We kidumbusi kwelii umeandika vingi ila nmeamua kuelezea hapo kwa serikali kua hazikuwepo apo pre colonial era?Sovereignty ukiwa na maana gani?
Nikiwa na maana nchi huru yenye mamlaka ya ke ya kujiamulia mambo yake yenyewe kama vile Finland ilivyoamua kujiunga NATO.
Nchi zilizo na Kambi ya majeshi ya kigeni ni huru?
Ni huru. Ujerumani, Japan, Poland, Qatar, Korea Kusini ni nchi huru na siku wakiona kambi za kijeshi za US hazina faida kwao watawaambia waondoke.
Nchi zilizo kaliwa kimabavu baada ya vita ya pili ni huru?
Africa haikuwa bara lenye nchi mpaka mwaka 1884/85 ulipoketi mkutano wa Berlin na kuzigawa hizi nchi unazoziona leo hii. Hakukuwahi kuwa na serikali za nchi kabla ya vita vya pili vya dunia hivyo swali hili halina mashiko.
Je Urusi ndiyo ya kwanza kuvamia hapa ulimwenguni?
Hapana, sio ya kwanza na haitakuwa ya mwusho.
Libya ilivamiwa? Je kama haikuvamiwa kilichofanyika kilikuwa halali?
Libya haikuvamiwa, majeshi ya NATO yalienda kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi baada ya azimio la umoja wa mataifa la baraza la Usalama S/RES/1973 kupitishwa kwa wingi wa kura.
Iraq ilivamiwa? Kama sivyo hayo Mataifa yalichukuliwa hatua gani?!
Iraq tangu mwaka 1990 lilikuwa ni 'rogue sate' chini ya dikteta Saddam ilikuwa inavamia jirani zake kama Kuwait, inafadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na kufanya genocide kwa Wakurdi, Saddam alikuwa sawa na Amin na alinyongwa na WaIraq wenyewe.
Vipi Syria nae, kwa nini hawakuheshimu sovereignty ya Lile Taifa?
Sovereignty haina maana kiongozi anaweza kuua tu raia wake kwa Impunity ndio maana kuna ICC.
Tanzania ilisapoti waasi kwenye Mataifa ya Kongo, Uganda Burundi, tulifanya sahihi? au tuliingilia sovereignty yao.
Kusapoti waasi dhidi ya mtu kama Mobutu au Amin ni sawa, ila kuusapoti waasi dhidi ya mtu kama Hichilema, Uhuru au Chakwera ambao wamepigiwa kura na wananchi wao sio sawa.
Ukitambua siasa za Kimataifa na geopitics lazima utakiri Urusi ipo sahihi?
Eleza sababu zinazoifanya Urusi kuwa Sahihi kuivamia Ukraine.
inabidi kuwareport kwa mod kuna huyu mtoa mada, britanica na anunakiJukwaa limekuwa la hovyo sababu ya............ kama hawa.
Sasa huu ni ujinga! Unahitakika uelimishwe.The Congolese student fighting with pro-Russia separatists in Ukraine
Fighting alongside pro-Russia separatists as a part of Moscow’s unprovoked invasion of Ukraine wasn’t talked about in the brochures of Luhansk University when Jean Claude Sangwa, a 27-year-old student from the Democratic Republic of the Congo, moved to the breakaway area final 12 months to check economics.
But when the top of the Kremlin-controlled, self-declared Luhansk People’s Republic introduced a full army mobilisation of the area on 19 February, Sangwa, collectively with two associates and fellow college students from DRC and Central African Republic, determined to hitch the native militia and take up arms in opposition to Ukraine.
“I joined because the war came to our republic. What should I have done? I am a man and have to fight,” Sangwa stated in damaged Russian. “The whole world is fighting against Russia,” he added when requested why he had determined to hitch the militia.
Sangwa moved to Russia two years in the past to check in Rostov, a metropolis near the Ukrainian border, after which moved to Luhansk, which had been captured by separatists backed by the Russian military in 2014.
Source:The Guardian
Sovereignty ukiwa na maana gani?
Nikiwa na maana nchi huru yenye mamlaka ya ke ya kujiamulia mambo yake yenyewe kama vile Finland ilivyoamua kujiunga NATO.
Nchi zilizo na Kambi ya majeshi ya kigeni ni huru?
Ni huru. Ujerumani, Japan, Poland, Qatar, Korea Kusini ni nchi huru na siku wakiona kambi za kijeshi za US hazina faida kwao watawaambia waondoke.
Nchi zilizo kaliwa kimabavu baada ya vita ya pili ni huru?
Africa haikuwa bara lenye nchi mpaka mwaka 1884/85 ulipoketi mkutano wa Berlin na kuzigawa hizi nchi unazoziona leo hii. Hakukuwahi kuwa na serikali za nchi kabla ya vita vya pili vya dunia hivyo swali hili halina mashiko.
Je Urusi ndiyo ya kwanza kuvamia hapa ulimwenguni?
Hapana, sio ya kwanza na haitakuwa ya mwusho.
Libya ilivamiwa? Je kama haikuvamiwa kilichofanyika kilikuwa halali?
