Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu mtu anajua watu wote wapo gizani hawajui Geopolitics. Na kifupi atatafuta kapoint ka kutokea na hatajibu hoja kamwe.?
 
Zelensky ni raslimali? Walipotezwa maboya wakajaa force king . Raslimali zipo DONBAS maviwanda , nuclear plant bandari , maghala ya nafaka mbolea madini . Tunajilipa siunajua gharama za vita mavikwazo kibao sie tunBeba mavyuma mangano mitambo kila kitu mameli yote
 
Mafanikio arudishe %1 tu kwenye hizi 20% zilizoenda namaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina ushabiki lakin lakin hii habari ni tahira pekee anaeza kuikubali
 
Sovereignty ukiwa na maana gani?
Nikiwa na maana nchi huru yenye mamlaka ya ke ya kujiamulia mambo yake yenyewe kama vile Finland ilivyoamua kujiunga NATO.

Nchi zilizo na Kambi ya majeshi ya kigeni ni huru?
Ni huru. Ujerumani, Japan, Poland, Qatar, Korea Kusini ni nchi huru na siku wakiona kambi za kijeshi za US hazina faida kwao watawaambia waondoke.

Nchi zilizo kaliwa kimabavu baada ya vita ya pili ni huru?
Africa haikuwa bara lenye nchi mpaka mwaka 1884/85 ulipoketi mkutano wa Berlin na kuzigawa hizi nchi unazoziona leo hii. Hakukuwahi kuwa na serikali za nchi kabla ya vita vya pili vya dunia hivyo swali hili halina mashiko.

Je Urusi ndiyo ya kwanza kuvamia hapa ulimwenguni?
Hapana, sio ya kwanza na haitakuwa ya mwusho.

Libya ilivamiwa? Je kama haikuvamiwa kilichofanyika kilikuwa halali?
Libya haikuvamiwa, majeshi ya NATO yalienda kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi baada ya azimio la umoja wa mataifa la baraza la Usalama S/RES/1973 kupitishwa kwa wingi wa kura.

Iraq ilivamiwa? Kama sivyo hayo Mataifa yalichukuliwa hatua gani?!
Iraq tangu mwaka 1990 lilikuwa ni 'rogue sate' chini ya dikteta Saddam ilikuwa inavamia jirani zake kama Kuwait, inafadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na kufanya genocide kwa Wakurdi, Saddam alikuwa sawa na Amin na alinyongwa na WaIraq wenyewe.

Vipi Syria nae, kwa nini hawakuheshimu sovereignty ya Lile Taifa?
Sovereignty haina maana kiongozi anaweza kuua tu raia wake kwa Impunity ndio maana kuna ICC.

Tanzania ilisapoti waasi kwenye Mataifa ya Kongo, Uganda Burundi, tulifanya sahihi? au tuliingilia sovereignty yao.
Kusapoti waasi dhidi ya mtu kama Mobutu au Amin ni sawa, ila kuusapoti waasi dhidi ya mtu kama Hichilema, Uhuru au Chakwera ambao wamepigiwa kura na wananchi wao sio sawa.

Ukitambua siasa za Kimataifa na geopitics lazima utakiri Urusi ipo sahihi?
Eleza sababu zinazoifanya Urusi kuwa Sahihi kuivamia Ukraine.
 
Kwan china na belaruz wametoa msaada gan kwa russia?
 
RUSSIA ipo sahihi kwa zaidi ya 1000%
Kama hayupo sahihi tunaiomba NATO ikaiadabishe RUSSIA kama ilivyoiadabisha IRAQ kama ulivyosema hapo juu wakati IRAQ anavamia jirani zake kina KUWAIT nk....
NATO kushindwa kwao kuivamia RUSSIA ili iheshimu jirani zake kama ilivyofanya kwa IRAQ na SADDAM maana yake nikwamba RUSSIA ipo sahihi kwazaidi ya 10000%
Kama kuchaguliwa kwa kura ndio sababu hata MADURO alichaguliwa ila US na Shost zake wakamkana kumtambua
RUSSIA aendelee kupambana na MANAZI yenye misimamo mikali kama ambavyo us walienda kupambana na TALEBAN kule AFGHAN
Nihaki kabisa kwataifa lolote popote ulimwenguni kulinda usalama wataifa lake popote pale ama kwanjia yeyoye likiona linatishiwa
RUSSIA kaenda kuwatete wananchi wajamhuri za LUHANSK na DONESTK waliokua wanateseka tokea mwaka 2008 mpaka mwaka huu mwanzoni hawa wananchi kwasasa wanaishi kama malaika aliepo PEPONI kwamsaada mkubwa kabisa wa maamuzi ya busara ya PUT IN
RUSSIA wapo sahihi kwakinachoendelea UKRAINE ila PUT IN yupo sahihi zaidi kwamaamuzi yake yabusara
Bora wachache wanaokufa ili malaki wanaokuja waishi vyema kamawanavyoishi sasa
RUSSO RUSSO RUSSO....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie
hao hawaelewi kabisa
 
Kwan china na belaruz wametoa msaada gan kwa russia?
Inashangaza jamaa mpaka saa hiz hajaomba msaada wa silaha popote pale na kwa mujibu wa za ndani kabisa bom za kisasa katumia saba tu nyingine zote zilizotumika ni zile zilizobuniwa enzi ya Soviet.

China kwa sasa anatoa msaada wa kidiplomasia tu ktk korido za un na hapo baadae atatoa msaada wa kiuchumi na Belarus anasaidia majesh ya urusi kutumia ardhi yake kupitishia mahitaj.

Chanzo;mchambuz huru from karume mchikichin.
 
Uliwahi kumuona Hillary Clinton amelalamika popote kuhusu kilichomtokea?
Unafahamu alikubali matokeo na kumpongeza Trum hata kabla kura hazijamaliza kuhesabiwa zote??
Kule hakuna kura za kwenye vikapu.
Wee ni kiazi kweli yani wananchi wachague raisi alafu Kura za watu wachache ndyo ziwe zanye maamuzi alafu useme ndyo demokrasia iyoo hopeless kabisaa alafu unakuja kusema Rusia hakuna demokrasia ni Sawa na kuita matajiri WA Rusia wezi Ila WA ulaya na Marekani siyo wezi wao ni wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…