Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pumzika banaa umeshachoka
Sasa enzi zipi za mababu unazozizungumzia wewe USSR ilicollapse dec 1991.
It's almost 32 years n vizazi vingapi vinapita kwa mtu wa umri huo
 
Mimi nilim egnore siku nyingi Sana.
 
Kwa kweli namuonea huruma,na nawaonea huruma wa Ukraine.

Pengine wangeheshimu mkataba wa Minsk haya yasongetokea

Pengine wangekubali kuwa nyutro haya yasongetokea

Pengine wangeheshimu Urusi kama kaka mkubwa haya yasongetokea

Pengine wasingekubali kutiwa kiburi na west haya yasongetokea.

Daa Ukraine inaenda kugawanywa.

Inakwenda kupigana na li nchi lenye maguvu namna hiyo, kwa kutegemea silaha za kuombaomba unategemea nini.
 
Piga hao kenge mpaka maji waite mma.

Unamwoneaje huruma anayetumiwa na mabeberu kuangamiza Binadamu wenzake [emoji19][emoji848]
 

Alexei Anatolievich Navalny ni zaidi ya Tundu Lissu
 
De same to me
 
Muwe mnafikiri mara 2 2 kabla ya kutuma ujumbe humu, Russia sio dhaifu kiasi hicho ije kuomba assist ya hao Afrorusians, ni kiherehere cha hao wanafunzi kupigana alongside One of the best and strongest army in the world.
Da maneno ya kibabe na nguvu sana haya.
Haya ni maneno ya kikakamavu.
Nchi moja jeshi moja dhidi ya nchi zaidi ya 35 zenye uchumi imara kabisa hapa chini ya Jua.
Lkn kaziyumbisha kijeshi na kiuchumi.
 
Mahusiano ya ukaribu ndio ujinga gani kati ya nchi huru zenye sovereignty??
Russia ni mashangazi au wajomba wa Ukraine?
Sovereignty ukiwa na maana gani?

Nchi zilizo na Kambi ya majeshi ya kigeni ni huru?

Nchi zilizo kaliwa kimabavu baada ya vita ya pili ni huru? Kisiasa. Na Kiuchumi ila pia usiache kitamaduni.

Je Urusi ndiyo ya kwanza kuvamia hapa ulimwenguni?

Libya ilivamiwa? Je kama haikuvamiwa kilichofanyika kilikuwa halali?

Iraq ilivamiwa? Kama sivyo hayo Mataifa yalichukuliwa hatua gani?!

Vipi Syria nae, kwa nini hawakuheshimu sovereignty ya Lile Taifa?

Tanzania ilisapoti waasi kwenye Mataifa ya Kongo, Uganda Burundi, tulifanya sahihi? au tuliingilia sovereignty yao.

Ukitambua siasa za Kimataifa na geopitics lazima utakiri Urusi ipo sahihi?
 
Uliwahi kumuona Hillary Clinton amelalamika popote kuhusu kilichomtokea?
Unafahamu alikubali matokeo na kumpongeza Trum hata kabla kura hazijamaliza kuhesabiwa zote??
Kule hakuna kura za kwenye vikapu.
Trump alikubali matokeo ya uchaguzi?

Tupe kisa Cha capitol hill?

Je raia walikuwa sahihi kuvamia bunge kule? Kama si sahihi maana yake hakuna demokrasia [emoji38][emoji38][emoji38]🥲🥲🥲🥲

Unaufahamu vizuri mtindo wa upigaji kura kule?

Kwa nini wanalimit and kutawala upigaji kura?

Tuelezee electo college yao inavyofanywa kazi?
 
Sasa kama hali ndo hii kwa nini Ukraine hana mafanikio yoyote mhimu kwenye hii battle?

Hizi ni records kwa mjibu wa NATO propaganda.

Au mkuu ulikua tu unatest matumizi ya MS Office ndo ukatype hizo mambo?
Nani kasema UKRAINE Hana mafanikio?
Target ya Russia ilikuwa kuchukua Kyiv na kumng'oa Raisi Zenensky Kwa muda mfupi,mpaka Leo Russia imeshindwa , Ukraine imemzuia na Russia kupata hasara kubwa,ya wanajeshi pamoja na vifaa.Mafanikio unayohitaji ya aina gani🤔
 
Nani alikwambia Sudan zinaelewana?
Halafu hii Sudan ya kaskazini Bado Kuna maeneo mengi hayajatulia au yanataka kujitenga. Mfano bue Nile, kule Magharibi.

Eritrea wameanza kidogo kupunguza bifu na kumaliza vita baada ya Ahmed ila kabla ya hapo ilikuwaje?

Somaliland ilishajitenga toka Somalia, je bifu limeisha kati Yao?

China na Taiwan wanaendeleaje?

Pakistan na India wamezika lini tofauti zao kwenye Dunia hii ya mnafiki wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…