Libya haikuvamiwa, majeshi ya NATO yalienda kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi baada ya azimio la umoja wa mataifa la baraza la Usalama S/RES/1973 kupitishwa kwa wingi wa kura.
Iraq ilivamiwa? Kama sivyo hayo Mataifa yalichukuliwa hatua gani?!
Iraq tangu mwaka 1990 lilikuwa ni 'rogue sate' chini ya dikteta Saddam ilikuwa inavamia jirani zake kama Kuwait, inafadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na kufanya genocide kwa Wakurdi, Saddam alikuwa sawa na Amin na alinyongwa na WaIraq wenyewe.
Vipi Syria nae, kwa nini hawakuheshimu sovereignty ya Lile Taifa?
Sovereignty haina maana kiongozi anaweza kuua tu raia wake kwa Impunity ndio maana kuna ICC.
Tanzania ilisapoti waasi kwenye Mataifa ya Kongo, Uganda Burundi, tulifanya sahihi? au tuliingilia sovereignty yao.
Kusapoti waasi dhidi ya mtu kama Mobutu au Amin ni sawa, ila kuusapoti waasi dhidi ya mtu kama Hichilema, Uhuru au Chakwera ambao wamepigiwa kura na wananchi wao sio sawa.
Ukitambua siasa za Kimataifa na geopitics lazima utakiri Urusi ipo sahihi?
Eleza sababu zinazoifanya Urusi kuwa Sahihi kuivamia Ukraine.
Kweli kabisa mkuu.RUSSIA ipo sahihi kwa zaidi ya 1000%
Kama hayupo sahihi tunaiomba NATO ikaiadabishe RUSSIA kama ilivyoiadabisha IRAQ kama ulivyosema hapo juu wakati IRAQ anavamia jirani zake kina KUWAIT nk....
NATO kushindwa kwao kuivamia RUSSIA ili iheshimu jirani zake kama ilivyofanya kwa IRAQ na SADDAM maana yake nikwamba RUSSIA ipo sahihi kwazaidi ya 10000%
Kama kuchaguliwa kwa kura ndio sababu hata MADURO alichaguliwa ila US na Shost zake wakamkana kumtambua
RUSSIA aendelee kupambana na MANAZI yenye misimamo mikali kama ambavyo us walienda kupambana na TALEBAN kule AFGHAN
Nihaki kabisa kwataifa lolote popote ulimwenguni kulinda usalama wataifa lake popote pale ama kwanjia yeyoye likiona linatishiwa
RUSSIA kaenda kuwatete wananchi wajamhuri za LUHANSK na DONESTK waliokua wanateseka tokea mwaka 2008 mpaka mwaka huu mwanzoni hawa wananchi kwasasa wanaishi kama malaika aliepo PEPONI kwamsaada mkubwa kabisa wa maamuzi ya busara ya PUT IN
RUSSIA wapo sahihi kwakinachoendelea UKRAINE ila PUT IN yupo sahihi zaidi kwamaamuzi yake yabusara
Bora wachache wanaokufa ili malaki wanaokuja waishi vyema kamawanavyoishi sasa
RUSSO RUSSO RUSSO....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndiyo unayaona madhara ya mtu kuwa brainwashed.We kidumbusi kwelii umeandika vingi ila nmeamua kuelezea hapo kwa serikali kua hazikuwepo apo pre colonial era?
Ni hivii tulikua na serikali zetu tena very stable government na nyingine hazikuweza kutawaliwa mfano ethiopia,liberia.
Na pia kulikua na kingdom s,chiefdoms, kinships n.k
Hivyo tulikua na system zetu za kujitawala kulingana na tamaduni,eneo,uchumi,idadi ya watu wao wakaja kuchora mipaka kuongeza idadi au kupunguza idadi ya watu ili waweze kututawala(direct, indirect au assimilation)
Hivyo basii kutokua na mfumo wa democracy unaoushabikia by that time haimaanishi tulikua hatuna serikali zilikuwepo za kifalme,kichifu,kimwinyi n.k
Na mipaka yetu ilikuwepo that's y unasikia kuna vita vilipiganwa ili watu waongeze ukubwa wa empaya zao.
Mkumbushe Bush alivyomwibia kura Algore mpaka maiti zilipiga kura au alikuwa hajazaliwauWee ni kiazi kweli yani wananchi wachague raisi alafu Kura za watu wachache ndyo ziwe zanye maamuzi alafu useme ndyo demokrasia iyoo hopeless kabisaa alafu unakuja kusema Rusia hakuna demokrasia ni Sawa na kuita matajiri WA Rusia wezi Ila WA ulaya na Marekani siyo wezi wao ni wasafi
Asilimia kubwa ya pro NATO no weupe kichwani kwani wanabishana bila kuwa na factWe kidumbusi kwelii umeandika vingi ila nmeamua kuelezea hapo kwa serikali kua hazikuwepo apo pre colonial era?
Ni hivii tulikua na serikali zetu tena very stable government na nyingine hazikuweza kutawaliwa mfano ethiopia,liberia.
