau kwa nchi 3.
Sijui pia US ana mkataba gani na Ujerumani na Japan. Hembu sema ni mkataba gani walio nao.
Kama unachukia sana mbona huachi kuangalia EPL au UEFA ambao wanahubiri kila mechi na wamewatimua Warusi wenu pia?
Halafu Mbona Urusi haijaivamia Finland ambapo katiba kabisa inaruhusu ndoa za jinsia moja na badala yake wameivamia Ukraine ambapo ndoa za jinsia moja hazitambuliki kikatiba??
Kwanza Nashangaa kwann mnapoteza muda wenu Kumjibu huyoWe dogo embu kaendelee kunyonya bado mtoto sana. Upo kwenye foolish age
Kumbe mbumbumbu hujui chochote. Empty head.
Unashabikia kama Simba na Yanga. Pole sana
Nenda kwenye majukwaa ya saizi yako huku unajaza server.
Thibitisha dollar bilioni 50 ilizopewa Ukraine na US ni mkopo na sio msaada.Kihistoria Ukraine ni threat kuliko hao wengine kwa kuwa kuna mahusiano ya karibu. Ni Kama ndugu yako kumukaribisha adui kwako ambaye unajua anaweza kukuchoma.
Kuhusu EPL hili litaisha tu once hii operesheni ikikoma. Kilichopo EU hawana say kwa US lazima agenda waikubali. Hivi unajua madeni ya ww2 wamemaliza lini kuilipa , na Germany na Japan wana mkatababa gani na US kuhusu majeshi ?.
Kwa fikra zako unadhani Haki za [emoji304] ni za maana kuliko kuweka mabango au matangazo ya kupungiza hunger, poverty, uhaba wa maji salama pia kukondemn vita zinazoendelea mfano Congo, Ethiopia , Yemen etc.
Hicho unachopenda Amani hata huyo unayempenda hakitaki maana kinamuingizia pesa. Katengeneza mkopo wa zaidi ya Usd 50 billion utakaolipwa na Ukraine kwa miongo pia ataweza kumcontrol.
Kihistoria Ukraine ni threat kuliko hao wengine kwa kuwa kuna mahusiano ya karibu. Ni Kama ndugu yako kumukaribisha adui kwako ambaye unajua anaweza kukuchoma.
Kuhusu EPL hili litaisha tu once hii operesheni ikikoma. Kilichopo EU hawana say kwa US lazima agenda waikubali. Hivi unajua madeni ya ww2 wamemaliza lini kuilipa , na Germany na Japan wana mkatababa gani na US kuhusu majeshi ?.
Kwa fikra zako unadhani Haki za [emoji304] ni za maana kuliko kuweka mabango au matangazo ya kupungiza hunger, poverty, uhaba wa maji salama pia kukondemn vita zinazoendelea mfano Congo, Ethiopia , Yemen etc.
Hicho unachopenda Amani hata huyo unayempenda hakitaki maana kinamuingizia pesa. Katengeneza mkopo wa zaidi ya Usd 50 billion utakaolipwa na Ukraine kwa miongo pia ataweza kumcontrol.