Na pia kulikua na kingdom s,chiefdoms, kinships n.k
Hivyo tulikua na system zetu za kujitawala kulingana na tamaduni,eneo,uchumi,idadi ya watu wao wakaja kuchora mipaka kuongeza idadi au kupunguza idadi ya watu ili waweze kututawala(direct, indirect au assimilation)
Hivyo basii kutokua na mfumo wa democracy unaoushabikia by that time haimaanishi tulikua hatuna serikali zilikuwepo za kifalme,kichifu,kimwinyi n.k
Na mipaka yetu ilikuwepo that's y unasikia kuna vita vilipiganwa ili watu waongeze ukubwa wa empaya zao.
uhakika ni Ms word hii au photo editor hata mie naweza cha muhimu ni hivyo vialama Kama emonji.Sasa kama hali ndo hii kwa nini Ukraine hana mafanikio yoyote mhimu kwenye hii battle?
Hizi ni records kwa mjibu wa NATO propaganda.
Au mkuu ulikua tu unatest matumizi ya MS Office ndo ukatype hizo mambo?
Ooh kumbe, kwahiyo atayachukua moja kwa moja kuwa sehemu ya Urusi au?ana rudisha majimbo ya donbass (Luhansk na Donetsk) hapo kuna watu wa asili ya Urusi na wanataka kujitenga na ukraine toka zamani.
Ooh sawa sawa, sasa nimeelewa vizuri, asante mno mnoRusia anarudisha majimbo yake ya zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia majimbo yote ya mashariki MWA Ukrein na kusini pamoja na bahari ya Azov zote zilikuwa za Rusia Ila watawala WA Rusia Kwa kipindi tofauti walizitoa Kwa Ukrein sababu walikuwa kama ndugu na ili kuboresha mahusiano Yao walikuwa wanaichukulia Ukrein kama ndugu kwao Ila Ukrein naona pembe zimeota wanasahau historia Yao ya kale na uhusiano wao wa tangu kale ndyo manaa Urusi kaona liwalo na liwe ayarudishe kinguvu
Unasema Ukraine ina mafanikio?Nani kasema UKRAINE Hana mafanikio?
Target ya Russia ilikuwa kuchukua Kyiv na kumng'oa Raisi Zenensky Kwa muda mfupi,mpaka Leo Russia imeshindwa , Ukraine imemzuia na Russia kupata hasara kubwa,ya wanajeshi pamoja na vifaa.Mafanikio unayohitaji ya aina gani[emoji848]
IDK ila sio vyote vya kuvichuuukiiiiia mfano insect protein, si kama kumbikumbi na senene tu mzeebaba ama!? Hata kama ni mende - utaskia ni madhara ya kuchanjwa😂😂
The NWO Elite want you to eat Bugs so as to achieve their NET ZERO carbon emission agenda!
Still believe the NWO Elite aren't crazy?Those who want you to own nothing and be happy?Those who have started the Ukraine-Russia War so that they may destroy the food chain and starve you to death?Yes,in their effort to slowly phase out meat consumption because animals contribute to Global Warming through Methane and Carbon dioxide Emmision(very laughable assertion),they have initiated the selling of "Insect Protein" Bars in Latvia so as to achieve their crazy "Net Zero Carbon Emmision Strategy," which is purely based on bad science,evil goals and fantasy.
I believe you know that the so-called "Elite" want us to "own nothing and be happy." Which is impossible and a utopian thought,unless you are a Zombie.And you know what, these psycopaths also want us to eat bugs instead of, you know, meat.
In Latvia, stores have begun selling the "Better Bar" or to be exact Bug Protein.
On the label, prominently displayed, is one ingredient: INSECT PROTEIN.
So still think the so-called "Elite" aren't crazy?
These people have to be stopped by any means possible,scorned and rejected. If need be, coerced into submission.
Their agenda is simply evil. Humanity must reject that stupidity outright and not go along with their lunacy.
Sijui jamaa hawaoni hata jinsi ambavyo statistics zao haziko realistic.uhakika ni Ms word hii au photo editor hata mie naweza cha muhimu ni hivyo vialama Kama emonji.
Yaani ingekuwa hivyo media za west wangetangaza mno ikibidi hata font na sauti wanaongeza.
Bila aibu wanaona watu wote huku ni la pili C.Asilimia kubwa ya pro NATO no weupe kichwani kwani wanabishana bila kuwa na fact
na unakuta mwingine ni mtu mzima ila kutathimin na kuchanganua ni zero, nikisema nizame Photoshop ni design habari za nato lazima waaminiSijui jamaa hawaoni hata jinsi ambavyo statistics zao haziko realistic.
Pro NATO wanakomaa tu
😂😂😂😂m pia niliona ila sikuipa attention tuu huku wanakula senene,kumbikumbi n.k ila naona uyo n mjasiriamali kaamua kubrand tu bisness yake.IDK ila sio vyote vya kuvichuuukiiiiia mfano insect protein, si kama kumbikumbi na senene tu mzeebaba ama!? Hata kama ni mende - utaskia ni madhara ya kuchanjwa😂😂
dawa ni kutowajibu hata wakirepoy maoni yenu we kausha wenda wakajishtukiaBila aibu wanaona watu wote huku ni la pili C.